Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,155
Dunia iliyopo kisogoni kwakoDunia nzima iko pamoja na Iran.
dodge
Dunia iliyopo kisogoni kwakoDunia nzima iko pamoja na Iran.
dodge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuuuuuuUS Kauwa Zaidi Ya Watu Million 10 Duniani Huyu Niwakutandikwa Mpaka Mbinguni...
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran Kaua watu 17+ Wasio na Hatia, huyu ni Wa kutandikwa na Dunia Nzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona watu ni full kumpiga USA matofali.Hawa wamarekani wamemnyima viza foreign minister wa iran ...hata mimi siwapi black box hawachelewi kupika data...
Sent using Jamii Forums mobile app
Masahihisho ni 280.Hata US ilishawahi kutungua. Ndege ya raia ikaua abiria 290.
dodge
Sasa Paris ndipo kuna HQ za Boeing?USA hawaaminiki. Waipeleke Paris.
Weka linkSource ni Reuters International
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
most likely , cuz kulikua na wakanada kama 62 ivi, ukiua mkanada sawa na umeua mmarekani,Masahihisho ni 280.
Kwa hiyo hii Boeing 737 old model imetunguliwa na Iran au sio?
😝😝
Yani mtu anayejifanya mjuaji ni mtu wa ajabu sana.737-800 iliyoanguka wanadai ni moja ya ndege imara na yenye rekodi nzuri kwenye usalama kushinda matoleo yote ya ndege Boeing iliyowai toa miaka ya karibuni.
Conspiracy theories zishaanza kutokana na historia ya uimara wandege. Worth knowing safari yenyewe ilichelewa kwa masaa mawili kwa sababu ndege ilionekana ina hitilafu muda mchache kabla ya kuondoka.
Yes.Link inaruhusiwa?
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Kama hujui acha kuropoka kuna firm inaitwa BEA "Bureau d'Enquêtes et d'Analyses pour la sécurité de l'aviation civile " Kama ulikuwa hujui hata Ethiopia walikataa kuwapa USA ile black boxes ya B737-800 Max. Hizo box zilipelekwa Paris na kusomwa na BEA. Muwage mnatumia Google kuacquire maarifa. Yaani iam very well informed internationale. Nikiamka asubuhi lazima nisome RT, Le Figaro, The Guardian. Acheni kusoma magazeti ya Shigongo. Yanawafanya muwe zero brain.Sasa Paris ndipo kuna HQ za Boeing?
Umeanza kuumwa ugonjwa wako
you are missing a point, hata wangekuwepo wairani 1000 on board, kuua wazungu 62 ni Neema iyo,Yes, sasa kwenye hilo dege kulikua na Raia 70+ wa Iran mng'ato anatuletea story zake za vijiwe vya Gahawa yani wauwe raia wao? Lmao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji106][emoji106][emoji106]Kama hujui acha kuropoka kuna firm inaitwa BEA "Bureau d'Enquêtes et d'Analyses pour la sécurité de l'aviation civile " Kama ulikuwa hujui hata Ethiopia walikataa kuwapa USA ile black boxes ya B737-800 Max. Hizo box zilipelekwa Paris na kusomwa na BEA. Muwage mnatumia Google kuacquire maarifa. Yaani iam very well informed internationale. Nikiamka asubuhi lazima nisome RT, Le Figaro, The Guardian. Acheni kusoma magazeti ya Shigongo. Yanawafanya muwe zero brain.
Iran Kaua watu 17+ Wasio na Hatia, huyu ni Wa kutandikwa na Dunia Nzima
Tatizo wamezoea kusoma ijumaa sijui risasi. Wema afumaniwa sijui Diamond kikafika wapi.Kama una Telegram, search Reuters: world,kila kitu utakipata faster.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk