gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,287
- 17,767
Jibu,si umetoa hoja ya lugha, ghafla siyo mambo yako!?Siko huko hayo ni mambo yenu
Jibu,si umetoa hoja ya lugha, ghafla siyo mambo yako!?Siko huko hayo ni mambo yenu
Sanctions will end and Iran will become peaceful and very wealthy nation , mengine yote futaWao wametoa matakwa yao ya kurudi mezani
.walipwe uharibifu uliofanya June 2025 na leo
. vikwazo vyote viondolewe
. Israel anyang'anywe silaha za nyuklia
Is that you?Kambi za jeshi zina ulinzi. Isitoshe Marekani inayotumia hizo nchi jirani kushambulia haipigi kambi za jeshi za Iran tu. Inaua hata wapinzani wasiokubaliana na mlengo wa Marekani, targets kibao zisizo za kijeshi zimepigwa. Kwahiyo tusiwafundishe kazi wacha waonyeshane makali sisi tuwe watazamaji.
Imam hussain anawashushia kibano ma sunni bila huruma. Ma sunni yanaomba poo.
View attachment 3551125
adriz Adiosamigo Jagina