Iran yasema inamsubiri huyo atakayejaribu kuishambulia kwa kutumia kisingizio chochote

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,192
10,926
Taifa la Iran kwa mara ya mwanzo limetoa kauli kufuatia vitisho vya Marekani kuwa inakusudia kulipiza kisasi kwa nguvu kubwa dhidi ya wale walioongoza mashambulizi kwenye vikosi vyake nchini Jordan ambavyo vilisababisha vifa vya askari wake watatu hapo majuzi.

Onyo hilo limetolewa na balozi wa Iran katika umoja wa mataifa Amir Saeid Iravan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari hapo jana.

Kwa kauli hiyo Iran imenuia kujibu uchokozi huo kwa nguvu kubwa kadri ilizonazo.

1706710627483.png
 
Kila nikifikiria mikwara aliyopiga Iraq enzi zile na akachakaa mpaka rais wao kukamatwa kama kuku tu, sijawahi waamini waarabu ni viongo na vioga ila kwa uchokozi sasa
 
We subili atajaa kwenye mfumo yule .
labda kwenye vijiwe vyako huko.tulishawa wafukuza kipindi cha nyerere na kipindi cha kibiti na pwani wakaja kujifanya wanasaidia walivofanyiwa usishangae ndugu zako wa singinda na wenye itikadi zako kupotea
 
Taifa la Iran kwa mara ya mwanzo limetoa kauli kufuatia vitisho vya Marekani kuwa inakusudia kulipiza kisasi kwa nguvu kubwa dhidi ya wale walioongoza mashambulizi kwenye vikosi vyake nchini Jordan ambavyo vilisababisha vifa vya askari wake watatu hapo majuzi.

Onyo hilo limetolewa na balozi wa Iran katika umoja wa mataifa Amir Saeid Iravan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari hapo jana.

Kwa kauli hiyo Iran imenuia kujibu uchokozi huo kwa nguvu kubwa kadri ilizonazo
View attachment 2889872
Wewe habari zako sijui unazitoa wapi

View: https://twitter.com/Osint613/status/1752678054919336154?t=huF_Ff2IIJwYtwIgUlDORg&s=19
 
Taifa la Iran kwa mara ya mwanzo limetoa kauli kufuatia vitisho vya Marekani kuwa inakusudia kulipiza kisasi kwa nguvu kubwa dhidi ya wale walioongoza mashambulizi kwenye vikosi vyake nchini Jordan ambavyo vilisababisha vifa vya askari wake watatu hapo majuzi.

Onyo hilo limetolewa na balozi wa Iran katika umoja wa mataifa Amir Saeid Iravan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari hapo jana.

Kwa kauli hiyo Iran imenuia kujibu uchokozi huo kwa nguvu kubwa kadri ilizonazo
View attachment 2889872
Kwani kuzungumza shingapi? :)
 
Pakistan juzi tu kamgwaya mpaka kaenda kuomba yaishe
Ndio ujue kama iran akili kubwa kuliko mnavyodhania
Iran anajua kama Pakistan sio adui yake wala hana ubaya nae
Mlitaka iran na Pakistan wapigane ili mufanikishe malengo yenu poleni sana sababu iran kawatangulia westerners mbali sana kwenye kufikiria mambo
Mbona hajaenda Americant kuwaomba msamaha kwa waungaji mkono wake kuwafyeka magaidi wa Americant pale Jordan 🤣😁😂
 
Back
Top Bottom