Iran vs. US military capabilities

Natumai shule umefungua sasa, ukasome

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pamoja na sifa zote hizi Marekani haijawahi kupigana vita yoyote ikashinda toka taifa hilo lianzishwe. Wanasumbuliwa na "Fear of the unknown"

Wenye akili watanielewa.
 
Kama wanahivi vifaa kwanini wasivipeleke Afghanistan wawamalize watalibani huu mwaka wa ishirini sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipofikia kafikia wap !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiiiii
Kwenye US Umeongelea Facts Ila Kwa IRAN Umeongea PUMBA.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaambiwa ukweli kama umechanganya madawa unatoa povu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
Unategemea mataifa gani yatamsupport Iran? Kama kuna taifa kubwa linauwekezaji wake Iran Marekani hawezi ingilia wala kuharibu miundombinu hiyo. Yeye anadeal na kuchukua utawala utakaosikiliza matwaka yake(Economic interest). Libya alipigwa na mataifa makubwa ya Ulaya yaliyowekeza pale wala hayakuingilia mapigano yale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaungana vipi na Saudia ili hali America ndio biggest consumer wa mafuta ya Saudia tangu enzi hizo. Ushirikiano wao ni wa muda mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hueleweki? Mara unatamani mara huombei vita, tukueleweje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…