Walituambia hivyo na Kwa Aircraft carrier,kua hazijapigwa lkn Cha ajabu ziliondolewa eneo la vita.
Sasa sijui walizipeleka enea la vita kwa ajili ya kupiga picha?
Walituambia hivyo na Kwa Aircraft carrier,kua hazijapigwa lkn Cha ajabu ziliondolewa eneo la vita.Mkuu hata kule Jordan hao US walisema kombora zote za IRGC zimetunguliwa cha ajabu baada ya wiki wakaja kukiri uharibifu na vifo.
So when it comes to fact-check, US can't be trusted.
IRGC wanasema Jeshi la Marekani lilipewa kifaa hicho (silaha hiyo)kutoka Kwa watengenezaji (kiwanda Cha silaha hiyo)mwaka 2025 kikiwa kipya kabisa baada ya serikali ya Marekani kukinunua.Mkuu,naomba unifafanulie hiki nilichonukuu hapa.
"Jeshi la Wanamaji la IRGC lilisema chombo hicho kilikabidhiwa kwa jeshi la Marekani mwaka 2025 na sasa kipo mikononi mwa Iran kama "nyara." Ni kitu gani kilifanyika au walirudishiana?
Marekani haijawahi kupitia fedheha kubwa Kama hii toka kuundwa kwa Taifa hilo.Izi Aircraft Carrier nk
tatizo kubwa kwao uwezo wa kujilinda
ndio changamoto kwa Makombora ya Iranian 👈
Moja ipo Mombasa wamebaki Wanajeshi wao wengi wameondoka na ndege
Kufanya mission na Taifa kama Iranian lenye Technology kubwa ya Makombora ni Hatari kwa Wanajeshi wao👈
Kule Marekani kwenyewe Wizara ya Ulinzi imetikisika pakubwa baada
Ma Jenerali muhimu
kujiuzulu Jeshini
Trump kwasasa hajui cha
kufanya
kipi chenye tija japo kidogo❗️
Nikama Jeshi lenyewe la Marekani halitaki kupigana Vita na Iranian‼️
kunamatatizo ndani ya Jeshi kwasasa ila yanafunikwafunikwa
Sisi tutaendelea kuona Wanajeshi wakubwa wakijiuzulu siku baada ya siku
Ingekuwa nchi ndogo Trump angepinduliwa na wangemkamata Wanajeshi
Kutokana na Fukuto ndani ya Jeshi kwasasa❗️
Wakubwa wa Jeshi hawakuvitaka ivi Vita tangu mwanzo kabisa❗️
Trump yupo njia panda
Sehemu 3
1) Iranian yenyewe
2(Uchaguzi wa November
3)Mizozo Wizara ya Ulinzi
Kwa kweli,kwa Marekani hili ni janga kubwa sana.Maskini Marekani..
Juzi wamepoteza ndege Tisa zilizopigwa na makombora ya Iran huko Jordan. Kwa mujibu wa taarifa Yao ndege 8 chapa F16 zilipata light injuries wakati A.10 War hog ilipoteza bawa kwenye shambulio Hilo. Kwingineko siku hiyo hiyo zilionekana helicopter kadhaa zikihamishwa kwa malori kutoka sehemu hiyo zikiwa na majeraha mbavuni na kichwani.Kwa hali ilivyo, hivyo ni kusema kwamba US wanapata hasara kubwa za kivita ambazo hawakuzitarajia.
Multiple US military aircraft were damaged in an Iranian strike on a key American airbase in Jordan, CBS reported on Wednesday, citing sources familiar with the matter.MAREKANI kadhidiwa kitechnology na Iranian
Ndiomana MAREKANI hawezi kuzuiya MAKOMBORA ya Iranian kwaiyo Marekan yupo kwenye kudhalilishwa zaidi na Iranian tujipe muda
zaidi ✍️
Hii vita usa anatamani atumie nyuklia au atomic bomu,Kwa kweli,kwa Marekani hili ni janga kubwa sana.
Hili janga ni sawa na janga la kupigwa na Vietnam.
Safari hii akitumia nuke,na wenzake watatumia dhidi yake.Hii vita usa anatamani atumie nyuklia au atomic bomu,
Lakini Hadi huko hana uhakika Nako.Akitumia halafu akafeli atakuwa yupo uchi,
Dunia ni kama haiamini hivi,kwamba haya mambo yanaipata Marekani!?Multiple US military aircraft were damaged in an Iranian strike on a key American airbase in Jordan, CBS reported on Wednesday, citing sources familiar with the matter.
The attack reportedly took place overnight on Tuesday and targeted Muwaffaq Salti Air Base near Azraq, about 100 km northeast of Amman, a major hub for US air operations in the region.
One A-10 Thunderbolt, known as the Warthog, suffered severe wing damage, while around eight F-15s were lightly damaged but returned to service, according to the report
Source:RT
===
Kwa hiyo inabidi atulie TU apigwe kiutu uzimaSafari hii akitumia nuke,na wenzake watatumia dhidi yake.
Ila Iran kaka sio mtoto mdogo. Iran huwezi fananisha na Cuba and the likes kwenye geopolitical sphere if giants Iran yupo.Uko sahihi kabisa.
Ila napenda nikukumbushe kua Marekani hua ana tabia ya kupigwa na vitoto vidogo.
Kumbuka Cuba, Vietnam,Somalia, Afghanistan na Sasa Iran.
Kibaya zaidi safari hii mashoga zake wa ulaya wamemuacha achezee peke yake.
Tena sio peke yake kabisa,yaani peke yake na Mwanae Israel.
Kama unavyosema ni kweli Dunia imepinduka.
Mkuu nadhani unakumbuka tulivyokuwa tukiwatahadharisha kuwa uwezo wa ' polisi wa dunia' unashuka. Walikuwa wabishi.Dunia ni kama haiamini hivi,kwamba haya mambo yanaipata Marekani!?
Na bado wanabisha ingawaje ukweli upo wazi unaonekana na kujionesha kwa kila mtu!!!Mkuu nadhani unakumbuka tulivyokuwa tukiwatahadharisha kuwa uwezo wa ' polisi wa dunia' unashuka. Walikuwa wabishi.