Iran vs. US military capabilities

Iran vs. US military capabilities

Iran atashinda tu.
FB_IMG_1578315922985.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
Aliyekwambia Waarabu wana umoja ni nani?
 
Mkuu kabla yakutaka kuambiwa lini ungenambia kwanza nilini US Super Power Alirusha Kombora Lake Ndani Ya Mipaka Ya IRAN Kuanzia Mwaka 1979 Mpaka ss ...

Ina maana mifumo ya US hua inafanya kazi ikiwa US Tu

Basi kama ni hivyo jamaa anateseka sana kama mifumo yake haifanyi inavyotakiwa ikiwa nje ya US..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sera za USA sio kurusha makombora hovyo ... Na sio kwamba anashindwa kuichakaza Iran ni Swala la sekunde nchi inakuwa majivu Kama ilivyofanywa Libya chini ya Obama na Hilary Clinton...

Siraha za kisasa nyuma ya mipango ya USA ni Economic sanctions na biological weapons ... Huyo Iran ameshapigwa vikwazo kuanzia mwaka Jana raia wanataka raisi wao aachie ngazi kwa maisha kuwa magumu....

Sitashangaa utakuja hapa na kusema USA Hana uwezo wa kuipiga Somalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo suala la dini ingekuwa dini Marekani asingekuwa na base hata moja mashariki ya kati,kingine msichokijua waislam wa sunni walio wengi wako pamoja na Marekani
Kwa maana mashia wakiachwa bila kudhibitiwa watataka kuwapanda masuni, Mdhibiti mkuu ni USA.
 
Sera za USA sio kurusha makombora hovyo ... Na sio kwamba anashindwa kuichakaza Iran ni Swala la sekunde nchi inakuwa majivu Kama ilivyofanywa Libya chini ya Obama na Hilary Clinton...

Siraha za kisasa nyuma ya mipango ya USA ni Economic sanctions na biological weapons ... Huyo Iran ameshapigwa vikwazo kuanzia mwaka Jana raia wanataka raisi wao aachie ngazi kwa maisha kuwa magumu....

Sitashangaa utakuja hapa na kusema USA Hana uwezo wa kuipiga Somalia

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Sera Za IRAN Ni Kutokuivamia Ama Kuipiga Nchi Yoyote Ile Labda Itakapo Muanza Kama Ilivyokua Kwa IRAQ

Halaf Vikwazo Vya US Kwa IRAN Havikuanza Jana Na Leo Ila Kila Leo Mnasema RAIS Hatakiwi Ila Bado Yupo Madarakani Nikukumbushe Kama UTAWALA Unaotawala IRAN Ungekua Hautakiwi Mazishi Ama Mapokezi Ya SULEIMAN Alale Pema YasingejazaMamilioni Yawatu Kiasi Kile

Suala Lasomalia Unalileta Wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiwaambia ukweli hawa ijumaa hawasikii wanaanza matusi, Irani ni mtoto wa chekechea ukilinganisha na US
Kwanini utaje mambo ya imani?,hivi we utajisikia vizuri watu kusema watu was jumspili wamemuua kamanda wa Iran?.
Halafu unaona sifa Sana kwa nchi kumiliki misilaha ya kuulia watu,Basi wewe unajisikii rahaaa.
Ha ha ha,lakini jamaa wameshasema marekani ataondoka Iraq Iwe Kama alivyokuja wima,au akiwa kalala kwenye sanduku
 
Huyu anatafuta ugomvi wa kidini, wewe achana na mimi
 
Arabic-language Masa Press news website reported on Monday that the US forces have entered Yemen to cooperate with their Saudi counterparts to support the US trade cargos in Bab al-Mandab strait.

It added that the US forces were stationed in the city due to Washington's fear for Iran's retaliation for the assassination of General Soleimani.

Iran has vowed ‘hard revenge’ in ‘due time and right place’ over Washington’s act of terror.

Commander of the Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) Aerospace Force Brigadier General Amir Ali Hajizadeh on Monday underlined that the Islamic Republic's reprisal after assassination of Lieutenant General Soleimani will not be limited to firing a dozen missiles.

“Martyr Soleimani’s revenge will not end by launching four missiles or targeting a US military base or even by killing Trump; I mean none of these have the same value as the blood of this martyr,” Brigadier General Hajizadeh told reporters on Monday before the start of the funeral ceremony of Lieutenant General Soleimani in Tehran.

He reiterated that attacking the US bases in the region cannot compensate the blood of the General Soleimani.

“The only thing that can compensate the blood of this martyr is the complete destruction of America in the region,” General Hajizadeh added.

The senior military commander’s remarks came as millions of Iranians had unprecedentedly gathered in Tehran to commemorate their General who was assassinated by US terrorist forces in Iraq on Friday morning.

In relevant remarks earlier on Monday, new Commander of the IRGC Qods Force Brigadier General Esmayeel Qaani underlined that the US should wait for Tehran's reprisal after assassination of Lieutenant General Qassem Soleimani.

“The revenge for Soleimani’s martyrdom is a promise given by God, as the God is the main avenger,” Brigadier General Qaani said, addressing the funeral procession of late General Soleimani.

Brigadier General Qaani said that “we promise to continue Martyr Soleimani’s path with the same strength and his martyrdom will be reciprocated in several steps by removing the US from the region”.

He underlined that the continuance of this movement is to reach the global governance of Imam Mahdi (May God Hasten His Reappearance).
 
