ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,071
- 19,211
Arqaida ilipo ishambulia Pentagon hilo shambulizi liliitwaje?Mashambulizi ya kigaidi kwenye military targets? Inawezekana kuitwa hivyo?
Arqaida ilipo ishambulia Pentagon hilo shambulizi liliitwaje?Mashambulizi ya kigaidi kwenye military targets? Inawezekana kuitwa hivyo?
Anaweka kidole jichoni sioAcha utoto dogo. Nyarugusu (Nyumbani kwetu) imeingiaje hapa? Kwa taarifa yako Nyarugusu ipo mkoa wa Kigoma Wilaya ya Kasulu wakati Buseresere ipo Wilaya ya Chato mkoa wa Geita. Kwahiyo acha kuropoka havina Uhusiano.




Kuna loitering munitions, ambayo lazima iongozwe,, mfano, inatumwa kushambulia nyumba fulani, labda kuna mtu wanamtafuta kumuua, hiyo drone itatumwa na kubaki juu, area, hovering,, ikisubiri confirmation ya kuhit,, so pengine kabla haijahit, ikaonekana kundi la watoto wakiingia ndani ya nyumba, na kwamba inabidi ku abort mission ili kuepuka kuua wasio na hatia, hivyo drone inabaki juu on target, hovering, kusubiri amri ya kushambulia,, ndo maana zinaitwa loitering munitions,,Sio lazima uziongoze, nyingine ukiipa coordinates inajipeleka
Ni kweli, shida iliyopo, Rais wa Azerbanjan,, Aliyev ni ana uhusiano mzuri na israel na US,, na wanashirikiana kijeshiJamii ya waazerbaijan ndo kubwa nchini Iran baada ya jamii ya waajemi.
Pia Azeirbaijan na Iran wana undugu wa kimadhehebu wote ni washia.
Jew wa iran, hawana hizo ishu,, iran inasumbuliwa na wafuasi wa aliyekuwa mfalme wa iran, shah,, ambae alipinduliwa na ayatollah 1979,Kuna Jews wengi Iran na hao ndio wanaoiumiza Iran.
Pia Iran ina maadui wengi ndani yao
Unavyoitetea Palestine kama kuna mum-eo alizaliwa huko SASA unaona vitoto vya benja vitapita na uzazi wake😂😂😂 Mazombi yanavyo itetea Israel kama wanaishi au walizaliwa huko! Iombee Tanzania maana ikikubwa na machafuko utalala njaa! Utakuwa mkimbizi! We unaiombea Israel inakuhusu nn ndugu yangu?
Na vikombora fulani alivyompaga swahiba wake russia, navyo vimechemka huko ukraine.irani. mwana kulitafuta mwanakulipata.
na hivi hana Nukes.
na silaha yake kubwa ni kemikaze
Huyu naye anazidi kunyongonyezwa.., Russia atajikuta mwenyewe bila mshirika wa maana wa kuaminika,!Bonge la blow kwa Iran, hakutegemea
Drone net ndio zipoje na zinafanyaje kaziKama drones zimerushwa toka ndani ya iran,, hana justification ya kukurupuka kushambulia nchi yeyote,
Halafu hii habari imejaa propaganda nyingi sana, eneo lishambuliwa na drone , wanadai ni moja tu, na shambulio halikufaulu, drone moja ilipigwa, mbili zilinasa kwenye drone net, zikalipuka bila kuleta madhara makubwa,
Tunasubiri confirmation ya picha za satelites kutoka maeneo yanayodaiwa kushambuliwa
Ninataka kuelewa unachosema ila, kama lengo la mhusika (ambaye bado hajajitambulisha) ni kushambulia maeneo ya kijeshi (ambayo sio ya kiraia), tunawezaje kusema kwa uhakika kuwa kuna sababu za kisiasa ama kiitikadi ndani yake?Kabisa.....
ugaidi sio lazima ulenge raia tu hata taasis za kiusalama kama jeshi, polisi au hata miundombinu muhimu ya kiraia kama umeme au maji.... muhimu lengo liwe kuhujumu taasis husika kwa nia ya kutambulika, kutengeneza hofu au kwa sababu za kisiasa au itikadi.
Sio lazima kwa raia tu, hata kushambulia maeneo ya kijeshi wakati hampo vitani ni Ugaidi pia.Ugaidi huwa unafanyika ili kuleta athari kwa raia moja kwa moja [ambao ndio wahusika wa masuala ya kisiasa na kiitikadi] na sio mkakati mahususi wa kushambulia maeneo ya kijeshi kama ambavyo taarifa zinasema.
Shambulizi la Pentagon la wakati gani? Septemba 11?Sasa mkuu hapo umeuliza swali gani?
Magaidi walio shambulia makao makuu ya jeshi ya marekani Pentagon ni wa aina gani?
Kwani ni Pentagon pekee ndiyo iliyolengwa?Arqaida ilipo ishambulia Pentagon hilo shambulizi liliitwaje?
IsraelHizo drone ni za nani?
Drone za Israel...Drone zilirushwa na wapinga Iran walio NDANI ya Iran japo nyingi zilitunguliwa maana main target ilikuwa mitambo ya nuclear
Ila Iran hailali na deni watajibu tu hawajawahi kumchekea mtu
Okay!Sio lazima kwa raia tu, hata kushambulia maeneo ya kijeshi wakati hampo vitani ni Ugaidi pia.
️#BREAKING Israel carried out a clandestine drone strike targeting a defence compound in the Iranian city of Isfahan, according to U.S. officials and people familiar with the operation — WSJ