Irene Isaka: NSSF hakuna fao la kujitoa

Irene Isaka: NSSF hakuna fao la kujitoa

Ni Wizi kumnyang'anya mtu kitu ambacho si chako... hivi huwa kinaongezeka faida au ndio unapewa kwa rates ile ile ya miaka ya 80s? maana wazee wa East Africa walipigiwa hesabu zao nilichoka ati 1,200/= tshs wengine 3,000/= dah
 
Hii isikupeshida sana. Kama unajua unaachakazi siku chache unakopa hela benk sawa na hela iliyopo huko nssf au mfuko mwingne. Then wao kufidia den watachua hel zako za mafao. Problem solved

Not easier...nani atakudhamini?

NSSF hawatakudhamini.....

Tajiri au Kampuni itakudhamini
 
Niliangalia kipindi kwa muda mfupi kama nilimsikia akisema ukifika 55yrs unapewa 72% ya ulichochangia na sio chote nikajikuta nimetukana
 
Sele kale inatapatapa inataka kuwekeza kwa kutumia hela zisizo haki, kwa manung'uniko haya uwekezaji lazima u-fail
 
Somalia ni nchi ya wacha Mungu kuliko nchi yeyote duniani 100% ni waislam ndio maana alshabaab wana nguvu sana.

Nchi pekee yenye kabila moja tu na hakuna watu wanaopendana kama wasomali, kwenye kampuni ya msomali wafanyakazi wote ni wasomali, jiulize kwanini haitawaliki? Ndio haya ya huyu mama na ccm wanamchekea tu.
SIO KWELI
 
Kama hakuna Fao la kujitoa mbona pia hakuna fao la kutokuwa na ajira? Muswada bado haujasomwa kwa mara ya pili iweje wazuie? Viongozi wanatuchukulia Poa sana kwa sababu wanajua vyombo vyote vya ulinzi vipo kuwabeba,sioni kama serikali ina nia ya dhati kumkomboa mwananchi na hata hiyo ya kumsaidia kipindi cha uzee ni ujinga,nipo kijana hainijali ndio itakuwa uzeeni? Kujiunga kwenye huo utapeli kwa kigezo cha mifuko iwe option....Watu wenyewe walio kwenye mifuko hawazidi 2% na hao ambao hawapo wakiwa wazee nani anawasaidia? Kama serikali inawapenda mbona ipo kimya tu wapo busy kuwakamua wafanyakazi?
 
Tangia alipoteuliwa enzi hizo hakuwahi kuonyesha professionalism na sijawahi kuwa na imani na huyu mtu,nakumbuka kipindi cha muswada wa fao la kujitoa alikua anatoaga "sweeping statements".

Sina uhakika kama sio.aina ya wateule ambao ni rubber stamp!
 
Huyo unaye Mwita mwanamke ni sawa mama yako umwite mwanamke kisa siasa zenu za kipuuzi hujaelewa jambo unalopoka hata huna hifadhi yoyote ya mfuko kazi yako kelele mwambie lisu wenu akupe elimu uwelewe kazi yako huna mtizamo mrefu unafikili hapahapa.
We jamaa mzima kweli?
 
Sele kale inatapatapa inataka kuwekeza kwa kutumia hela zisizo haki, kwa manung'uniko haya uwekezaji lazima u-fail

Serikali ikileta ubabe kwenye PESA za wanyonge, laana itawapata.....Mungu analeta laana hata kwa Stroke au Tezi dume

Serikali ikusanye kodi kwenye Madini na Utalii....PESA za wanyonge...waachie wanyonge

FAO la kujitoa ni muhimu kwa uhai na morali ya mfanyakazi
 
Halipo umeenda NSSF ukakataliwa kuchukua? Nenda hata saizi pale mliman City utakuta foleni kibao tu ya watu wanajaza form na kuchukua pesa. Mjifunze kufuatilia mambo kwa kina kuliko kutokwa na mapovu kwa habari za kusikia vijiweni



Mkuu hizo habari si za kweli,hakuna mtu anayechukua pesa hapo NSSF, kiufupi hakuna hilo fao halipo, mwanzon walisema baada ya miezi sita baada ya kuacha kazi lakini kwa sasa hakuna, Mimi ni mwanachama wa huo mfuko.
 
Hii topic huwa inanitia kichefuchefu kwa hasira aisee. Yaani nimetumika miaka 14 sasa ndo nakutana na huu wazimu aisee inauma sijawahi ona[emoji47][emoji22]
 
Jike shupa km hilo ndio litasababisha wanawake wote hawawezi kuongoza.... Inaonekana hajui hata km mswaada umepita au vipi
 
Serikali ikileta ubabe kwenye PESA za wanyonge, laana itawapata.....Mungu analeta laana hata kwa Stroke au Tezi dume

Serikali ikusanye kodi kwenye Madini na Utalii....PESA za wanyonge...waachie wanyonge

FAO la kujitoa ni muhimu kwa uhai na morali ya mfanyakazi
Haya ma..... yanajua hata Mungu!!![emoji57]
 
Kwa nini wapeleke mswada wa kuondoa FAO la Kujitoa?

Inatakiwa PPF na NSSF ziwe Mifuko ya akiba...

Mibunge ya CCM itapitisha tu....
 
Mwanamke wa hovyo sana huyu....how come mswada haujapita..lakn fao wametoa.
ishu sio mswada, ni kwamba sheria ilishatungwa na kusainiwa na raia mwaka 2012, ilipoanza kutekwlezwa watu wakaja juu ikatolewa agizo la kuacha hali ibaki kama zamani, ila aheria haikufutwa kwama maana nyingine wamwanza kutekeleza sheria iliyotungwa na kukamilika 2012.
 
Back
Top Bottom