IRAN Yashambuliwa kwa Drones

IRAN Yashambuliwa kwa Drones

Iran haiwezi kukaa na Deni soon waliohusika watashambuliwa.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Kama drones zimerushwa toka ndani ya iran,, hana justification ya kukurupuka kushambulia nchi yeyote,
Halafu hii habari imejaa propaganda nyingi sana, eneo lishambuliwa na drone , wanadai ni moja tu, na shambulio halikufaulu, drone moja ilipigwa, mbili zilinasa kwenye drone net, zikalipuka bila kuleta madhara makubwa,
Tunasubiri confirmation ya picha za satelites kutoka maeneo yanayodaiwa kushambuliwa
 
😂😂😂 Mazombi yanavyo itetea Israel kama wanaishi au walizaliwa huko! Iombee Tanzania maana ikikubwa na machafuko utalala njaa! Utakuwa mkimbizi! We unaiombea Israel inakuhusu nn ndugu yangu?
Hatuogopi hata kufa
 
Magaidi wa aina gani hao wanashambulia maeneo ya kijeshi?
Kunae drone ndogo, unaweka katika bag la mgongoni, zinakua na low explosive payload,
So mtu atasogea hadi mita chache kutoka kwenye targets, mfano military facilities,
Kisha anafungua bag na kurusha drone, ataiongoza hadi inahit target, kisha huyo anawasha pikipiki yake na kutokomea🤗
 
Kwahiyo, huyo mtu ni gaidi wa aina gani?
 
Kama itabainika zimetokea azerbainjain, watashambuliwa na iran,, japo wa azer ni ndugu wa iran,, hata ayotollah ni mu azer
Sio kweli, Iran hawana undugu na wa-Azerbaijan, wakati wa-Iran ni Persians wa-Azerbaijan ni jamii ya Turkish sawa na watu wa mataifa ya Uturuki, Kazakhastan, Turkmenistan, Uzbekistan, Kirgistan na Tajikistan.
 
Nikupe mfano rahisi kenya kuna wajaluo, pia tanzania wapo,,
Hivyo hivyo Azerbaijan kuna waazer na pia iran kuna azer,, na mmoja wapo ni ayotollah ni azer,,
Kama hukujua, azerbanjain ni jamii moja na wairan tangu persian empire,,
Persian ni kabila kubwa iran
 
Back
Top Bottom