MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
Nani kakwambia?Lakini kwanini US wanawaogopa hawa watu.
Nani kakwambia?Lakini kwanini US wanawaogopa hawa watu.




Hayo maneno hata kwenye drone yake ile ilo2nguliwa mwaka jana yalikuepo kama haionekani na nn cjui lakini hatimae imepasuka....Ungekuwa unajua kazi za THAAD usingekuja hapa kupiga kelele ..
View attachment 1313922
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe unaelewa unavyovispot kweli ?? Hahaha DaaahNimesikitika sana kubishana na binti kama wewe ambae bado hajavunja ungo.
Nitakuletea boks 5 za pedi kama zawadi mrembo.
Na nimesikitika zaidi ninapoona binti mdogo anaweza kubishana na health professionals 350 wanaosema akili ya trump ina shida.View attachment 1313921
dodge
Hiyo drone ilitunguliwa New York ??.Hayo maneno hata kwenye drone yake ile ilo2nguliwa mwaka jana yalikuepo kama haionekani na nn cjui lakini hatimae imepasuka....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inaeleweka sana kua katika nchi ambazo US walikuna na wanaendelea kukuna kichwa basi Iran moja wapo.Nani kakwambia?
Kwa miaka 40 wamejaribu choko choko zao wanakuta wakina Ayatollah wako ngangari.Hiyo inaeleweka sana kua katika nchi ambazo US walikuna na wanaendelea kukuna kichwa basi Iran moja wapo.
Wanataka kutumia njia za hekima, Sasa subiri walipe kisasi na waue wamarekani wengi uone kitakachotokeaHiyo inaeleweka sana kua katika nchi ambazo US walikuna na wanaendelea kukuna kichwa basi Iran moja wapo.
Wanataka kutumia njia za hekima, Sasa subiri walipe kisasi na waue wamarekani wengi uone kitakachotokea
Safari hii ni Trump, washauri wafanye hivyo tena uoneWalishawahi kuwaua wanajeshi wa wamarekani zaidi ya 300 kwa kutumia trucks zenye mabomu,US walifanya nini?
dodge
Safari hii ni Trump, washauri wafanye hivyo tena uone
Kati ya china, Russia, na Iran, hakuna nchi inayoweza kupambana na USA uso kwa uso "all out War "na kwa sababu wanalijua hilo wanachofanya ni kushambulia washirika wa US, au maslahi ya US,au kuzisaidia nchi ambazo US, anazipinga, Kama Russia na Syria.
Kwenye kinachoendelea Iraq, iran na vibaraka wake wataumia asubuh kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna hata nchi moja itaruhusu nchi yake iwe viwanja vya vita Iraq tayari imeshapitisha azimio la kuondoa majeshi ya Marekani nchini humoYani iran itakuwa vumbi hii vita itakuwa mbayaView attachment 1313164
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Basi tusubiri tuone, naona unaiamini Sana IranHata kipindi kile hawakupangiwa na mtu kufanya,muda wao ukifika watafanya tu as usual.
dodge
Mpaka leo mashariki ya kati haijatulia,kuibuka kwa Isis ni matokeo ya vita ya IraqHahaha Saadam Hussein aliwahi kujificha kwenye hoja hizi za mafuta na uchumi wa dunia aliondoka akayaacha mafut yana tiririka.
Mafuta yatakuwepo hata Ayatollah akiondoka, na hakutakuwa na shida ya mafuta.
Mtabaki mnapigana wenyewe kwa wenyewe kama Iraq, au Iibya Marekani wanasonga mbele.
Mimi nataka Iran apigwe mpaka ateuliwe, kideli chini, na akilianzisha, atapigwa sana tu.
Acha waibuke ISIS wengi, ikiwezekana nchi nzima wawe ISIS ili iwe rahisi kuwaua, hata akifa mmoja wanatangaza kafa ISIS.Mpaka leo mashariki ya kati haijatulia,kuibuka kwa Isis ni matokeo ya vita ya Iraq
Mkuu kabla yakutaka kuambiwa lini ungenambia kwanza nilini US Super Power Alirusha Kombora Lake Ndani Ya Mipaka Ya IRAN Kuanzia Mwaka 1979 Mpaka ss ...Hiyo drone ilitunguliwa New York ??.
Hebu kaeni chini mjifunze vitu acheni story za vijiweni ... THAAD na system za kuzuia makombora kutua Aridhi ya Marekani naaamini ulikuwa hujui .... Wewe unaniletea story za drone ...
Haya niambie lini Missiles za hao Iran, uturuki, Russia zikatua miji ya USA ...
Sent using Jamii Forums mobile app




Sawa team TrumpWewe ndio umesema hivyo na Trump ndio kasema vile... So ni wewe Vs Trump kwenye hilo Mimi sitii neno ...
Sent using Jamii Forums mobile app