minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,508
- 22,511
Inabidi iwe hiari usiwe lazima kwani mifuko hiyo imekuwa kero namba moja sasa.Wanasheria watusaidie... Hivi kujiunga ni NSSF, PSPF, LAPF, n.k ni hiari au lazima?
Inabidi iwe hiari usiwe lazima kwani mifuko hiyo imekuwa kero namba moja sasa.Wanasheria watusaidie... Hivi kujiunga ni NSSF, PSPF, LAPF, n.k ni hiari au lazima?
Utakua umeishia darasa la pili au chekechea. Unafurahia pesa ambazo watu wanategemea angalau wafanye mitaji wanalazimishwa hadi miaka hiyo yao ifike ndo wachukue hapo kati wataishi kwa wazazi wako?Huyo unaye Mwita mwanamke ni sawa mama yako umwite mwanamke kisa siasa zenu za kipuuzi hujaelewa jambo unalopoka hata huna hifadhi yoyote ya mfuko kazi yako kelele mwambie lisu wenu akupe elimu uwelewe kazi yako huna mtizamo mrefu unafikili hapahapa.
Mtoa post umekurupuka sana. Tumemfuatilia vizuri kabisa kipindi cha DK 45. Kuna watu nadhani mna Phd za kusema uwongo na kwakua Watanzania wengi hatupo makini kufuatilia tunatiririka tu
Wewe umeelewa nini mwemye pHD ya kusema ukweli?Mtoa post umekurupuka sana. Tumemfuatilia vizuri kabisa kipindi cha DK 45. Kuna watu nadhani mna Phd za kusema uwongo na kwakua Watanzania wengi hatupo makini kufuatilia tunatiririka tu
Wewe umeelewa nini mwemye pHD ya kusema ukweli?
Unemployment benefits kibongo bongo sio practical ni siasa tu. Bado mantiki ya kuwepo kwa fao la kujitoa ina-sound hususa kwa wafanyakazi wa sector binafsi.
Tueleze basi sisi ambao hatukufuatilia, nini kilichozungumzwa maana labda angalau wewe umeelewa maana naona watu wanaongea hovyo hovyo tu hapo juu..
Wajengee ViwandaWanataka wafanye nini na pesa zetu? Basi kuwe na uchaguzi katika kujiunga hasiyependa aruhusiwe kutojiunga
mbona mmekuwa waoga mpaka umejivika ujinga kwa hiyo huyo Irene Isaka si mwanamke ni nani? Ni binti au ni kaka?! acheni ushabiki wa kipuuzi.Huyo unaye Mwita mwanamke ni sawa mama yako umwite mwanamke kisa siasa zenu za kipuuzi hujaelewa jambo unalopoka hata huna hifadhi yoyote ya mfuko kazi yako kelele mwambie lisu wenu akupe elimu uwelewe kazi yako huna mtizamo mrefu unafikili hapahapa.
Sheria bado haijapelekwa bungeni ipo kwenye mchakato, na kama umemsikiliza vizuri mwishoni kamalizia kwa kusema anawaomba wadau watoe maoni yao kupitia vyama vyao vya wafanyakazi pamoja na njia zingine kabla mswaada haujapelekwa bungeni. Huo pia ndo utaratibu wa kutunga sheria kwa nchi yetu hii ya Tanzania
Kwani serikali inajenga viwanda huu ni wizi hii dhuluma wanataka kudhulumu hawana hoja ya msingi mwisho wa siku mdai utakosa vielelezo vya madai huu ni ulafiLabda wanataka kuwekeza kwenye viwanda, nakumbuka kuna tamko fulani liliwahi kutolewa na Mh. Mwaijage
Yule mwanamke yeye anachojua ni kukopi na kupaste kutoka ulaya....eti azimio la LO halina fao la kujitoa...ukimuuliza je_hayo mafao yote yanayotolewa na hao mnatoa...atasema nini sijui.Amesema PPF ilikuwa na fao la kujitoa lakini kwa sasa limesitishwa, ila NSSF kwenye mafao yao hakukuwa na fao la kujitoa kwa maana hiyo walikuwa wanafanya makosa kuwalipa watu fao hilo.
Achana na hao wanaojiita wasomi mkuu....msomi gani hauoni hili tatizo la wazi kabisa.mbona mmekuwa waoga mpaka umejivika ujinga kwa hiyo huyo Irene Isaka si mwanamke ni nani? Ni binti au ni kaka?! acheni ushabiki wa kipuuzi.
Hawa jamaa bado wanasubiri nafasi za uteuzi ndio maana wanajitia pamba kuusema ukweli, hovyo kabisa.Achana na hao wanaojiita wasomi mkuu....msomi gani hauoni hili tatizo la wazi kabisa.
Wajinga sana....mtu mwenye akili timamu hawezi unga mkono ule uchafu uliosemwa na yule mwanamke.Hawa jamaa bado wanasubiri nafasi za uteuzi ndio maana wanajitia pamba kuusema ukweli, hovyo kabisa.