Irene Charles Isaka, Director General, Social Security Regulatory Authority

Tatizo sio mifuko ya HIFADHI kuwa sensitive. Tatizo ni serikali kuichakaza hiyo mifuko kwa kutolipa fedha za kuchangia kama MWAJIRI na kuzitumia kwenye mambo mengine
Pia walilazimishwa kuingia miradi ambapo payback period ni ndefu sana. Mfano Ujenzi wa vitivo UDOM sijui kama marejesho yakoje. Mfano NSSF na viwanda vya sukari na mengine. MARA SACCOs za NSSF ambao ulikuwa mradi mfu uliofyeka pesa ya mwanachama. Yaani Mifuko utafikiri hakuna idara ya Uwekezaji yenye staff wenye akili. Ukweli Mifuko na watumishi wake piga chini ajiri wengine kabisa. Au wahamishie maeneo mengine ya serikali na kupeleka wengine I.e exchange tu. Wezi tu na ukabila na udini vimejaa huko tu.
 
Nitajie rais , waziri mkuu na Waziri wa kawaida nchi hii ambaye hakuanzia kwenye utumishi wa umma...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mama kitu kinacho mshinda ni communication ..anaonekana hayuko vizuri kwenye Oral..ila ni kichwa kwenye written ..kwa position yake atachukiwa mno sababu anashindwa fafanua mambo mazito kwa lugha rahisi na.nyepesi!
Kazi yake ilikuwa haina haja ya kuwa oral. Mahesabu.

Aandike vitabu sasa.
 
Kweli kasaini sheria but siye aliyetunga Kanuni mbovu ya kikokotoo please note the difference...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli rais hakutunga kanuni. Sasa inakuwaje ambaye ameidhinisha kanuni anaachwa anaenda kutumbuliwa alikuwa anazipigia debe. Waziri, naibu na katibu mkuu wanaachwaje hapo na mwanasheria mkuu? Ikumbukwe wabunge wa upinzani waliomba kipengele cha fomula ya ukokotozi kiwekwe kwenye sheria lakini FISIEMU wakasimamia kucha kipengele hicho cha fomula ya ukokotozi kiende kwenye kanuni huku wakijua waziri mwenye dhamana anaweza haribu mambo hukooo kwenye kanuni. Je hilo hawakuliona. NYUMBU NI NYUMBU TUUU. FISIEM NI FISIEM TUU. SIASA ZA KINAFIKI NI ASILI YAO
 
Kwa maandiko haya lazima makamanda wa jkt walikukamua sana
 
Mie nadhani kwao wako so aggresive kwa asili katika kazi.

Angalia hata dada yake na mdogo wake.

Mtu kazi, na ni kazi kweli
Ila sio wanasiasa

I feel sorry for her too, angebaki kwenye private sector tu
So, you were appreciating rubbish. Quality depends on the standard you yourself set. She was of quality in accordance to that time standards.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…