Master Race
Senior Member
- Feb 19, 2026
- 170
- 364
Hivi bado deni la Trilioni moja tunalodaiwa na Iran tushalilipa?, maana Iran ndio nchi inayotudai pesa nyingi kuliko zote duniani....Kwa bilateral Yani
Iran wanaelewa njama ni kuharibu uchumi wao na kuwadhoofisha. Na wao wanaharibu uchumi wa puppets na mabwana zao.Huu sasa ni ujinga.
Kwanini usipige kambi za jeshi na vitu vya kivita.
Sasa oil hiyo itaaffect Dunia nzima.
Au Iran anataka afe na kila mtu, kwamba tugawane tu mbao mtumbwi uzame sizami peke yangu
Wachaa aingie mzima mzima huko F15 zinatunguliwa na Missiles za Iran kama embe dodoSaudia ni puppets wa Israel na US.
Kambi za jeshi zina ulinzi. Isitoshe Marekani inayotumia hizo nchi jirani kushambulia haipigi kambi za jeshi za Iran tu. Inaua hata wapinzani wasiokubaliana na mlengo wa Marekani, targets kibao zisizo za kijeshi zimepigwa. Kwahiyo tusiwafundishe kazi wacha waonyeshane makali sisi tuwe watazamaji.Huu sasa ni ujinga.
Kwanini usipige kambi za jeshi na vitu vya kivita.
Sasa oil hiyo itaaffect Dunia nzima.
Au Iran anataka afe na kila mtu, kwamba tugawane tu mbao mtumbwi uzame sizami peke yangu
Wachaa aingie mzima mzima huko F15 zinatunguliwa na Missiles za Iran kama embe dodo
View: https://youtu.be/eDo84ShrhBU?si=GWHPPy-Wp0DE9wXP
GT mbona hauja toa uchambuzi wako kuhusu mgogoro huu? Kuna member tunasubili sana chambuzi zenu maana mko vizuri kwenye GeopoliticsSafi sana, hawa vibaraka wanageuka jirani zao kisa wazungu!!
Nasikia Netanyahu wamemla kichwa office yake imepigwa hi habari ni 💯 lakini Israel wanaficha sa sijui ni kweli au uwongo kuhusu Netanyahu alikuwepo time ile au hakuwepo.Wapuuzi wanasema ni patriot inakosea target.. 😂 😂 😂
Niliona asubuhi nikaelewa tu kumekucha huko..
kuwa puppets haitoshi kuwa sababu ya kuipiga hiyo nchi kama haikudhuru!Saudia ni puppets wa Israel na US.
Sio kambi za jeshi tu apige kule marekaniHuu sasa ni ujinga.
Kwanini usipige kambi za jeshi na vitu vya kivita.
Sasa oil hiyo itaaffect Dunia nzima.
Au Iran anataka afe na kila mtu, kwamba tugawane tu mbao mtumbwi uzame sizami peke yangu
Nasikia Netanyahu wamemla kichwa office yake imepigwa hi habari ni 💯 lakini Israel wanaficha sa sijui ni kweli au uwongo kuhusu Netanyahu alikuwepo time ile au hakuwepo.
Office yake imepigwa hi hapa habari
View: https://youtu.be/L-5kr7fJy-0?si=PUka4IYm0ebgAPm_
Al mayadeen tv wanasema kutokana na vyombo vya habari vya Israel Netanyahu hajulikani yuko hai au kafaaAtakuwa chini ya handaki huyo. Hata kama ofisi imelengwa sidhani kama alikuwepo.
Viongozi wa Iran ndio wana roho ngumu, wanajiachia na ni kama hawajali sana kuhusu uhai wao.
Kama hamas iliweza kuficha mateka 200 mahala na hawakupatikana, Gaza ikapigwa yote na mateka walikuwepo, wakatoka wazima wa afya, inaonyesha wazi hata viongozi wa Iran wangeweza kujificha mahala, lakini ni kama hawakujali.
Predictions zangu za Sunni vs Shia very soon kila mtu atajionea, uchumi wa Gulf countries anaenda kuteketea into ashes.Iran has launched an aerial strike involving drones and missiles that hit Saudi Arabia’s major Saudi Aramco oil refinery and export hub at Ras Tanura on the Gulf coast, forcing the facility to temporarily shut down operations as a precautionary measure.
Ngoja tusubiri. Lakini yupo mahala kajificha.Al mayadeen tv wanasema kutokana na vyombo vya habari vya Israel Netanyahu hajulikani yuko hai au kafaa
U-sunni na Ushia umefanya mataifa ya middle east hasa yenye waislam wengi kuwa na mgawanyiko wa kijinga na hapo ndipo west wamechukua fursa kwamba hawa wamegawanyika kiitikadi hivyo umoja ni zeroPredictions zangu za Sunni vs Shia very soon kila mtu atajionea, uchumi wa Gulf countries anaenda kuteketea into ashes.
Hii plan hauwezi kuelewa, yaani hao wanaenda kumalizana wenyewe kwa wenyewe. Wazungu kazi yao itakuwa ni kuuza silaha both sides to prolong the war kama walivyofanya Iraq vs Iran back in the day. Yaani hapo Msaudia akijibu tu ngoma inogile.Huu sasa ni ujinga.
Kwanini usipige kambi za jeshi na vitu vya kivita.
Sasa oil hiyo itaaffect Dunia nzima.
Au Iran anataka afe na kila mtu, kwamba tugawane tu mbao mtumbwi uzame sizami peke yangu
Nasikia Netanyahu wamemla kichwa office yake imepigwa hi habari ni 💯 lakini Israel wanaficha sa sijui ni kweli au uwongo kuhusu Netanyahu alikuwepo time ile au hakuwepo.
Office yake imepigwa hi hapa habari
View: https://youtu.be/L-5kr7fJy-0?si=PUka4IYm0ebgAPm_
Huwezi kusikia huko kwa Wazungu eti vita vya let's say Catholics vs Lutherans au Anglicans vs Protestants.U-sunni na Ushia umefanya mataifa ya middle east hasa yenye waislam wengi kuwa na mgawanyiko wa kijinga na hapo ndipo west wamechukua fursa kwamba hawa wamegawanyika kiitikadi hivyo umoja ni zero
Hizo ni channel za habari we kwa kuwa hujui Qur'an huwezi kuelewa wanasema niniMkuu,
Tuwekee habari kutoka kwa chanzo credible, siyo hizi online TV za masjid tena kwa lugha isiyojulikana!
Hizo Missiles alizo tumia Iran hata kwenye Shelter ndio linakuwa kaburi lako kabisa huyo sidhani kama yuko haiNgoja tusubiri. Lakini yupo mahala kajificha.