Iran yasema inamsubiri huyo atakayejaribu kuishambulia kwa kutumia kisingizio chochote

Taifa la Iran kwa mara ya mwanzo limetoa kauli kufuatia vitisho vya Marekani kuwa inakusudia kulipiza kisasi kwa nguvu kubwa dhidi ya wale walioongoza mashambulizi kwenye vikosi vyake nchini Jordan ambavyo vilisababisha vifa vya askari wake watatu hapo majuzi.

Onyo hilo limetolewa na balozi wa Iran katika umoja wa mataifa Amir Saeid Iravan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari hapo jana.

Kwa kauli hiyo Iran imenuia kujibu uchokozi huo kwa nguvu kubwa kadri ilizonazo.

View attachment 2889872
Iran ndio mwanaume pekee pale mashariki ya mbali
 
Iran kama waswahili tu hamna kabisa tofauti. Watapewa tu Pakistan wawanyooshe na kelele zote zitaisha. Eti hiyo ndio inajiita serikali ya kidini, usanii mtupu.
Ndivyo unavyojidanganya Pakistan ammudu Iran??
Kwani huyo Pakistan hajitaki mpaka akubali full confrontation na Iran?
 
Mbona iran hakumuondosha balozi wake kule Pakistan na mbona Pakistan aliamua kuregesha balozi wake iran
Iran alijua kupigana na Pakistan sio kwa faida ya Pakistan wala Iran ndio maana akatumia akili kubwa
Bro unabishana na kijana alie puberty atakupa shida.
 
Amjibu mpakistani kwanza marekani si size yake

Pakistan hana sababu ya kushambuliwa na Iran.
Hakukuwa na sababu ya kujibizana maana mambo yangemalizika kidiplomasia.
Iran na Pakistan hawana uhasama na ndio maana Pakistan ikaitisha kikao kumaliza mzozo,aliyeitisha kikao sio Iran.
Sijui kama masuala ya diplomasia unayajua wewe.
 
Nchi yako ishambuliwe mara mbili alafu ikae kimya acha ujinga ndo maana walijibu mapigo wale sio mazoba

Iran kama ni mwanaume angeendelea kumshambulia pakistan yeye ndo alianza mbona kaomba poo
 
Nchi yako ishambuliwe mara mbili alafu ikae kimya acha ujinga ndo maana walijibu mapigo wale sio mazoba

Iran kama ni mwanaume angeendelea kumshambulia pakistan yeye ndo alianza mbona kaomba poo
Ulifuatilia nani aliyeitisha kikao kati ya Iran na Pakistan??
Kama kaitisha kikao Pakistan cha kumaliza utata nani atakua kaomba yaishe??
Iran ni nchi yenye mahasimu wengi unataka ajikite kwa Pakistan ilhali ana USA,UK na Israel wanamuwinda kila kona??
Huku ana vikwazo vya kiuchumi vinamuandama kila kona,kwa akili zako kweli akae na kuendekeza vita na Pakistan??
Palipovamiwa ni Boluchistan province ambayo wote wanachangia kama Pakistan wanavyochangia na India Kashmir.
Embu kuwa mtu wa reasoning basi
 
Hamudu kivip nawakati alijibu mapigo
Iraq ndo hammudu iran ndo hakujibu mapigo
Soma hapa kama hammudu
KICHWA CHA HABARI KINAKUUMBUA.
SOMA KINASEMA" ISLAMABAD SAYS IT TARGETED HIDEOUTS OF ARMED GROUP IN IRAN DAY AFTER SERIES OF IRAN ATTACKS ON PAKISTAN".
ISLAMABAD INASEMA IMEFANYA MASHAMBULIZI KATIKA NGOME ZA WASHIKA SILAHA NDANI YA IRAN BAADA YA SHAMBULIO LA IRAN JUU YA PAKISTAN.
PAKISTAN IMESEMA IMELENGA WASHIKA SILAHA HAIKULENGA IRAN KAMA IRAN.
POOR YOU.
Na kwa taarifa yako Iran ndiye aliyeanza kushambulia ndani ya Pakistan.
Na Pakistan akashambulia sio kwa kujibu mapigo laa hasha ameweka wazi kuwa ameshambulia kundi la washika silaha wanaovuruga amani kati ya Pakistan na Iran.
Inaonekana hata lugha ya malkia inakuchanganya.
Soma vizuri.
 
Hamudu kivip nawakati alijibu mapigo
Iraq ndo hammudu iran ndo hakujibu mapigo
Soma hapa kama hammudu
Pia unatakiwa utambua Iran geopolitically ipo katika situation gani sasa hivi.
Iran ni taifa linalowindwa kiintelijensia,kijeshi na kivikwazo na mataifa makubwa.
Akisema ajichanganye kidogo anapotea,hivyo hawezi kuendekeza vita hata kidogo zisizo na maana.
USA,UK ,Israel wanamuwinda akae aendekeze vita na Pakistan??
 
Kwamba iran alivyoitisha kikao na pakistan walikutaarifu kinachooenda kujadiliwa we kama nani
 
Back
Top Bottom