Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,221
737-800 iliyoanguka wanadai ni moja ya ndege imara na yenye rekodi nzuri kwenye usalama kushinda matoleo yote ya ndege Boeing iliyowai toa miaka ya karibuni.
Conspiracy theories zishaanza kutokana na historia ya uimara wandege. Worth knowing safari yenyewe ilichelewa kwa masaa mawili kwa sababu ndege ilionekana ina hitilafu muda mchache kabla ya kuondoka.