Irene Charles Isaka, Director General, Social Security Regulatory Authority

kuwepo au kutokuwepo kwa UDOM kunahusianaje na serikali kurejesha fedha za wanyonge? Watu wanastaafu lakini wanafuatilia mafao yao hadi wanakufa hawajalipwa mafao yao...huu ni mwaka wa 5 sasa tangu mama yangu astaafu, kila akienda anaambiwa fedha hakuna halafu kuna mijitu hapa inajitoa fahamu inajifanya haijui ugumu wanaoupata watu pindi wakistaafu! Unaweza ukaniambia MULTIPLIER EFFECT ya mama yangu kutolipwa mafao yake kwa miaka 5 sasa? Unataka afe hela zake wafaidi mafisadi wa CCM? Jitazame sana mkuu.
akifa yeye kabla hajapata watapata warithi wake ukiwemo wewe na siku zake zitakuwa zimefika na hatakuwa amefariki kwa kuwa serikali haina hela, in fact kesi ya mama yako inaweza kuwa ni maji ya kijiko ndani ya bahari ukilinganisha na wanafunzi wengi ambao wangekosa elimu ya juu,tatizo la mama linaweza kuwa ni tatizo la kiufundi kwake yeye ila si kwa sababu serikali haina hela! Kama upo free ni PM na nyaraka zote za mother tuone kama kweli tatizo ni serikali kukosa hela
 
I have failed to understand the motive behind this thread, is it to populize Ms Irene as a person or her education background and her ability to steer positive changes in the already dead pension funds?
What pension funds members need is better pension schemes and accessibility of loans when we are still energitic and not blah blah this or blah blah that.

Hili ni jambo la msingi, lakini upofu wa watanzania hawalioni hilo. We need better services to members and not degrees-mabooks na madictionary tu hayatusaidii
 
Huyu mama hana analolijua baada ya kuunganishwa kwa mifuko kuna siku alikuwa anahojiwa clouds na Kibonde, akaulizwa kwanini sheria ya fao la kujitoa na hiki kokotoo cha 25% hakiwagusi wabunge, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, mawaziri......akajibu hajaisoma vuzuri hiyo sheria labda akaipitie vizuri ndio anaweza kutoa majibu....Mkurugenzi hujaisoma sheria.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaempongeza uyo ndo aliesaini hiyo sheria na kuleta hayo majanga. Elimu muhimu watanzania
Kikotoo hakipo kwenye sheria. Hata hao wabunge waliopitisha sheria wanalalamikia kikotoo. Tangu mwanzo kuna wabunge walitaka fomula iwepo kwenye sheria lakini walipuuzwa
 
Huyu mama hana analolijua baada ya kuunganishwa kwa mifuko kuna siku alikuwa anahojiwa clouds na Kibonde, akaulizwa kwanini sheria ya fao la kujitoa na hiki kokotoo cha 25% hakiwagusi wabunge, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, mawaziri......akajibu hajaisoma vuzuri hiyo sheria labda akaipitie vizuri ndio anaweza kutoa majibu....Mkurugenzi hujaisoma sheria.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh eti hajaisoma vzuri
Ngj aipitie tena?

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mama hana analolijua baada ya kuunganishwa kwa mifuko kuna siku alikuwa anahojiwa clouds na Kibonde, akaulizwa kwanini sheria ya fao la kujitoa na hiki kokotoo cha 25% hakiwagusi wabunge, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, mawaziri......akajibu hajaisoma vuzuri hiyo sheria labda akaipitie vizuri ndio anaweza kutoa majibu....Mkurugenzi hujaisoma sheria.....

Sent using Jamii Forums mobile app
aisee...
yaani mhusika mkuu hajaisoma??
 
Back
Top Bottom