Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,521
- 8,286
Mkuu ebu fikiria vizuri, kama alikuwa hamaanishi hivyo asingeleta mambo ya 1988, tena matukio yanayofanana.Nilikua nimeishika hiyopost.. nadhani wametenganisha uzi. Ilikua na page 800.
jamaa hamaanishi kwamba ni haki kutungua ndege.. anachojaribu kusema mwaka 1988 hao US walitungua ndege yenye abiria zaidi ya 290 pia.. kama ni unyama US ni mnyama zaidi ya fisi ktk mauaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app