Iran vs. US military capabilities

Iran vs. US military capabilities

Nyie watu mnadhani hayo mavitu ndio anapigana tu? hivi mnajua marekani wasingekua na technolojia wangekua wa mwisho kijeshi duniani? Hivi wa Vietnam walikua na hayo madege mnayosema mbona marekani waliwaondoa. Kinachopigana ni tactics ,strategies ,lakini na reason to fight . Je wamarekani wana genuine reason to fight that gives the morale to the fighters. So msije kushangaa ikawa aibu kwa marekani
Tatizo US inapigana vita na wewe nyumbani kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi 2seme mapenzi kwa khamenei maana takwimu zinaonesha ndio mtu mwenye ushawishi zaidi ndani ya IRAN PPia Ikumbukwe Yakwamba Khamenei Ndio Ana Mamlaka Makubwa Kuliko Hata Huyo Rais Wenye Unae Muongelea Hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaelewa unachoandika ??? Narudia Tena unaelewa unachoandika ?

Unamfahama mahmoud ahmadinejad???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina shida ,lakini hata wao watakufa na Israel kibaraka wao atakipata cha moto, none is benefiting from the war ,only that US is made of the son of the devil . That's all
 
Hapa namaanisha kuwa hawa magaidi na vitimbi vyao US wanamkono mkubwa juu ya uwepo wao sasa wamewatumi weee ule wakati wa kupoteza ushahidi ukaanza maana mpaka wao madhara wameyapata.
Hii ni dhana tu inajengwa ili kutokugusia kiini cha Tatizo, lakini haina UKweli.
Kwa mfano, Waliwatumia ili kufanya Nini?
Wapoteze Ushahidi upi na kwa nani wanayemuogopa?. Utaona ni baseless.

Ukweli ni kua magaidi wengi wamekua Indocrinated na Religion.
Magaidi wamekua waki-Recruit new members, wazima mpaka Watoto kupitia nyumba za Ibada.

Ugaidi ni ideology in nature. Watu wanauishi, wanaabudu, wanasujudu.
Kuna watu sio magaidi lakini wanajihisi kushabikia na kuunga mkono Magaidi. Wakipewa Upenyo au Fursa watajiunga moja kwa moja. Ugaidi ni vita vya waoga. Ni sawa na kirusi cha Ukimwi. Kwasababu ni vigumu kumtambua gaidi akiwa katikati ya watu wema.

Na jinsi Waarabu wanavyopata Pesa ya Mafuta na ugaidi unazidi kua na nguvu duniani. Magaidi sio watu masikini. Ila wanaweza kutumia watu masikini wa mali hadi masikini wa akili.
 
'reason to fight'

Very genuine point.
Nyie watu mnadhani hayo mavitu ndio anapigana tu? hivi mnajua marekani wasingekua na technolojia wangekua wa mwisho kijeshi duniani? Hivi wa Vietnam walikua na hayo madege mnayosema mbona marekani waliwaondoa. Kinachopigana ni tactics ,strategies ,lakini na reason to fight . Je wamarekani wana genuine reason to fight that gives the morale to the fighters. So msije kushangaa ikawa aibu kwa marekani

dodge
 
Hii ni dhana tu inajengwa ili kutokugusia kiini cha Tatizo, lakini haina UKweli.
Kwa mfano, Waliwatumia ili kufanya Nini?
Wapoteze Ushahidi upi na kwa nani wanayemuogopa?. Utaona ni baseless.

Ukweli ni kua magaidi wengi wamekua Indocrinated na Religion.
Magaidi wamekua waki-Recruit new members, wazima mpaka Watoto kupitia nyumba za Ibada.

Ugaidi ni ideology in nature. Watu wanauishi, wanaabudu, wanasujudu.
Kuna watu sio magaidi lakini wanajihisi kushabikia na kuunga mkono Magaidi. Wakipewa Upenyo au Fursa watajiunga moja kwa moja. Ugaidi ni vita vya waoga. Ni sawa na kirusi cha Ukimwi. Kwasababu ni vigumu kumtambua gaidi akiwa katikati ya watu wema.

