Iran vs. US military capabilities

Iran vs. US military capabilities

Victoire... Nenda kasome sababu ya marekani kushindwa vita ya vietnam.acha stories wanazokusimulia watu...😂😂😂😂😂 Wanakudanganya. Unavfaham vita wewe? Usikubal wakudanganye soma soma na wewe.

Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
 
Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
unaposema USA ni zero unaweza kutueleza vita ya IRAN na IRAQ ambayo mshindi hakupatikana ilitengenezwa na nani ilikuwa na lengo gani kama sio walikuwa wanapiganishwa na Marekani hiyo ni sababu tosha kuwa Marekani anambinu nyingi za vita anapotaka kitu......
 
Mungu tu apishie mbali. Hiyo itakuwa vita mbaya kuliko yoote ilowahi kupiganwa duniani. Tusilinganishe Marekani ya leo na ile ya Nixson, miaka hiyo. Kumbuka Marekani ameweka vituo kuizunguka Iran. Atakuwa hapigani vita akiwa nyumbani wakati Iran inapigana ikiwa nyumbani. Hii ina maana Irani itakuwa inalinda nyumbani na kumpiga adui. Iran italia kilio cha mbwa mwizi. Siombi vita ila alipofika Ayatollah ningetamani Mmarekani amkate huo ukucha
Irani itapata wakati mgumu kidogo kutokana na marekani kuwa base za kutosha mashariki ya kati lakini mashambulizi yao ya leo yanamaana kubwa wanaompango.Lakini pia Iran ndio mana wanafadhili makundi kama Marekani wanapenda kumaliza mapigano nje ya nchi yao na wamejifunza hilo wakati wa ushrika wao na Marekani
 
Yaani kina Saudi wangekuwa na akili walitakiwa waungane na Iran,USA haitakii mema Middle east.Iran sasa najua lazima atumie akili kubwa sana.Migogoro ni ya miaka na miaka sasa,Iran sasa anamfahamu vizuri USA.Kumbuka vita vya ghuba ya uajemi hawa Iran walikuwa pro America katika kuivamia Iraq,look at now Iran wamekua adui wa USA.
Huhitaji kuwa rocket scientist kuelewa kuwa USA ni chokochoko mkubwa.
Unajua pamoja na UNAFIKI na UBINAFSI mkubwa wa marekani tatizo liko kwa watu wengi sisi hatuzifahamu hizi nchi .Hapo kuna vita vingi Saudia ni mwarabu huyo IRAN ni mpersian sisi hatujui hilo lakini pia vita ya mapinduzi hatufuatilia kama walipigana washia na wasuni.JE tunafahamu kuwa Suni haiungi mkono je jamii yao si kubwa .....Siku hizi watu wanaangalia faida ya usharika wao Saudia anajua mnafiki Marekani akisumbuliwa kuna mahali atamsaidia lakini Usharika wa nchi za Mashariki ya kati huwa wa mashaka kama nchi haijasiamam kama IRAN
 
Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.

Mkuu ktk vita ya maneno Iran atakuwa na marafiki wengi, ikianza vita halisi wote wataufyata
 
BREAKING: Iranian official tells state television that his country can hit a hundred other American targets if the Trump Administration retaliates

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran has again warned regional dictators
If any country in Persian Gulf - #UAE #SaudiArabia and others allow US military installations to be used in any attack on Iran THOSE REGIMES WILL BE ENDED - They must pull back now
- Prof Mohamad Marandi
#AxisOfResistance #IranAttacks Nardeep Pujji on Twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujafuatlia acha uchabiki nakusistiza fuatilia....Sipo kidini ila inaeleweka kua mti wenye matunda ndio upigwa mawe MIddle East kinachowaponza ni utajili wao wa mafuta kwa hiyo US kwakua wanataka kila wadhfa wawe nao wao ndio wanawatafutia sababu..BBC swahili kunamakala wamefafanuua zaidi mzozo wao ulipoanzia.

We Mjinga sana. Eti Haupo kidini.
Nani alikudanganya kua unaweza kuzungumzia Ugaidi bila kujadili Dini?
Stop beating around the Bush. Magaidi wanapata Nguvu kwasababu ya hayo Mafuta. Na America wanayahitaji ili kuwatandika nayo. Bila hayo mafuta. Dunia ingekua hatarini sana.
 
Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
Anaenda na washirika kugawana gharama na maafa baada ya vita.

Hakuna nchi itakayoweza simama na Marekani hata wakiungana wote watachakazwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu tu apishie mbali. Hiyo itakuwa vita mbaya kuliko yoote ilowahi kupiganwa duniani. Tusilinganishe Marekani ya leo na ile ya Nixson, miaka hiyo. Kumbuka Marekani ameweka vituo kuizunguka Iran. Atakuwa hapigani vita akiwa nyumbani wakati Iran inapigana ikiwa nyumbani. Hii ina maana Irani itakuwa inalinda nyumbani na kumpiga adui. Iran italia kilio cha mbwa mwizi. Siombi vita ila alipofika Ayatollah ningetamani Mmarekani amkate huo ukucha
Ndio maana ameweka Military base dunia nzima.

