Irene Isaka: NSSF hakuna fao la kujitoa

Irene Isaka: NSSF hakuna fao la kujitoa

Alikua anachangia mfuko gani? Navyofahamu PPF ndo hawakua na hilo fao la kujitoa. Mie nimechukua last week NSSF kinondoni branch opposite na mliman City

kwa wote walioanza kwenda kufungua mwezi wa tano 2016 majibu ni kusubiri miezi sita na hiyo NSSF ila PPF wao wanakwambia kabisa usubiri miaka 55. Binafsi ni muhanga kwenye hili nimekwenda kufungua mwezi wa nane na majibu niliyopewa ni kusubiri miezi sita na hata mwezi huu jamaa zangu wamepewa majibu hayo hayo..
 
Somalia ni nchi ya wacha Mungu kuliko nchi yeyote duniani 100% ni waislam ndio maana alshabaab wana nguvu sana.

Nchi pekee yenye kabila moja tu na hakuna watu wanaopendana kama wasomali, kwenye kampuni ya msomali wafanyakazi wote ni wasomali, jiulize kwanini haitawaliki? Ndio haya ya huyu mama na ccm wanamchekea tu.
 
NI mwanamke tu,kwa kauli zake ataushia kuwa mwanamke n'a hastahili heshima

OVA
Huyo unaye Mwita mwanamke ni sawa mama yako umwite mwanamke kisa siasa zenu za kipuuzi hujaelewa jambo unalopoka hata huna hifadhi yoyote ya mfuko kazi yako kelele mwambie lisu wenu akupe elimu uwelewe kazi yako huna mtizamo mrefu unafikili hapahapa.
 
Mbona bank wanakopesha na wateja wao wanachukua pesa wakati wowote kwanini nyie mifuko ya jamii mnashindwa wakati wateja wenu wanakuja kuchukua pesa zao kwa muda mrefu yaani mnawapangia siku za kujakuchua pesa kwa muda wa miezi 6 au na zaidi?
Savings vs Pensions
 
Hapo ndipo tatizo lilipo...watu wanakaa pale ofcn kwao Morocco...wanaamua hatima ya hela za watu kibabe....halafu wanakuja kwenye media huku wamekunja miguu kwa dharau eti tunawajali sana wafanyakazi...tunataka hizo hela wachukue wakifikisha 55 yrs.....huu ni ujambazi wa wazi kabisa
Raisi ndiyo ameleta mambo haya usiwabebeshe dhambi wengine.
 
Hivi NSSF ndo wale wanafanya kazi kwa nyodo ikifika saa saba tu washafunga ofisi?
 
Na mtapasuka miaka hii. Kazungusheni nikono na kudeki lami huo ndio hilo FAO la kujitoa litakuwepo maana mikono bado IPO zungusheni sana na kudeki lami itakate apite fisadi wenu ndio mtafanyiwa myatakayo ushauri wa bure huo
Sio bure utakua hata kazi huna ndo maana huelewi kinachopigiwa kelele
 
Acha uongo..rafiki yangu kasimamishwa kazi October....kaambiwa hamna kitu...na watu wengi pia wameambiwa the same.
Kuanzia mwezi August 2016, NSSF unasubiri miezi 6 ndipo unapeleka madai. Iko hivyo kwa sasa.wanaochukua sasa ni wale walioleta kabla ya mwezi wa August
 
Umechukua baada ya kuacha/kuachishwa kazi lini...hebu funguka...maake watu kila siku wanalalamika hakuna fao.
Huwa nachukia hasa kuona watu wanatetea dhuluma za haki za watu za waziwazi kama hizi....funguka watu wakuelewe .
NSSF kuania August2016,unapeleka madai baada ya miezi 6 ya kuacha kazi
 
kwa wote walioanza kwenda kufungua mwezi wa tano 2016 majibu ni kusubiri miezi sita na hiyo NSSF ila PPF wao wanakwambia kabisa usubiri miaka 55. Binafsi ni muhanga kwenye hili nimekwenda kufungua mwezi wa nane na majibu niliyopewa ni kusubiri miezi sita na hata mwezi huu jamaa zangu wamepewa majibu hayo hayo..
Siyo mwezi wa tano. Ni kuanzia August 2016 NSSF,unasubiri miezi 6
 
HIHI
Na mtapasuka miaka hii. Kazungusheni nikono na kudeki lami huo ndio hilo FAO la kujitoa litakuwepo maana mikono bado IPO zungusheni sana na kudeki lami itakate apite fisadi wenu ndio mtafanyiwa myatakayo ushauri wa bure huo

FAO LA KUJITOA WANALIPWA WANA CHADEMA TUU AU LINAADHILI WATANZANIA WOTE???????????????
 
Na mtapasuka miaka hii. Kazungusheni nikono na kudeki lami huo ndio hilo FAO la kujitoa litakuwepo maana mikono bado IPO zungusheni sana na kudeki lami itakate apite fisadi wenu ndio mtafanyiwa myatakayo ushauri wa bure huo

Wewe ni mjinga fulani tu.....wewe sio mfanyakazi wala huna elimu yeyote.

Hili Suala halina chama na lina madhara kwa wafanyakazi wote bila kujali itikadi....

Wewe ni mtu wa wapi, wafanyakazi wakikitana na wewe utatemewa makohozi wewe fisadi....Pesa inaliwa na mafisadi halafu wewe unachekelea....

Embu kaharishe huko...
 
mbona unaleta story za kwenye kampeni? Bado Umekariri propaganda za madalali wa siasa? Fisadi ni hao baba zako waliokula pesa za watu huko NSSF sasa wanakuja na mbinu ya kutumia pesa za watu kwa njia haramu, umelewa pesa za Escrow, kivuko, Mabehewa, ndege mpya, bomba la gesi, kiwanda hewa cha cement Lindi, mpaka umejitoa fahamu.

Minyoo Asante kwa kumpa live huyo jamaa

Waliokula wakavimbiwa hawawajui wenye njaa

Mbaya zaidi wamekula pesa haramu...

NSSF wanashindwa kutoa mikopo hata kwa Wanachama wake, shame ...

Bumbuli Saccos za wakubwa ndo wanapewa billion 2?
 
Jumatatu kuna maandamano ya nchi nzima kushinikiza wafanyakazi wa PPTL morogoro kupewa mafao yao,
 
Kosa kubwa na ujanja ambao tumekubali utumike na hawa wezi ni kukubali jina la "FAO" badala ya mwanachama kurejeahewa michango mara anapopoteza ajira na kuamua kuijiingiza kwwnye ujasiriamali. Kilichotakiwa ni kuwa na namna ya kuwajuisha wajasiriamali kwenye hifadhi husika
Kuliita Fao ndiko kunatumiwa na wao kuhalalisha kuwa haluwezi kuwepo fao la kujitoa kwa kuwa hata madhuni na idadi ya mafao haiwezi lujumuisha kujitoa kuwa ni fao.
Wameeamua kuua Mbwa kwa kumwita Jina baya
 
Katika harakati za kupunguza mishahara na posho...Wabunge hawajapunguziwa
 
Radio One - Irine Isaka

Hakuna FAO La Kujitoa
Hii isikupeshida sana. Kama unajua unaachakazi siku chache unakopa hela benk sawa na hela iliyopo huko nssf au mfuko mwingne. Then wao kufidia den watachua hel zako za mafao. Problem solved
 
Back
Top Bottom