Je Marekani, Israel wanajiandaa na vita dhidi ya Iran?

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,318
Reaction score
103,580
Taarifa za Kijasusi za Marekani zinadai kuwa Iran ina mpango wa kufanya mashambulizi sehemu mbali mbali Mashariki ya Kati.

Jeshi la Marekani yapeleka Nyambizi itumiayo Nyuklia katika Bahari ya Maditrenia.

Israel ilisema Iran inakaribia kufikia uwezo wa kuunda bomu la Nyuklia na ikaapa itaharibu mpango huo kabla ya huo mpango kukamilika.

Israel imevamia kambi kadhaa za Iran nchini Syria na kuua, kuharibu miundombinu.

Iran imekiri kuuwawa kwa viongozi wake wakubwa 2 katika mashambulizi ya Mwezi huu huko Syria, Iran imeapa kulipiza kisasi kwa walioua viongozi wake.

Je tunaelekea kule tulipofikiria?
Tumejipangaje njia itumikayo kuleta mafuta (Homuz Strait) ikifungwa na Iran?

Update

The USS Florida, an Ohio-Class Nuclear-Powered Cruise Missile Submarine has reportedly transited the Suez Canal and entered Territorial Waters near the Middle East in order to “Support the Stability and Security” of the Region. https://t.co/CgtvszpjLG

3 rockets were launched from Syria into Israel a short while ago. 1 of them crossed into Israeli territory and landed in the southern Golan Heights.

No interceptors were launched in accordance with policy.
 
Taarifa za Kijasusi za Marekani zinadai kuwa Iran ina mpango wa kufanya mashambulizi sehemu mbali mbali Mashariki ya Kati.

Jeshi la Marekani yapeleka Nyambizi itumiayo Nyuklia katika Bahari ya Maditrenia.

Israel ilisema Iran inakaribia kufikia uwezo wa kuunda bomu la Nyuklia na ikaapa itaharibu mpango huo kabla ya huo mpango kukamilika.

Israel imevamia kambi kadhaa za Iran nchini Syria na kuua, kuharibu miundombinu.

Iran imekiri kuuwawa kwa viongozi wake wakubwa 2 katika mashambulizi ya Mwezi huu huko Syria, Iran imeapa kulipiza kisasi kwa walioua viongozi wake.

Je tunaelekea kule tulipofikiria?
Tumejipangaje njia itumikayo kuleta mafuta (Homuz Strait) ikifungwa na Iran?
Hivi watanzania hatuna Natural gas ?

Huu utegemezi tutaendelea nao hadi lini??
 
Kinacho Fanyika hapo ni Marekani Kimemuuma Sana Kwa Hao Kupatana na Saudia
Mashariki yakati Sasa wamejua Mbaya wao na Jibwa Koko ni Marekani
Huyu Alikuwa akiwagombanisha Kwa Manufaa yake
Sasa Anatafuta Njia Nyingine ili Aanzishe Migogoro Mingine
Hii dunia kuwa na Amani nipigo kwa Marekani.
IMG_20230408_161035.jpg
IMG_20230408_162146.jpg
IMG_20230408_162600.jpg
 
Pesa inaleta ujuzi kwenye vichwa vya wasomi wetu ?

Huko ambako wana hii technolojia waliipata kwa pesa ngapi ?
Kasome tena ujue nguvu ya pesa au uchumi inavyoweza kukusaidia kama huna pesa inamaana huna mtaji hutakuwa na uwezo wa kununua teknolojia yoyote, mitambo wala wataalamu ayo ni machache tu pesa inayoweza kusaidia
 
Twende taratibu, hao wazungu nao walinunua kutoka kwa nani ?

Au wachina Technology ya 5G walinunua kutoka wapi maana wameanza kuwa nayo kabla hata ya Mzungu ?

Halafu mzungu wa taifa lipi anaweza kuiuzia Iran maarifa ?
Reaserch and Development zinahitaji pesa nyingi sana, Serikali ya Tanzania haiwekezi kwenye RnD..
Hata kile kilimo cha Bashe kilitakiwa kipitie kwanza RnD kabla hawajapeleka watu.

5G Huawei haimiliki peke yake, kuna sehemu anamiliki na kuna sehemu hamiliki hivyo analipia na kulipwa kutokana na matimizi au kuuzwa kwa bidhaa husika
 
Katika sekta ya uchimbaji gesi Iran inajitegemea kiteknolojia, hata Urusi kwa sasa vipuri kwa ajili mitambo yake ya uchimbaji gesi ana agiza Iran baada ya kushindwa kuvinunua Ujerumani kwa sababu ya vikwazo.
Uthibitisho tafadhari
 
Reaserch and Development zinahitaji pesa nyingi sana, Serikali ya Tanzania haiwekezi kwenye RnD..
Hata kile kilimo cha Bashe kilitakiwa kipitie kwanza RnD kabla hawajapeleka watu.

5G Huawei haimiliki peke yake, kuna sehemu anamiliki na kuna sehemu hamiliki hivyo analipia na kulipwa kutokana na matimizi au kuuzwa kwa bidhaa husika
Bado majibu yako hayapo straight. Umesema Iran ananunua technology toka kwa mzungu. Swali la msingi, mzungu na yeye ananunua kutoka wapi ?

Tufanye source ya teknolojia ni maarifa waliyonayo hao wazungu, sasa unaweza niambie kipi kinawazuia waafrika au watanzania kuwa nao sehemu ya uvumbuzi wa technology ya kuwawezesha kuvuna na kufaidika na hiyo gesi ya asili ?
Au ni lazima anunue ujuzi kutoka kwa nje ?

Kama jibu lako ni ndiyo, je, tunaweza kuhitimisha kuwa mtanzania ana uwezo mdogo wa kufikiria ndio maana hana uwezo wa kuvumbua maarifa ya kumsaidia kuvuna rasimali zake kwa manufaa makubwa ?
 
Maana nilivyosema Reaserch and Development hujajiongea kujua kaipataje?
 
Nimethibitisha Iran anatengeneza Turbines na Steams za Gas
 
Back
Top Bottom