Anakupigia kwako, huendi kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Mjinga sana. Eti Haupo kidini.
Nani alikudanganya kua unaweza kuzungumzia Ugaidi bila kujadili Dini?
Stop beating around the Bush. Magaidi wanapata Nguvu kwasababu ya hayo Mafuta. Na America wanayahitaji ili kuwatandika nayo. Bila hayo mafuta. Dunia ingekua hatarini sana.
Uwe na nidhamu kidogo........unapozongumzia kupata ujue hakukosi fitina hata humu mitaani utaskia alikua hivi leo vile kalogwa na vhivyohivyo kwa wenzentu wanakuvuruga wajuavyo ili kukamilisha adhma zao hiyo ndio inaitwa FITNA fitna ya mzungu kula huku na huku ndio maana nakwambia fuatilia mambo.....Leo saudia na Oman vitu viwili tofauti inawezekana vipi nakusistiza fuatilia......nikizungumzia dini wtu wengi wamekalili kua waislam ndio magaidi la hasha ila hata wazungu ubadili dini na kuingia uislam ili kukamilisha adhma zao.
 
Uwe na nidhamu kidogo........unapozongumzia kupata ujue hakukosi fitina hata humu mitaani utaskia alikua hivi leo vile kalogwa na vhivyohivyo kwa wenzentu wanakuvuruga wajuavyo ili kukamilisha adhma zao hiyo ndio inaitwa FITNA fitna ya MZUNGU KULA HUKU NA HUKU ndio maana nakwambia fuatilia mambo.......
Yaani sasa umeona haitoshi, umehamia kwenye racial discrimination kabisa. Uafrika na Uzungu hizi ni rangi tu.
Unaona kwa mtu kua mwarabu ndio kukosa Fitna. Nani alikufundisha Ubaguzi wa Rangi?
.

Leo saudia na Oman vitu viwili tofauti inawezekana vipi nakusistiza fuatilia.......
Angalia na aina ya Maswali unauliza kama Yana hold water. Ni jambo la ajabu kwa nchi kugombana na kuelewana na kugombana? Uliwahi kufuatilia ni nini kilikua kinawafanya waelewane?.

Are you expect me to believe wewe ndiyo Unajua zaidi sababu ya Kutokuelewana kwao kuliko Wanachojua wenyewe Oman na Saudia?



nikizungumzia dini wtu wengi wamekalili kua waislam ndio magaidi la hasha ila hata wazungu ubadili dini na kuingia uislam ili kukamilisha adhma zao.
umeona sasa?.
Unazidi Kuthibitisha kua hata wewe unaamini Ili Mtu awe Gaidi lazima abadili dini na kua Muislamu. Tuseme na wewe umekariri
 
Yaani sasa umeona haitoshi, umehamia kwenye racial discrimination kabisa. Unaona kwa mtu kua mzungu Ni kosa. Na kua mwarabu ndio kua mwadilifu. Nani alikufundisha Ubaguzi wa Rangi?
Hata nikikupa.miaka 100 uthibitishe hizo Fitna zako. Hautakua na Ushahidi wowote.

Angalia na aina ya Maswali unauliza kama Yana hold water. Ni jambo la ajabu kwa nchi kugombana na kuelewana na kugombana? Uliwahi kufuatilia ni nini kilikua kinawafanya waelewane?.

Are you expect me to believe wewe ndiyo Unajua zaidi sababu ya Kutokuelewana kwao kuliko Wanachojua wenyewe Oman na Saudia?



umeona sasa?.
Unazidi Kuthibitisha kua hata wewe unaamini Ili Mtu awe Gaidi lazima abadili dini na kua Muislamu. Tuseme na wewe umekariri
Mimi muslim haswaa na katika dini yetu kuna kitu kinaitwa Jihadi hapa mtu anajitoa kwaajili ya ALLAH(M/Mungu) na waja wenzake pia kwaminnajili ya kwamba wasidhurumike na pia yasipinginge maamrisho ya M/MUNGU........mfano kama sisi tulivyopigana vita ya KAGERA M/nyerere alituamasisha ili tusipoteze haki yetu watu tulijitoa kutetea vyetu vivohivyo mashariki ya kati wanajitoa kutetea vyao visidhurumike....hapo kwenye kutetea haki ndipo wanaitwa magaidi......nikizungumzia swala la Oman na saudia nilitaka utambue kua fitna zinawezza pelekea ndugu walioshibana wakaitilafiana kwa maslahi ya mfitinishaji leo hii US na saudia ni marafiki wakubwa na wanainyanyasa Oman hii ni Fitna ya US kwa maslahi yao.
 
Mkuu britanicca asante Kwa data hii maana wengi wetu tunashabikia Kwa mrengo wa Imani Fulani ya dini bila kujua uwezo na historia ya US hasa Kwenye mambo ya vita.
Tukumbuke kuwa hawa US hawafanyi vitu vyao Kwa kukurupuka hata siku moja ndiyo maana Kwa muda mrefu wamemfanyia Iran trade sanctions ili adhoofike kiuchumi,miezi 3 iliyopita wananchi wa Iran walikuwa wanaandamana kushinikiza raisi wao ang'atuke madarakani Kwa sbb ya Hali mbaya ya uchumi wao.

Hata Saudi Arabia nao Wana mgogoro na Irani juu ya mapigano ya nchini Yemen na wanatamani Iran ipigwe na kusambaratika Kutokana na Imani zao za kidini,ukiona mpaka huyo kamanda wa Iran anauwawa tujue kabisa kuwa nchi ilishajipanga Kwa matokeo yoyote yale
Ni kweli dini zimeharibu mjadala huu,nikirudi kwenye hoja Marekani ipo vitani mpaka sasa Afghanistan,Syria hebu tupime kwa vigezo vya matokeo halisi on the ground hizo silaha za kisasa kabisa na matrilioni ya bajeti yameleta matokeo gani on the ground?
 
Mimi muslim haswaa na katika dini yetu kuna kitu kinaitwa Jihadi hapa mtu anajitoa kwaajili ya ALLAH(M/Mungu) na waja wenzake pia kwaminnajili ya kwamba wasidhurumike na pia yasipinginge maamrisho ya M/MUNGU........mfano kama sisi tulivyopigana vita ya KAGERA M/nyerere alituamasisha ili tusipoteze haki yetu watu tulijitoa kutetea vyetu vivohivyo mashariki ya kati wanajitoa kutetea vyao visidhurumike....hapo kwenye kutetea haki ndipo wanaitwa MAGAIDI.......
Kagera War has No match na Ugaidi. Ni kama mbingu na Ardhi.

Kagera War was fought by using common sense. Wakati ugaidi religion becomes a motivator.
Ugaidi ni Vita ya kueneza Dini na ku-subjugate wale wote wasioamini.

First, TERROR was created by the Arthur Himself.


Quran Anfal 8:12. I will cast TERROR into the hearts of those who disbelieved, so strike [them] upon the necks and strike from them every fingertip


Allah's Messenger (ﷺ) said, "I have been sent with the shortest expressions bearing the widest meanings, and I have been made VICTORIOUS WITH TERROR (cast in the hearts of the DISBELIEVE).

..Abu Huraira added: Allah's Messenger (ﷺ) has left the world and now you, people, ARE BRINGING OUT THOSE TREASURES.

ح
Reference : Sahih al-Bukhari 2977In-book reference : Book 56, Hadith 186USC-MSA web (English) reference : Vol. 4, Book 52, Hadith 220 (deprecated numbering scheme)


Ujumbe ume survived for 1400 years.

Na sasa umesema kweli. kuhusu Jihadi. Na Ndio madai hayohayo anayosema gaidi namba moja Osama Bin Laden mmoja wa viongozi wa AlQaeda,
khalifa wa Islamic States Al Baghdadi. Na aliyekua khalifa wa Boko Haram Abubakar Shekau.



nikizungumzia swala la Oman na saudia nilitaka utambue kua fitna zinawezza pelekea ndugu walioshibana wakaitilafiana kwa maslahi ya mfitinishaji leo hii US na saudia ni marafiki wakubwa na wanainyanyasa Oman hii ni Fitna ya US kwa maslahi yao.

Huo unaoita Undugu wa waarabu ni kisingizio tu cha wao kukataa Uwajibikaji wa matatizo ambayo wanayasababisha wenyewe , Na kuishia kumlaumu Mwamerika. Wakati hakuna anayewachagukia rafiki bali wao wenyewe.

Utaona pia. Wanaomlaumu Mwamerika. Wanajaribu kutuonyesha waarabu wamekosa akili na maarifa na ni sawa na watoto wanaorubuniwa kwa utoto wao. Kwahiyo waonewe huruma.

Na pia warabu wamelaaniwa, wakalaanika. Maana iweje Ndugu wanagombana kama sio laana ni kitu gani?

Vilevile Waarabu hawatendeani Haki. Na Haki ni tunda la Amani. Hawajui maana yake wanaamini katika ku bully on each other and exterminate the weak.


Ni inashangaza Dunia ya Leo, Waarabu ndio wanatafuta Urafiki na kuishi na hao wazungu infidels.

Huwekeza hata soka la Ulaya na Michezo mingine. Huwaalika hadi Mecca maeneo ambayo wanasema infidels hawaruhusiwi kukanyaga pale Saudia.

Kwanini hawawekezi kule Uarabuni michezo yao na bilidancing za kiarabu?. Jibu lipo wazi kabisa, ..In their nations, there's No Fun.
Na wale matajiri wamegundua wakiwa na hela wanaenda kula upepo Ulaya kwenye genuine prosperity.

Na wakirudi uarabuni wana inflict more painful way of life to their fellow arabs.

Na imegundulika raia wengi wa kiarabu pindi wanapoingia Ulaya, ndipo wanajifunza Upendo pale wanapochanganyika na watu wa nchi za Ulaya Magharibi. Na ndio maana kuna large growing number of Exmuslims.
 
Back
Top Bottom