Sasa Sera Za IRAN Ni Kutokuivamia Ama Kuipiga Nchi Yoyote Ile Labda Itakapo Muanza Kama Ilivyokua Kwa IRAQ

Halaf Vikwazo Vya US Kwa IRAN Havikuanza Jana Na Leo Ila Kila Leo Mnasema RAIS Hatakiwi Ila Bado Yupo Madarakani Nikukumbushe Kama UTAWALA Unaotawala IRAN Ungekua Hautakiwi Mazishi Ama Mapokezi Ya SULEIMAN Alale Pema YasingejazaMamilioni Yawatu Kiasi Kile

Suala Lasomalia Unalileta Wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Inflation rate mpaka mwaka Jana ilikuwa ni 37% .. Wewe Kama ulienda shule huo mfumuko wa bei kwa akili yako ni mzuri kwa nchi Kama ilani ... Unaongea maneno matupu huna hata tangiable evidence , ila sishangai ndio vijana wa Tanzania wapo wapo Kama walevi....

Yani wewe ugumu wa maisha unaupima kwa raisi kuwa madarakani na sio namba..Eti mbona hawamuondoi madarakani

Haya Venezuela Walipigwa Sanctions na US mwaka Jana inflation rate ikaenda mpaka 200,000% , najua ulikuwa hujui maana wewe ni kilaza ... Nchi ilipigwa njaa ... Raia wanaandamana nchi nzima ila mpaka Sasa hawajamuondoa madarakani ... Nikuulize Sasa wewe Je , kutokuondolewa madarakani kwa Maduro ni kwamba raia wanamkubali ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hua Nawaona Watu Waajabu Sana Kama Mnashindwa Kutoa Maoni Ama Mawazo Mpaka Kukashifia Ila Well Najua Vyema Kukaa Nawatu Kutokana na Namna Walivyo C Unajua Mazingira Tunayolelewa Tunalelewa Tofauti
Inflation rate mpaka mwaka Jana ilikuwa ni 37% .. Wewe Kama ulienda shule huo mfumuko wa bei kwa akili yako ni mzuri kwa nchi Kama ilani ... Unaongea maneno matupu huna hata tangiable evidence , ila sishangai ndio vijana wa Tanzania wapo wapo Kama walevi....

Yani wewe ugumu wa maisha unaupima kwa raisi kuwa madarakani na sio namba..Eti mbona hawamuondoi madarakani

Haya Venezuela Walipigwa Sanctions na US mwaka Jana inflation rate ikaenda mpaka 200,000% , najua ulikuwa hujui maana wewe ni kilaza ... Nchi ilipigwa njaa ... Raia wanaandamana nchi nzima ila mpaka Sasa hawajamuondoa madarakani ... Nikuulize Sasa wewe Je , kutokuondolewa madarakani kwa Maduro ni kwamba raia wanamkubali ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Maduro Wavenezuela Alitakiwa Kuondolewa Kisa MAISHA Ama Kisa Kaiba Kwenye Uchaguzi Ambayo Guaido Alijitangaza Raisi Nayeye Na Kutambuliwa Na Nchi Kibao Kama Rais Wa Venezuela Badala Ya MADURO Haya Ya Maisha Hamekuja Hv Karibuni Baada Ya VIKWAZO Vya US

Halaf sijasema kama vikwazo havi iathiri IRAN Ila Sio Kama Mnavyo Iaminisha Dunia

Nikakutolea Mfano Kama UTAWALA Uliopo Madarakani IRAN Unapendwa Sana Nawananchi Wake Kuliko Propaganda Mnazotulisha Hapa Ukitaka Kujua Hili Angalia Maziko Ya SOLEIMAN Kuagwa Tu Kaagwa Kishujaa Sanaaaaa Yaani Imeonesha Kwakiasi Gani JAMAA Anakubalika Nahuyo Nasikia Ndio No2 kwa ushawishi bada ya Ayatollah

Kama maandamano Hata France Waliandamana na Wana andamana Nayo Unayaongeleaje haya

Mwisho : hem tujenge kawaida yakuishambulia hoja sio mtoa hoja UWE na USIKU MWEMA KAKA MKUBWA.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna lolote ndo maana USA Trump anaropoka ropoka tu,Iran wanamsoma tu.Ila tuombe amani.Fikiria raia wa Iraq ,Afghastan wanavyoishi.Kila binadamu anadeserve maisha katika sehemu yenye amani.

Mkuu, mapenzi yako kwa Iran haya reflect uhalisia. Mapenzi na uhalisia ni vitu viwili tofauti kabisa. Iran hana huo ubavu. Utatamani sana, lakini kamwe Iran hana huo uwezo wa kupanga mkono na Marekani. Ikiwa unafikiria coalition ya Iran na Urusi au China, please, sahau kabisa. Hilo haliwezi kutokea. Vita ni gharama mno, na taifa lazima liwe na compelling reasons za kuingia vitani kusapoti vita. Urusi na China wata concentrate kwenye kujenga na kuimarisha uchumi wao. Wakienda mbali zaidi ni aidha kuwauzia Iran silaha, kitu ambacho sio kipya, ama kuwapa misaada ya kifedha. Domination ya America as a superpower bado sana ingalipo hadi wakati ulioamriwa.
 
Lkn US anaweza akaishambulia Russia uso kwa uso sio?

dodge

Hana sababu ya kufanya hivyo.Ikiwa wakati wa Cold war hapakutokea head to head military confrontation between the two, hilo haliwezi kutokea hivi sasa. Hivyo swali lako halina foundation yoyote ile. Na kumbuka, hapa ni suala la Iran na USA.
 
Hukuona hio sentensi huyo jamaa aliposema "Kati ya china, Russia, na Iran, hakuna nchi inayoweza kupambana na USA uso kwa uso "all out War "

Mkuu, nilikuwa nikijibu kwa kunukuu hoja yako wewe nambari 235 kwenye uzi huu.
 
Back
Top Bottom