Haaa..hiki kitu nilikua sifahamu au sikumbuki kwamba Mwele nae mwanasiasa?
Kama kugombea URAIS ni KUWA mwanasiasa basi huyo binti Malecela ni mwanasiasa!!
Haaa..hiki kitu nilikua sifahamu au sikumbuki kwamba Mwele nae mwanasiasa?
Chini ya pazia, alivyotoka huko private alichukua pension zake zote akihofia sheria mpya, alijua alichokuwa anatetea ni uovu
miaka mitano hii comment imejisimamiaAta uwe na PHD kwenye hayo mambo but kama utaincorporate mambo ya siasa imekula kwako
Pia walilazimishwa kuingia miradi ambapo payback period ni ndefu sana. Mfano Ujenzi wa vitivo UDOM sijui kama marejesho yakoje. Mfano NSSF na viwanda vya sukari na mengine. MARA SACCOs za NSSF ambao ulikuwa mradi mfu uliofyeka pesa ya mwanachama. Yaani Mifuko utafikiri hakuna idara ya Uwekezaji yenye staff wenye akili. Ukweli Mifuko na watumishi wake piga chini ajiri wengine kabisa. Au wahamishie maeneo mengine ya serikali na kupeleka wengine I.e exchange tu. Wezi tu na ukabila na udini vimejaa huko tu.Tatizo sio mifuko ya HIFADHI kuwa sensitive. Tatizo ni serikali kuichakaza hiyo mifuko kwa kutolipa fedha za kuchangia kama MWAJIRI na kuzitumia kwenye mambo mengine
Kweli kasaini sheria but siye aliyetunga Kanuni mbovu ya kikokotoo please note the difference...Unaempongeza uyo ndo aliesaini hiyo sheria na kuleta hayo majanga. Elimu muhimu watanzania
Tatizo sio mifuko ya HIFADHI kuwa sensitive. Tatizo ni serikali kuichakaza hiyo mifuko kwa kutolipa fedha za kuchangia kama MWAJIRI na kuzitumia kwenye mambo mengine
Huyu Mwele umesahau kuwa alichukua form ya kugombea URAIS; hivyo huyu masuala yaake yanachanganyika na siasa hivyo mambo ya uamuzi wa kumhusu yanachanganyika na siasa za kiafrika!! Afrika ni mwiko kuchanganya siasa na taaluma huwezi kutoboa utakwama tu!!
Kazi yake ilikuwa haina haja ya kuwa oral. Mahesabu.Huyu mama kitu kinacho mshinda ni communication ..anaonekana hayuko vizuri kwenye Oral..ila ni kichwa kwenye written ..kwa position yake atachukiwa mno sababu anashindwa fafanua mambo mazito kwa lugha rahisi na.nyepesi!
Ni kweli rais hakutunga kanuni. Sasa inakuwaje ambaye ameidhinisha kanuni anaachwa anaenda kutumbuliwa alikuwa anazipigia debe. Waziri, naibu na katibu mkuu wanaachwaje hapo na mwanasheria mkuu? Ikumbukwe wabunge wa upinzani waliomba kipengele cha fomula ya ukokotozi kiwekwe kwenye sheria lakini FISIEMU wakasimamia kucha kipengele hicho cha fomula ya ukokotozi kiende kwenye kanuni huku wakijua waziri mwenye dhamana anaweza haribu mambo hukooo kwenye kanuni. Je hilo hawakuliona. NYUMBU NI NYUMBU TUUU. FISIEM NI FISIEM TUU. SIASA ZA KINAFIKI NI ASILI YAOKweli kasaini sheria but siye aliyetunga Kanuni mbovu ya kikokotoo please note the difference...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maandiko haya lazima makamanda wa jkt walikukamua sanaI stand to opose all said about İrene!Actually there is no single woman known to me as bold as Irene!I wonder even her fellow women are taking against her!But just to help a little beat about the whole undestanding!
-Mwaka 2014 Dunia ilisaini mkataba wa Unaohusu makubaliano dhidi ya Global warming,nadhani ulikuwa mkataba wa Paris,but kama mnakumbuka,Marekani ilikuja na physiology inayoopose existence ya the so called a Global warming,na wakatetea isue nzima as nothing like the global warming in the world,lakini kimsingi Marekani walijua wanachokitetea...!
-Sasa ii Ssra,si duka la mtu binafsi,ni shirikisho la Parastals...mlitegemea İrene akaongee nn!
-She is an employee,Civil Servant,Obedient....!
Bado anahitajika sn.
Yuko rafiki aliyeandika Phd ya kitu gani sijui,I know Irene since we happened to be in Jkt,she remained the only woman who could not go for a cheap call of Jkt lust officers,tunamjua na iyo heshina anayo!
Al the same,people talk in freedom and to me its ok
Pole Sn Irene!
Sent using Jamii Forums mobile app
So, you were appreciating rubbish. Quality depends on the standard you yourself set. She was of quality in accordance to that time standards.Mie nadhani kwao wako so aggresive kwa asili katika kazi.
Angalia hata dada yake na mdogo wake.
Mtu kazi, na ni kazi kweli
Ila sio wanasiasa
I feel sorry for her too, angebaki kwenye private sector tu