IRAN Yashambuliwa kwa Drones

IRAN Yashambuliwa kwa Drones

Endelea kuvaa kijora, Iran wenyewe kabisa wamesema kwamba kuna drone zimelipua maeneo yao! Wewe Muiran wa Nyarugusu huko Buseresere unabisha
Acha utoto dogo. Nyarugusu (Nyumbani kwetu) imeingiaje hapa? Kwa taarifa yako Nyarugusu ipo mkoa wa Kigoma Wilaya ya Kasulu wakati Buseresere ipo Wilaya ya Chato mkoa wa Geita. Kwahiyo acha kuropoka havina Uhusiano.
 
Acha utoto dogo. Nyarugusu (Nyumbani kwetu) imeingiaje hapa? Kwa taarifa yako Nyarugusu ipo mkoa wa Kigoma Wilaya ya Kasulu wakati Buseresere ipo Wilaya ya Chato mkoa wa Geita. Kwahiyo acha kuropoka havina Uhusiano.
Nyarugusu ziko nyingi!!
 
Bado tunafuatilia satelite image😂,follow, samir on twitter, huyo ndo mtaalamu wetu.
 
Mashambulizi ya kigaidi kwenye military targets? Inawezekana kuitwa hivyo?
Kabisa.....

ugaidi sio lazima ulenge raia tu hata taasis za kiusalama kama jeshi, polisi au hata miundombinu muhimu ya kiraia kama umeme au maji.... muhimu lengo liwe kuhujumu taasis husika kwa nia ya kutambulika, kutengeneza hofu au kwa sababu za kisiasa au itikadi.
 
Kama drones zimerushwa toka ndani ya iran,, hana justification ya kukurupuka kushambulia nchi yeyote,
Halafu hii habari imejaa propaganda nyingi sana, eneo lishambuliwa na drone , wanadai ni moja tu, na shambulio halikufaulu, drone moja ilipigwa, mbili zilinasa kwenye drone net, zikalipuka bila kuleta madhara makubwa,
Tunasubiri confirmation ya picha za satelites kutoka maeneo yanayodaiwa kushambuliwa
Lazima itakuwa ni internal ndo maana retaliation bado haijafanyika.
 
Kunae drone ndogo, unaweka katika bag la mgongoni, zinakua na low explosive payload,
So mtu atasogea hadi mita chache kutoka kwenye targets, mfano military facilities,
Kisha anafungua bag na kurusha drone, ataiongoza hadi inahit target, kisha huyo anawasha pikipiki yake na kutokomea
Sio lazima uziongoze, nyingine ukiipa coordinates inajipeleka
 
Sio kweli, Iran hawana undugu na wa-Azerbaijan, wakati wa-Iran ni Persians wa-Azerbaijan ni jamii ya Turkish sawa na watu wa mataifa ya Uturuki, Kazakhastan, Turkmenistan, Uzbekistan, Kirgistan na Tajikistan.
Jamii ya waazerbaijan ndo kubwa nchini Iran baada ya jamii ya waajemi.
Pia Azeirbaijan na Iran wana undugu wa kimadhehebu wote ni washia.
 
Back
Top Bottom