Unknown philosopher
Member
- Sep 3, 2022
- 40
- 90
But Israel inashutumiwa sana koz mosad ndo wahusika wakuuOkay!
Tukumbuke kuwa, bado kuna issue ya kusudi (intent) na mwenye kusudi, ambapo katika case hii, mwenye kusudi bado hajajitokeza hadharani na wala aliyeshambuliwa hajatoka rasmi na kumthibitisha mwenye kusudi. Suala ambalo linakosa vigezo kamili vya kutambulika kama ugaidi kwa viwango vya kimataifa vinavyokubalika na jumuiya ya kimataifa.