Iran yakataa kukabidhi Black Box kwa Boeing

Iran yakataa kukabidhi Black Box kwa Boeing

Trump prezdar of Doom yote haya sababu ni wewe; kutaka kuonyesha dunia your nation is powerful:::: Your pride & Ego will lose a lot of innocent blood
Hizo ni sera za Marekani na sio Trump.

Kabla ya kina Bush na Obama, Marekani imetembeza vichapo almost dunia nzima. Nenda Vietnam watakuambia.

Yeye anafuata sera za Marekani zinafanya nini kwa wakati huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Irani anachofanya ni cha kweli maana boing wanaweza kupika dator ....na kusema ilani ilidungua ndege kwa makusudi

Sent using i phone x
 
Back
Top Bottom