Na jinsi Waarabu wanavyopata Pesa ya Mafuta na ugaidi unazidi kua na nguvu duniani. Magaidi sio watu masikini. Ila wanaweza kutumia watu masikini wa mali hadi masikini wa akili.
Magaidi.com
Screenshot_2020-01-06-12-29-31-1.jpeg

dodge
 
Jamaa wamechukizwa sana na hilo tukio na wana haki ya kuwa hivyo, ila sidhani kama wanaweza ingia vitani na USA, hao waharibifu wana nguvu kubwa sana ya ndani, bado na nchi washirika wake, naona bora Iran wanywe maji tu, hasira zao zitulie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninawahurumia watoto wadogo na akina mama, mnaona yanayotea syria, vita sio ya kufurahia, hao viongozi wa iran wanona fahari kutoa amri ya kupigana na wakati wao wanakuwa wanalindwa kwa hiyo hawako kwenye hatari, wanakaa sehemu zenye security, lakini wananchi wa kawaida wanaingia kwenye line of fire kutokana na mazingira.
 
Angalieni Aljazeera muone waziri mkuu wa Iraq anaongea,kiongozi wa Hezbollah kishaongea.USA sasa inabidi wajitafakari.
Na Isael hawataki kumsikia Sheikh Hassan Nasrallah kabisa.. wanamvizia na drone kila siku. walienda Lebanon wakaondoka patupu.
 
Kiukweli Waamerika.ni magaidi namba moja duniani,kila waendapo wanaacha madhira sana kwa jamii walioikuta inaishi kwa amani,mfano Vietnum,Irak,Syria,Yemen,Libya ,Somalia nakadhalika
Hakuna lolote ndo maana USA Trump anaropoka ropoka tu,Iran wanamsoma tu.Ila tuombe amani.Fikiria raia wa Iraq ,Afghastan wanavyoishi.Kila binadamu anadeserve maisha katika sehemu yenye amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni dhana tu inajengwa ili kutokugusia kiini cha Tatizo, lakini haina UKweli.
Kwa mfano, Waliwatumia ili kufanya Nini?
Wapoteze Ushahidi upi na kwa nani wanayemuogopa?. Utaona ni baseless.

Ukweli ni kua magaidi wengi wamekua Indocrinated na Religion.
Magaidi wamekua waki-Recruit new members, wazima mpaka Watoto kupitia nyumba za Ibada.

Ugaidi ni ideology in nature. Watu wanauishi, wanaabudu, wanasujudu.
Kuna watu sio magaidi lakini wanajihisi kushabikia na kuunga mkono Magaidi. Wakipewa Upenyo au Fursa watajiunga moja kwa moja. Ugaidi ni vita vya waoga. Ni sawa na kirusi cha Ukimwi. Kwasababu ni vigumu kumtambua gaidi akiwa katikati ya watu wema.

Na jinsi Waarabu wanavyopata Pesa ya Mafuta na ugaidi unazidi kua na nguvu duniani. Magaidi sio watu masikini. Ila wanaweza kutumia watu masikini wa mali hadi masikini wa akili.
Jitahidi kua mfuatiliaji wa mambo ya kiulimwengu kiundani.
 
Nimefuatilia sana na nikaona wale wote wanaoitwa magaidi, have something in Common;

1.Wote wanajitangaza kua wanapigana "Jihadi(Holy War)"

2. Na wote wanalenga kushambulia innocence people ili kueneza Hofu na kuwa intimidate mataifa yale ambayo ndio maadui zao.

3. Hawakosi kujiingiza kwenye aina zingine za uhalifu kama Utumwa, Wizi, Biashara ya Unga na Ubakaji wa Wanawake na watoto wa Kike(mf. Bokoharam peke walibaka wasichana takribani 200 wakawapa Mimba.
 
Bado hujafuatlia acha uchabiki nakusistiza fuatilia....Sipo kidini ila inaeleweka kua mti wenye matunda ndio upigwa mawe MIddle East kinachowaponza ni utajili wao wa mafuta kwa hiyo US kwakua wanataka kila wadhfa wawe nao wao ndio wanawatafutia sababu..BBC swahili kunamakala wamefafanuua zaidi mzozo wao ulipoanzia.
 
Back
Top Bottom