one wisow
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,327
- 1,918
Mpaka sasa hakuna ushahidi wa Nani aliuehusika na hio drone moja iliofanikiwa kuhit target. Ingawa ill wishers wana isingizia israel lakini uchunguzi wa awali unaonesha hili shambulizi lime tokea ndani ya mispaka ya Iran [emoji1130] yaani ni internal agents amehusika.