Iran strikes Saudi Arabia’s major oil refinery

Iran strikes Saudi Arabia’s major oil refinery

Huu sasa ni ujinga.
Kwanini usipige kambi za jeshi na vitu vya kivita.

Sasa oil hiyo itaaffect Dunia nzima.
Au Iran anataka afe na kila mtu, kwamba tugawane tu mbao mtumbwi uzame sizami peke yangu
Hizo ndege zinatumia nini kama sio Mafuta?

Pia ni kuwashikisha adabu wapuuzi wote.
 
Tuwai ma
Mkeka wa EWURA keshokutwa hakikisha chombo iko full tank leo/kesho!!😁
Kwaiyo wajaze ya kutosha.,, Muhimu zaid zaid kikinuka zaid tutumie mwendo kasi. Tuache kujikweza.
 
Kwani lazima kusafiri?
Sio lazma kusafiri, ila kusafiri ni muhimu.

Sabb movement ya bidhaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa kiasi kikubwa inategemea usafiri.

Na usafiri kwa asilimia kubwa hapa tunaongelea mafuta (petrol, diesel, mafuta ya ndege, n.k.)

So, nadhani umeelewa now kwamba kwa nini mafuta yakipanda basi karibu kila kitu kitapanda bei pia.

Hata electronic devices (simu, pc, etc) unayotumia hapo kuvinjari JF, nayo ilisafirishwa kwa msaada wa mafuta.
Hata fedha (noti, sarafu) nazo husafirishwa kutoka zilipotengenezewa mpaka bank, mpaka ninakufikia ww.

Gharama za usafirishaji zikipanda, bidhaa na huduma nazo pia zinapanda bei.

Bei itapanda kote kuanzia kwenye vyakula (mchele, mahindi, ngano, njegere, nyama, samaki, n.k), TV, simu, pc, sea za magari, magari, Nguo, Pikipiki, spea na mitambo ya viwandani, vifaa vya ujenzi (cement, nondo, mbao, tiles, mchanga, n.k), magodoro, AC/feni,..
Aiseeee and the list goes on.

So, transportation/logistics ni msingi muhimu wa uchumi, cost za transport zikipanda tu, tegemea cost za karibu kila kitu kupanda.
 
Huu sasa ni ujinga.
Kwanini usipige kambi za jeshi na vitu vya kivita.

Sasa oil hiyo itaaffect Dunia nzima.
Au Iran anataka afe na kila mtu, kwamba tugawane tu mbao mtumbwi uzame sizami peke yangu
Ujinga Tena !? Wewe kaa Kwa kutulia Ina maana wewe unawajua maadui wa Iran kuliko Iran wenyewe!?
 
Sio lazma kusafiri, ila kusafiri ni muhimu.

Sabb movement ya bidhaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa kiasi kikubwa inategemea usafiri.

Na usafiri kwa asilimia kubwa hapa tunaongelea mafuta (petrol, diesel, mafuta ya ndege, n.k.)

So, nadhani umeelewa now kwamba kwa nini mafuta yakipanda basi karibu kila kitu kitapanda bei pia.

Hata electronic devices (simu, pc, etc) unayotumia hapo kuvinjari JF, nayo ilisafirishwa kwa msaada wa mafuta.

Gharama za usafirishaji zikipanda, bidhaa na huduma nazo pia zinapanda bei.

Bei itapanda kote kuanzia kwenye vyakula (mchele, mahindi, ngano, njegere, nyama, samaki, n.k), TV, simu, pc, sea za magari, magari, Nguo, Pikipiki, spea na mitambo ya viwandani, vifaa vya ujenzi (cement, nondo, mbao, tiles, mchanga, n.k), magodoro, AC/feni,..
Aiseeee and the list goes on.

So, transportation/logistics ni msingi muhimu wa uchumi, cost za transport zikipanda tu, tegemea cost za karibu kila kitu kupanda.
Bidhaa za lazima tunazalisha wenyewe,Iran piga hao upinde.
 
Niomeona hizo missiles, zinachimba bonge la shimo, Jerusalem na Tel Aviv, shelter zimepigwa zimesambaa, ni hatari mzee.

Jana walikuwa wanapigwa na bomu hilo ni cluster sub-munitions, linapiga target 80, kuna media Israel ikawa inalia Iran inavunja makubaliano ya Geneva convention...
😄😄😄 Geneva ya nyoko
 
Tumieni basi akili? Wanyoroshane wakati tutakao umia ni sisi?
Bei ya petrol ikipanda kila kitu kitapanda huku mshahara wako ukipungua dhamani
Kama ulikuwa unalipwa shs 500,000; Petrol ikipanda bei, dhamani ya mshahara wako yaweza kuwa shs 380,000.
Utakuwa unaipwa laki tano ila utafanya manunuzi uliyokuwa unayanunua kwa 380,000 tu...zingine zote zinaliwa na petrol
Wao walitumwa wamchokoze !?

Yaani uue kiongozi wa Taifa lingine halafu ukaliwe kimya !?
 
Hao waarabu machoko wapigwe tu mbwa hao, haya ndio malipo ya kukaa kimya kutosaidia Palestine
 
Back
Top Bottom