Kumbe Iran wana makombora yanayofika hadi Ulaya?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,189
Reaction score
24,611
Kilometer 4000 sio mchezo maana mwanzo nilidhani yanapiga mpaka kilometer 2000 tu...Hii ni message iran wanatuma

[emoji599][emoji599][emoji599] IRAN JUST FIRED A BALLISTIC MISSILE AT A U.S.-BRITISH MILITARY BASE 4,000 KM AWAY → AND NO ONE IS TALKING ABOUT WHAT THAT MEANS.

Iran launched a ballistic missile at Diego Garcia → one of the most strategic and SECRET military bases on Earth, located on a remote island in the Indian Ocean. The Wall Street Journal confirmed the attack came AFTER Britain allowed Washington to use the base for operations against Iran.

Let that sink in.

[emoji88] Diego Garcia is over 4,000 KM from Iranian territory
[emoji88] Radar systems around the Persian Gulf DETECTED the launch
[emoji88] The missile was either shot down or malfunctioned mid-air
[emoji88] The WSJ called it a "qualitative development" showing "significant Iranian capability"
[emoji88] Britain is now a DIRECT target for allowing U.S. operations from its base

Do you understand what just happened?

[emoji3544] The U.S. has NEVER had an enemy fire a ballistic missile at a base 4,000 km away — not in Iraq, not in Afghanistan, not in the entire War on Terror. EVER.

[emoji3544] Diego Garcia was supposed to be UNTOUCHABLE — so far from the Middle East that it was considered the ultimate safe zone. Iran just proved it's NOT.

[emoji3544] For comparison — 4,000 km is the distance from New York to Los Angeles. Iran can now reach targets across an ENTIRE OCEAN.

They're showing you "the missile failed" and "it was intercepted."

They're NOT showing you that Iran just demonstrated it can strike ANY Western military base on the PLANET.

Here's the logic:

Iran fires at a base 4,000 km away → that means their missile range covers ALL of Europe → every NATO base in the Middle East, Africa, and Indian Ocean is now in range → every U.S. ally that hosted operations is now a TARGET → Britain, UAE, Bahrain, Qatar — ALL of them.

If Iran's missiles can't reach that far, why did radar systems DETECT a launch toward Diego Garcia? If they CAN reach that far, why is the media burying this as a footnote?

Complete silence.

The scariest part isn't that Iran fired this missile. It's that they did it as a MESSAGE — "let us use your bases against us, and NOWHERE is safe." Britain just found out what being America's ally costs. Every country hosting U.S. forces is now recalculating whether that alliance is PROTECTION or a DEATH SENTENCE.

This is not a war the West is winning. This is a war the West is SURVIVING — barely.

Prepare accordingly. [emoji599][emoji599][emoji599]

20260318_074752.jpg
 
View attachment 3560891
Usikute ana surprise zingine nyingi tu ambazo atazionesha.
Hii vita tutaona mengi.
 
Hii habari imekuwa exaggerated Sana.
Propaganda na kutishana kwingi.
Ingawa Iran anapigwa anatembeza kipigo kikali na yeye.
Amewashangaza sana adui zake.
Iran anaweza kuwapiga waliomzunguka wote na Israel pia asipopewa msaada na Marekani.
 
Watu mnapenda sana uwongo! Israel inapewa msaada gani na Marekani? Kuna wanajeshi wa Marekani wapo Israel?
NI kweli kuwa Israel inanunua silaha toka Marekani na Ujerumani; na yenyewe pia kuna aina ya silaha inaiuzia Marekani, Ujerumani, India na UAE. Zaidi ya kuuza na kununua, Israel na Marekani wana miradi ya pamoja ya tekinolojia za kivita. China inanunua baadhi ya vifaa na tekinolojia toka Israel. Hayo ni mambo ya kawaida. Kwa fikra zako, China ikinunua silaha toka Israel ina maana China inasaidiwa na Israel? Tanzania ilinunua ndege Boeing toka USA ina maana imesaidiwa na Marekani?

Kubalini ukweli kuwa pamoja na Iran kuwa na idadi kubwa zaidi ya Iskari ukilinganisha na Israel, lakini kiutaalam, jeshi la Iran linazidiwa kwa mbali sana na jeshi la Israel, ndiyo maana kwa miaka mingi Israel imeishambulia au kuingia na kuleta maafa ndani ya Iran bila ya Iran kuwa na uwezo wa namna hiyo ndani ya Israel.

Strategic Differences
  • Israel: Focuses on technological superiority, intelligence, and a quick-mobilizing reserve force.
  • Iran: Focuses on asymmetrical warfare, relying on its "axis of resistance" proxies and massive missile stockpiles
 
Usikute ana surprise zingine nyingi tu ambazo atazionesha.
Hii vita tutaona mengi.
100% niauhakika jamaa wana nukes, wana ICBM tena za super Soni. Mrusi amekaa kimya sana kwa hiyo vita. Lakini ukaribu wao wa miaka ya hivi karibuni unajambo. Uliskia Urusi anawanasayansi wake wa nyuklia huko ira. Na pia miezi kama miwili kabla ya hiyo vita, ndege za mizigo za mrusi na mchina wamepiga ruti nyingi sana hapo irani. Nadhani tunaenda kuona mkubwa akivuliwa nguo hadharani, sasa sijui atachutama au atabaki wima atuoneshe maungo yake
 
Kilichopo katikati ya mabega yako ni mzigo.
 
Mrusi amekaa kimya maana yuko occupied na ukraine kwa sasa. Resources ame deplet nyingi sana
Hawez jigawa kwenye multiple fronts

For the record tu wangekuwa nazo wangeshatumia siku nyingi mno.

Icbm hazifichiki
 
Yani licha ya vyombo vya habari vyote Duniani kwaonyesha Trump na Netanyahu wakicomment kuhusu kushirikiana katika hii operation pia hadi leo unaleta ubishi humu?
Kweli bora ujinga kuliko elimu iliyopotoshwa 🤔
 
Mrusi amekaa kimya maana yuko occupied na ukraine kwa sasa. Resources ame deplet nyingi sana
Hawez jigawa kwenye multiple fronts

For the record tu wangekuwa nazo wangeshatumia siku nyingi mno.

Icbm hazifichiki
Daah, naona bora nikae kimya tu. Kubishana na mtu usiejua kabisa ni kujidharilisha tu. Wacha niendelee kunywa pombe tu
 
100% niauhakika jamaa wana nukes, wana ICBM tena za super Soni. Mrusi amekaa kimya sana kwa hiyo vita. Lakini ukaribu wao wa miaka ya hivi karibuni unajambo. Uliskia Urusi anawanasayansi wake wa nyuklia huko ira. Na pia miezi kama miwili kabla ya hiyo vita, ndege za mizigo za mrusi na mchina wamepiga ruti nyingi sana hapo irani. Nadhani tunaenda kuona mkubwa akivuliwa nguo hadharani, sasa sijui atachutama au atabaki wima atuoneshe maungo yake

Anasuburi nini sasa kutumia huo mzigo? Mpk nini kifanyike? Urusi ni either rafiki mnafiki au anafanya biashara tu! Hana msaada wowote kwa allies wake
 
Watu mnapenda sana uwongo! Israel inapewa msaada gani na Marekani? Kuna wanajeshi wa Marekani wapo Israel?
NI kweli kuwa Israel inanunua silaha toka Marekani na Ujerumani; na yenyewe pia kuna aina ya silaha inaiuzia Marekani, Ujerumani, India na UAE. Zaidi ya kuuza na kununua, Israel na Marekani wana miradi ya pamoja ya tekinolojia za kivita. China inanunua baadhi ya vifaa na tekinolojia toka Israel. Hayo ni mambo ya kawaida. Kwa fikra zako, China ikinunua silaha toka Israel ina maana China inasaidiwa na Israel? Tanzania ilinunua ndege Boeing toka USA ina maana imesaidiwa na Marekani?

Kubalini ukweli kuwa pamoja na Iran kuwa na idadi kubwa zaidi ya Iskari ukilinganisha na Israel, lakini kiutaalam, jeshi la Iran linazidiwa kwa mbali sana na jeshi la Israel, ndiyo maana kwa miaka mingi Israel imeishambulia au kuingia na kuleta maafa ndani ya Iran bila ya Iran kuwa na uwezo wa namna hiyo ndani ya Israel.

Strategic Differences
  • Israel: Focuses on technological superiority, intelligence, and a quick-mobilizing reserve force.
  • Iran: Focuses on asymmetrical warfare, relying on its "axis of resistance" proxies and massive missile stockpiles
We kijana huwa sisi tunakutahadharisha USIONGEE KAMA HUNA ELIMU.
-Israel inapokea msaada wa bajeti ya jeshi takriban $4 billions kila mwaka.
-Israel kuna silaha inapokea BURE kutoka USA.
-Vita takriban zote anazopigana Israel nyuma kuna USA hata six days war US walikuwemo ndani ya jeshi la Israel.
-Vita ya Hamas tu USA ilipeleka marines 2000 kuwaisaidia Israel kwenye operation dhidi ya Hamas.
-Vita ya mwaka huu Israel na USA walifanya JOINT MILLITARY OPERATIONS DHIDI YA IRAN. Je hilo unapinga!?? USA na Israel walifanya shambulio la anga kwa pamoja. Na Trump alikiri na alisema kabisa " Kama USA isingeshiriki kuisaidia Israel dhidi ya Iran basi Iran ilikua inaenda kuifuta Israel,maana Iran ilipanga kufanya shambulio kubwa la kulipiza,ila sisi USA kushiriki kumewafanya watawanye nguvu".
Hapo Israel Marekani kahamisha ADS kutoka gulf states na kuzipeleka Israel na pia kuna WANAJESHI WA USA NDANI YA ISRAEL WANAOSAIDIA INTERCEPTIONS YA MASHAMBULIO YA IRAN.

KIJANA HUONGEI NA WATOTO WENZAKO HIVYO ONGEA UKIWA UNAJUA UNACHOONGEA.
Zile USS Abrahm Lincoln aircraft carriers zinafanya nini middle east kama Israel haisaidiwi na USA??
Pete Hegseth zile $ 200 billions za kuendeleza vita dhidi ya Iran aliziomba za nini kama USA haiisadii Israel!???

KUMBAFU.
 
Mrusi amekaa kimya maana yuko occupied na ukraine kwa sasa. Resources ame deplet nyingi sana
Hawez jigawa kwenye multiple fronts

For the record tu wangekuwa nazo wangeshatumia siku nyingi mno.

Icbm hazifichiki
Kama wamerusha kombora la masafa ya 4000kms ambalo waliaminika HAWANA basi uhakika ICBM wanalo.
Maana intelijensia zote zinafahamu Iran range ya makombora yake ni 2000kms.
 
Wale wana IQ kubwa, washapiga mahesabu na kujua kuwa kama wakivamiwa waulaya wanaweza kushirikiana na marekani, kwa hiyo watakuwa na solution ya hilo
 
Back
Top Bottom