Irene Charles Isaka, Director General, Social Security Regulatory Authority

Irene Charles Isaka, Director General, Social Security Regulatory Authority

...Irene also worked as Public Private Partnership Advisor for 32 councils in the mainland under the Voluntary sector Health Programme(VSHP), the programme which was funded by the USAID....
====
What information was being collected by VSHP from those 32 councils and then submitted to USAID for approval of funds?
 
Kaka nilitaka watu wa-link hivi vitu:

Irene holds a Masters Degree of Economics of the University of Dar es Salaam; specializing in Econometrics and Monetary Economics. She has a Bachelor degree in Economics specializing in Industrial economics, Post graduate Diploma in Pension Funds investments and a Diploma in Risk Management for Social Security Funds

Mbona anaitwa Dr. UDr kaupata lini na chuo gani? Au ndiyo kama kina Prof. Ole ambao hawajawahi kuwa hata Senior Lecturer!! Ni kuita wanahabari na kujipachika uprofesa!!! Hovyooooo.
 
Huyu mama kitu kinacho mshinda ni communication ..anaonekana hayuko vizuri kwenye Oral..ila ni kichwa kwenye written ..kwa position yake atachukiwa mno sababu anashindwa fafanua mambo mazito kwa lugha rahisi na.nyepesi!
Chini ya pazia, alivyotoka huko private alichukua pension zake zote akihofia sheria mpya, alijua alichokuwa anatetea ni uovu
 
CV kuuuubwa ila bure kabisa. Matsers sijui makoro koro ila mpaka phd ya korosho ndio inekuja kukata mzizi wa fitna
CV na elimu si kitu ka mtu huwezi lugha ya siasa. Mi nilikuwa kwa mkoloni nimerejea karibuni hivyo hii kitu jana Dkt Magu ndo kaeleweka vizuri sana.
 
Unapopewa kazi yeyote ile hata kama ni ya ujomba ni muhimu uwe na PROFESSINAL PRINCIPLES; maana yake ni kwamba usifanye kazi kwa utashi wa wakubwa zako bali kwa misingi ya taaluma yako!! Ukifanya hivyo huwezi pata matatizo kwani utakuwa na msimamo wa kukataa kutekeleza yale note ambayo yako kinyume na taaluma yako na hiyo ndio itakuwa kinga yako.
Kwani Dr mwele yeye alifanya kazi kwa matakwa ya nani??

Na nini kilimkuta??

Hapa afrika we fanya kazi kutokana na utashi wa aliyekuteua tu,mambo ya utashi wa kitaaluma weka pembeni.
Sina haja ya kukupa mifano unajua mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na mambo mengine hapa tunamuonea tu irine kosa sio lake yeye mbuzi wa kafara tu.

Alikuwa akiagizwa tu na pengine kwa kuwa yeye ndio alikuwa akionekana kwenye public tulikuwa tunadhani ni yeye ameyafanya yale.

Believe me ndani ya nchi hii huwezi kufanya mambo yale tena sensitive kabisa yawe ni maamuzi tu ya mkurugenzi,hata waziri mwenyewe hawezi.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I stand to opose all said about İrene!Actually there is no single woman known to me as bold as Irene!I wonder even her fellow women are taking against her!But just to help a little beat about the whole undestanding!
-Mwaka 2014 Dunia ilisaini mkataba wa Unaohusu makubaliano dhidi ya Global warming,nadhani ulikuwa mkataba wa Paris,but kama mnakumbuka,Marekani ilikuja na physiology inayoopose existence ya the so called a Global warming,na wakatetea isue nzima as nothing like the global warming in the world,lakini kimsingi Marekani walijua wanachokitetea...!
-Sasa ii Ssra,si duka la mtu binafsi,ni shirikisho la Parastals...mlitegemea İrene akaongee nn!
-She is an employee,Civil Servant,Obedient....!

Bado anahitajika sn.

Yuko rafiki aliyeandika Phd ya kitu gani sijui,I know Irene since we happened to be in Jkt,she remained the only woman who could not go for a cheap call of Jkt lust officers,tunamjua na iyo heshina anayo!

Al the same,people talk in freedom and to me its ok

Pole Sn Irene!

Hapa wanaacha jambo la msingi sana na wanajipa upofu na kujidai eti irine ndo kasababisha hicho kikokotoo.

Irine ni mbuzi wa kafara tu...poor irine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka nilitaka watu wa-link hivi vitu:

Irene holds a Masters Degree of Economics of the University of Dar es Salaam; specializing in Econometrics and Monetary Economics. She has a Bachelor degree in Economics specializing in Industrial economics, Post graduate Diploma in Pension Funds investments and a Diploma in Risk Management for Social Security Funds
CV ya chini sana. Alipataje kile cheo? Inabidi tumwombe Dr mkataza rushwa wa udsm achunguze
 
Kwani Dr mwele yeye alifanya kazi kwa matakwa ya nani??

Huyu Mwele umesahau kuwa alichukua form ya kugombea URAIS; hivyo huyu masuala yaake yanachanganyika na siasa hivyo mambo ya uamuzi wa kumhusu yanachanganyika na siasa za kiafrika!! Afrika ni mwiko kuchanganya siasa na taaluma huwezi kutoboa utakwama tu!!
 
Haaa..hiki kitu nilikua sifahamu au sikumbuki kwamba Mwele nae mwanasiasa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitaki kuamini kama issue senstive kama hiyo kuna kitu kinaweza fanyika bila idara zote nyeti kujua na kupitisha..
Hata Mzee...Magufuli nae atakua alikua anajua tu.sema kaja na gia nyingine ya kujivua na kumtwika huyu mama..Irene...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom