100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,375
- 37,223
Niomeona hizo missiles, zinachimba bonge la shimo, Jerusalem na Tel Aviv, shelter zimepigwa zimesambaa, ni hatari mzee.Hizo Missiles alizo tumia Iran hata kwenye Shelter ndio linakuwa kaburi lako kabisa huyo sidhani kama yuko hai
Jana walikuwa wanapigwa na bomu hilo ni cluster sub-munitions, linapiga target 80, kuna media Israel ikawa inalia Iran inavunja makubaliano ya Geneva convention...