Azeri ni jamii ya Turks wakati Wairan wengi ni waajemi ambao wako mbali na Turks hata kwa lugha.Nikupe mfano rahisi kenya kuna wajaluo, pia tanzania wapo,,
Hivyo hivyo Azerbaijan kuna waazer na pia iran kuna azer,, na mmoja wapo ni ayotollah ni azer,,
Kama hukujua, azerbanjain ni jamii moja na wairan tangu persian empire,,
Persian ni kabila kubwa iran
Waliweza ishusha moja bila kuaharibika- wakakuta inafanana kila kitu na Drone ya Israel iliodondoshwa Hivi karibuni Lebanon.Ajabu hadi muda huu Iran haijajua drone zimetokea wapi, zinamilikiwa na nani
Miji 7 imelipuliwa
Itamjibu nani na barua aliyotumiwa haina anuani?
Ngapi HukoTulia sasa uone majibu
Na wewe ukaamini? hakuna madhara wakati kulikuwa na tanuru la moto?Wizara yao ya ulinzi imetuambia kuwa "shambulizi limezuiwa, hakuna madhara kwa watu".
Hana lolote mpuuzi kama alivyo beberu bi madeni😂tu.ladies and gentlemen mbele yenu niiiiii
Netanyahuuuuu.
dunia isha tiwa ndimu huko
Kama IRAN hakuna amani basi niwazi hakuna taifa lenye amani hapo MEIran anajazwa ili aingie kwenye vita kamili,
Iran hawataipata Amani hapo middle East kwakuwa amechagua upande wa kushoto.
Upo ndotoni auHakuna mwingine bali Israel akisaidiwa na shoga zake wa magharibi. Hapo ndiyo mimi huwa nawadharau Waarabu, maana wao wanamchukia Muirani kwa sababu dhehebu lake la dini ya Kiislamu ni tofauti na Waarabu. Divide and rule inafanya kazi kweli. Ila sasa naona BRICS inakuwa tishio kwa Magharibi. BRICS ikiimarika vikwazo vyote vya madharibi vitakufa kifo cha mende.
Waisrael usema chochote - lakini wakumbuke kitu kimoja wasichezee Iran - hata akishirikiana na USA hawezi kufanya lolote -wataishia kwenye hujuma hujuma tu lakini sio vita kamili.sraelistate channel reports that a convoy of 25 Iranian
trucks has just been hit in the Abu Kamal area on the border of Iraq
and Syria
.
Sawa mwanajeshi wa IranWaisrael usema chochote - lakini wakumbuke kitu kimoja wasichezee Iran - hata akishirikiana na USA hawezi kufanya lolote -wataishia kwenye hujuma hujuma tu lakini sio vita kamili.
Wasilaaniwe hao wayahudi waliompga mwana wa mungu mpk waka mvua nguo akabaki na chupi huyo mungu aje kutulaani sisi basi huyo mungu waajabu sijapata kuona kaacha kuwalaani waliembonda mwane atulaani sisiMtu yeyote anayeilaani israel huishiwa kuwa laana
Iran lazima atapeleka kichapo Israel, sa hivi Israel wanasubiria hicho kichapoWaisrael usema chochote - lakini wakumbuke kitu kimoja wasichezee Iran - hata akishirikiana na USA hawezi kufanya lolote -wataishia kwenye hujuma hujuma tu lakini sio vita kamili.
Ubongo wake umeoshwa na ukatakasikaWasilaaniwe hao wayahudi waliompga mwana wa mungu mpk waka mvua nguo akabaki na chupi huyo mungu aje kutulaani sisi basi huyo mungu waajabu sijapata kuona kaacha kuwalaani waliembonda mwane atulaani sisi


Wakipeleka ujue hawajipendiIran lazima atapeleka kichapo Israel, sa hivi Israel wanasubiria hicho kichapo