Mkwawa Old
Member
- Jul 2, 2006
- 36
- 4
Moyo huwa unaniuma ninapoona mtu mmoja anatukana na kunyanyasa watu katika hii Forum!! hadi amesababisha watu wengine kama M..etc wamekimbia hii Forum! .
Na hata kama akiombwa msamaha yeye hutukana tu!
Jamani tunakuomba msamaha au unataka watu wote wakuachie huu uwanja?
anyway, tuwe wastaarabu jamani kama mtu una point zako watu au wana forum wasomaji wakisoma wanakujua sasa sifa za nini tena.
Tunaomba humu katika forum na siyo matusi. Kama mtu mmoja akiona wengine hawajui au hawana point NI VEMA UTUELEWESHE KWA POINT NA SIYO KUSEMA MJINGA NK.
HAYO NI MAWAZO YANGU NINAUNGANA NA FD WE NEED PEACE BROTHER!.