passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,514
- 12,487
Subiri utaona kitakachotokea yaleyale ya marekaniNdio ameshakaa nalo.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Subiri utaona kitakachotokea yaleyale ya marekaniNdio ameshakaa nalo.
Hao Iran atawanyonga!Drone zilirushwa na wapinga Iran walio NDANI ya Iran japo nyingi zilitunguliwa maana main target ilikuwa mitambo ya nuclear
Ila Iran hailali na deni watajibu tu hawajawahi kumchekea mtu
Israel akisaidiana na mahawara zake wa ulaya...wanamkomoa kwa kumpa Russia dronesHadi muda huu haijajulikana nani karusha drone ila yasemekana ni Magaidi ndani ya Iran.
Drone zilirushwa na wapinga Iran walio NDANI ya Iran japo nyingi zilitunguliwa maana main target ilikuwa mitambo ya nuclear
Ila Iran hailali na deni watajibu tu hawajawahi kumchekea mtu
Watamjibu nani sasa?Huna akili kusema hivyo hukumbuki alichomfanyia marekani?
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Ijibu wapi??!
Kakwambia naniHamna wametandikwa na Israel. Drones zimetokea kwenye Airbase ya Israel ipo Azerbaijan.
Ramli aka saa habari!
Raia gan wamefurah?Maana wamepigwa miji 7, afu raia wanafurahia vibaya mno.
Ngoja tusubirie nani atahusishwa
Sababu nn mpaka Israel irushe drone kuipiga Iran?Hamna wametandikwa na Israel. Drones zimetokea kwenye Airbase ya Israel ipo Azerbaijan.
Nan kakuambia? Issue timing tuIran anaguswa mpaka kwenye nguo za ndani bila kujijua? Hawa jamaa bado wapo chini Sana kwenye ujasusi