Out of what you mean't.Rejea mawazo yako ya mwanzo.Hakuna anayeropoka humu tafuta tafsiri ya kuropoka ni nini.
Humu kuna wajuaji and you're one of them.
Boeing waliwaomba B.E.A wawasaidie kufanya uchunguzi au ni kiherehere cha Ethiopia?
Yes walizisoma wao, Ethiopia walikuwa wamiliki wa lile dege je Iran ni wamiliki wa hilo dege?
.
Majukumu ya B.E.A ni haya na si kama wewe udhaniavyo hawana mamlaka na ndege zisizo za ufaransa zilizoanguka nchi nyingine. Mfano Boeing 737-800 max iliyoanguka Ethiopia au Indonesia haziwahusu.
Wana mamlaka na ndege za ufaransa au zisizo za ufaransa zilizopata hitilafu au kuanguka ndani ya anga lao.
Following international rules, French authorities are responsible for investigating all aircraft accidents occurring in French territory or airspace, as well as accidents involving French aircraft occurring in international airspace or in other countries if the local authorities do not open a technical enquiry. They may also assist foreign investigation authorities at their request.
Note: THEY MAY ALSO ASSIST FOREIGN INVESTIGATION AUTHORITIES AT THEIR REQUEST.
swali Ethiopia baada ya kupatiwa majibu ya uchunguzi waliyafanyia nini? Au waliyapeleka Boeing 😝😝😝 ambaki walisema hawakuamini
There was no need for this and i am sure ni uongo! Huna uwezo huo
Iran Kaua watu 17+ Wasio na Hatia, huyu ni Wa kutandikwa na Dunia Nzima
Dunia nzima iko pamoja na Iran.
dodge
Duuh [emoji2][emoji2][emoji23]Kama hujui acha kuropoka kuna firm inaitwa BEA "Bureau d'Enquêtes et d'Analyses pour la sécurité de l'aviation civile " Kama ulikuwa hujui hata Ethiopia walikataa kuwapa USA ile black boxes ya B737-800 Max. Hizo box zilipelekwa Paris na kusomwa na BEA. Muwage mnatumia Google kuacquire maarifa. Yaani iam very well informed internationale. Nikiamka asubuhi lazima nisome RT, Le Figaro, The Guardian. Acheni kusoma magazeti ya Shigongo. Yanawafanya muwe zero brain.
The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!Akili za waumini ya hii dini ya mnyazimungu zimekaa kihasira hasira na ulipaji kisasi. Sasa wameua ndugu zao wengi ili kimkomoa Usa. Hawa wanatakiwa power yao iwe minimised ili kuepuka hizi athari
Vimbwanga au more computerized systems pamoja na usalama wa hali ya juu jifunze weweNi toleo moja (max) imeongezwa vimbangwa vingine kuonyesha inatofauti. Iliyoanguka ni earlier version ya NG planes
Your Mamy and Dady!Bogus kweli
Mtaalamu wa ndege hana jina?Halafu sio mimi najisemea mtaalamu wa ndege ndio alikuwa anatoa ufafanuzi BBC, ni swala jepesi sana ata wewe ukifanya ka research utaona sifa za hiyo ndege.
Gether = GatherTry to gether information by yourself. Hata huyo unaemtumia kama desa lako na yeye hajui lolote.
Vimbwanga au more computerized systems pamoja na usalama wa hali ya juu jifunze wewe
Your Mamy and Dady!
Mtaalamu wa ndege hana jina?
Nimesoma Quora sifa za hiyo ndege 737 haziko hivyo kama ulivyosema ndio maana moja kwa moja nikasema umeitaja max with no damn doubt
Natumia simu. Ni kawaida kabisa kukosea. Halafu nipo malls nashop.Hivyo kukosea spelling wala siyo issue.Gether = Gather
😝😝😝 wewe unayejiona unajua ndio useless kabisa
Huyo jamaa ni bull sana. Anajiona anajua kumbe hajui. Na hajui kama hajui.View attachment 1316261
Ata kufanya google search uwezi pathetic halafu unaleta ujuaji.
Usiwe una quote watu wazima na kuanza kuleta vimatusi wakati huna unachokijua.
Pole sana Mkuu Alokwambia Kama IRAN Kapanik Mwambie Akwambie TenaKinachofanya wagome kutoa kibox tushakijua na ndo kitamuingiza ktk mgogoro na Ukraine,
Mjinga mtie hasira atakurupuka
Jamaa itakuwa wamepanic kwa hofu kila ndege wanayoiona usiku wanajua ni ya mmarekani wanapiga tu,wamejikuta wamepiga hyo na kuua watu wake yenyewe,wairan 80 walikuwa ndani ya ndege
Sent using Jamii Forums mobile app
Facts.....Ni muda sasa wa dunia kutambua uwezo na nguvu ya jeshi la Iran
Huyo ni mtoto hasa. Hata BEA alikuwa hajui. Sasa nimempa hints,anakuja na essay hapa.Duuh [emoji2][emoji2][emoji23]
Kama haja kuelewa hata kuelewa tena mileleeeee........
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa post zake kanaonekana ni katoto kadogo halafu hakana adabu ni type fulani ya ‘me-me’Huyo jamaa ni bull sana. Anajiona anajua kumbe hajui. Na hajui kama hajui.
Sasa hapa unachobisha nini?
Hiki ndicho nilichokisema.Nimesoma Quora sifa za hiyo ndege 737 haziko hivyo kama ulivyosema ndio maana moja kwa moja nikasema umeitaja max with no damn doubt
Pathetic your mamy and dadyAta kufanya google search uwezi pathetic halafu unaleta ujuaji.
I didn't insulted you anywhere what i do is to finish what you have just started hahaha.Usiwe una quote watu wazima na kuanza kuleta vimatusi wakati huna unachokijua.
Bigot can you STFU?Kwa post zake kanaonekana ni katoto kadogo halafu hakana adabu ni type fulani ya ‘me-me’
Aliyekuuliza kama upo shopping malls nani?Natumia simu. Ni kawaida kabisa kukosea. Halafu nipo malls nashop.Hivyo kukosea spelling wala siyo issue.
Mtoto nani wewe?Huyo ni mtoto hasa. Hata BEA alikuwa hajui. Sasa nimempa hints,anakuja na essay hapa.