Iran yateka Drone Nyambizi mpya ya Marekani

Iran yateka Drone Nyambizi mpya ya Marekani

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,764
Reaction score
8,584
Jeshi la wanamaji limenasa chombo cha kisasa cha Marekani kinachojiendesha chenyewe chini ya maji karibu na Mlango wa bahari wa Hormuz. Jeshi la Wanamaji la IRGC lilisema chombo hicho kilikabidhiwa kwa jeshi la Marekani mwaka 2025 na sasa kipo mikononi mwa Iran kama "nyara."

Chombo hicho cha Dive-LD, kinachotengenezwa na kampuni ya teknolojia ya ulinzi ya Marekani ya Anduril Industries, kina urefu wa takriban mita 5.8 na uzito wa karibu tani tatu za metric. Kina uwezo wa kufanya kazi kikiwa chini ya maji kwa takriban siku 10 bila kuongozwa na binadamu na kinaweza kufika kina cha hadi mita 6,000, kulingana na maelezo ya mtengenezaji.

Chombo hicho kimetengenezwa kwa muundo unaoruhusu kufungwa vifaa na mitambo mbalimbali ya kihisia kwa ajili ya shughuli mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ukusanyaji wa taarifa za kiintelijensia na upelelezi, vita vya mabomu ya ardhini na majini, kuchora ramani za sakafu ya bahari, pamoja na ukaguzi wa miundombinu iliyo chini ya maji.

My take
Iran inafahamika kwa uwezo mkubwa wa kuchunguza na kuchukua Siri jinsi iliyotengenezwa na kuweza kutengeneza silaha kama hiyo.
Ikiwapendeza Iran wanaweza kiwakaribisha maswahiba wake Urusi na china ili kujipatia teknolojia mpya.

1788942792668.png

1788943223742.png

===========
Iran’s Revolutionary Guards said Tuesday that its navy had captured an advanced US unmanned underwater vehicle near the entrance to the Strait of Hormuz, with Iranian state media identifying the vessel as an Anduril Dive-LD autonomous undersea vehicle.

The IRGC Navy said the vehicle had been delivered to the US military in 2025 and was now in Iranian possession as a “prize.” It said images of the captured vessel would be released.

There was no immediate confirmation from the US military of the reported seizure.

The Dive-LD, manufactured by US defense technology company Anduril Industries, is a roughly 5.8-meter-long autonomous underwater vehicle weighing close to three metric tons. It can operate autonomously for around 10 days and reach depths of up to 6,000 meters, according to the manufacturer.

Anduril delivered its first Dive-LD to the US Navy’s Unmanned Undersea Vehicle Squadron 1 in April 2025.

The vehicle has a modular design allowing different sensors and payloads to be fitted for missions including intelligence and surveillance, mine warfare, seabed mapping and inspection of underwater infrastructure.

Source: Iran International & Naval news
 
Kama nyambizi inatekwa basi aachane na hiyo vita USA yupo hapo kwa maslahi yake binafsi ya kutuongezea bei za mafuta tu.
US mshindani tishio kwake kiuchumi ni China. Baada ya kunyakua mafuta Venezuela, kituo kinachofata ilikuwa Iran. Walijua wakidhibiti nchi zinazompatia China nishati rahisi, wataweza kumdhoofisha kiuchumi.

Hesabu walipiga vibaya. Iran kajiandaa miaka mingi, na bila shaka anapata msaada wa kiinteligensia toka Urusi na China. Iran akianguka, next target atakuwa Russia. Ndio maana hii vita ya Ukraine haitokwisha bila Russia kufikia malengo yake.
 
MAREKANI kadhidiwa kitechnology na Iranian

Ndiomana MAREKANI hawezi kuzuiya MAKOMBORA ya Iranian kwaiyo Marekan yupo kwenye kudhalilishwa zaidi za Iranian tujipe muda
zaidi ✍️
Wewe utakua unazungumzia marekani ya kwa MPARANGE

Iran hawezi DINDA kwa supapawa USA in short Irani anaingizwa getho anapigwa paipu kwenye matobo yote... Kwa vyovyote
 
Ko ya Marekani hua yanazuiliwa na Iran

Zipo sehemu Iranian wanayazuiya kwasasa✅️

Ndiomana MAREKANI inapigana kwa kuviziya👈

tofauti na Iranian

unajua ktk lile eneo MAREKANI kabakiwa na kambi chache zipo Active❗️

pamoja na uchache wake
bado Iranian leo Alfajiri uko Jordan zimechakazwa kambi zao tena✍️
 
Wewe utakua unazungumzia marekani ya kwa MPARANGE

Iran hawezi DINDA kwa supapawa USA in short Irani anaingizwa getho anapigwa paipu kwenye matobo yote... Kwa vyovyote

Zama za RAMBO jamaa inaonekana ulikuwa Shabiki kindaki ndaki

Kumekucha ndugu check Aljazeera leo BASE za Marekani uko JORDAN zinakaangwa

Wanajeshi kila mmoja kakimbia njia yake kujinurusu na Israel wa Kifo😂😂😂

IRANIAN sio Venezuela
nk ✍️
 
Safari hii iran kang'@ng'nia mbupu za super glue
Yaani super glue na wanamuunga mkono kuanzia kule nyuu yoki siti mpaka hapa jf siti hawaamini wanayoyaona
Tukiwaambia Hawa Pro US siku nyingi zilizopita,kuwa Yankee ni Supa pawa wa makaratasi,ni paper Tiger,ni kubwa jinga hawakutusikia.
Sasa hawaamini wanachokiona na kusikia.
Kubaki wanapigwa,kutoka wanaona aibu.
Walipokua wanamsaidia Ukraine ili amdhoofishe Russia walifurahi sana na wengi walisema hii vita ni Ukraine na Urusi tu,na Ukraine anamtoa kamasi Urusi.
Sasa kibao kimegeuka,Mimi nasema hii vita ni Marekani plus Israel wakimchangia Iran peke yake.

Sasa ni zamu ya kubwa jinga kudhoofiishwa,na amekwisha dhoofika sana kusema kweli.
Huko Washington wanazungumza njia za kuachana na vita hii, bila kujali aibu.
 
Wewe utakua unazungumzia marekani ya kwa MPARANGE

Iran hawezi DINDA kwa supapawa USA in short Irani anaingizwa getho anapigwa paipu kwenye matobo yote... Kwa vyovyote
Unajua bro vita ni tukio la Wazi,kuna watu wanaiona,tunatangaziwa kwenye redio,tv,magazeti na social media.
Vita sio siasa ambayo ni maneno huwezi kuyaona ,vita kama soka TU,soka ni mchezo wa Wazi Kila mtu anaona.
Kama tulivyoona Vietnam, Afghanistan,Somalia na Sasa Iran.
 
Safari hii iran kang'@ng'nia mbupu za super glue
Yaani super glue na wanamuunga mkono kuanzia kule nyuu yoki siti mpaka hapa jf siti hawaamini wanayoyaona
Inawezekana Dunia haikuwahi kujua iran na bado hatujaijua.
Hawa jamaa inaonesha Wana Siri kubwa sana katika medani za vita Dunia haijui.
Unakumbuka Iran ilishawahi kuishusha drone ya USA kutoka angani kama ilivyo na ilipotua haikuwa imedunguliwa wala kua na uhatibifu wowote,Sasa hata hii drone ya ndani ya maji haijapigwa Bali imekamatwa nzimanzima.
Iran Wana tech za Siri sana.
 
Back
Top Bottom