Jeshi la wanamaji limenasa chombo cha kisasa cha Marekani kinachojiendesha chenyewe chini ya maji karibu na Mlango wa bahari wa Hormuz. Jeshi la Wanamaji la IRGC lilisema chombo hicho kilikabidhiwa kwa jeshi la Marekani mwaka 2025 na sasa kipo mikononi mwa Iran kama "nyara."
Chombo hicho cha Dive-LD, kinachotengenezwa na kampuni ya teknolojia ya ulinzi ya Marekani ya Anduril Industries, kina urefu wa takriban mita 5.8 na uzito wa karibu tani tatu za metric. Kina uwezo wa kufanya kazi kikiwa chini ya maji kwa takriban siku 10 bila kuongozwa na binadamu na kinaweza kufika kina cha hadi mita 6,000, kulingana na maelezo ya mtengenezaji.
Chombo hicho kimetengenezwa kwa muundo unaoruhusu kufungwa vifaa na mitambo mbalimbali ya kihisia kwa ajili ya shughuli mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ukusanyaji wa taarifa za kiintelijensia na upelelezi, vita vya mabomu ya ardhini na majini, kuchora ramani za sakafu ya bahari, pamoja na ukaguzi wa miundombinu iliyo chini ya maji.
My take
Iran inafahamika kwa uwezo mkubwa wa kuchunguza na kuchukua Siri jinsi iliyotengenezwa na kuweza kutengeneza silaha kama hiyo.
Ikiwapendeza Iran wanaweza kiwakaribisha maswahiba wake Urusi na china ili kujipatia teknolojia mpya.
===========
Iran’s Revolutionary Guards said Tuesday that its navy had captured an advanced US unmanned underwater vehicle near the entrance to the Strait of Hormuz, with Iranian state media identifying the vessel as an Anduril Dive-LD autonomous undersea vehicle.
The IRGC Navy said the vehicle had been delivered to the US military in 2025 and was now in Iranian possession as a “prize.” It said images of the captured vessel would be released.
There was no immediate confirmation from the US military of the reported seizure.
The Dive-LD, manufactured by US defense technology company Anduril Industries, is a roughly 5.8-meter-long autonomous underwater vehicle weighing close to three metric tons. It can operate autonomously for around 10 days and reach depths of up to 6,000 meters, according to the manufacturer.
Anduril delivered its first Dive-LD to the US Navy’s Unmanned Undersea Vehicle Squadron 1 in April 2025.
The vehicle has a modular design allowing different sensors and payloads to be fitted for missions including intelligence and surveillance, mine warfare, seabed mapping and inspection of underwater infrastructure.
Source: Iran International & Naval news