Iran strikes Saudi Arabia’s major oil refinery

Iran strikes Saudi Arabia’s major oil refinery

90814.jpg
 
Iran anataka kufanya damage to Saudi lakini hii itamlazimisha Saudi naye aingie vitani, sioni hii ikimsaidia Iran maana Saudi naye ana jeshi zuri sana, Iran ataishia kupigwa pande zote, ugaidi utaanza tena vita ya silaha hawawezi kumshinda beberu na myahudi
 
Myahudi yupi uyo kwa Iran ¿ uyu uyu anaetembezewa kichapo kwake kiasi raia wametakiwa kuingia kwenye mapango walimo panyabuku!!!!!!!!!!
 
Iran Huwa Hana Target, Mabomu Yao waliya set Toka zamani, like kikinuka hili litadondoka Saudia, hili UAE, hili Oman, hili Bahrain, haya uelekeo Israel, wapi hasa, itajulikana kule yanapokwenda wenyewe ndiyo watasema yamedondokea wapi...!

Nchi inayoshindwa kulinda Viongozi wake, Mimi tu Kwa kipindi Marekani kasogeza Mizimu yake, ningekua na record Video na kurusha hewani nikiwa Chini huko kilomita 3 Toka Uso wa Dunia....! Wairan Akili kisoda.
Wabongo banah huwa mnafurahisha kwa kuwa wataalam wa kivita..
Kwamba Iran akili kisoda wewe unawakosoa🤣🤣🤣
 
Nchi za Kiarabu zote hakuna wakutunishia kifua mbele ya Iran 🇮🇷!!
Ikiwa jesh la USA lenyewe limekimbia kambi zao nakujichanganya kwemye hotel za mjini.

Myahudi yupo kwenye mapango kimyaaa afu we ndio unataka Mwarabu ajitokeze kulejesha kipigo!!
Viongozi wao wote
watauwawa chap!!!!!
 
Myahudi yupi uyo kwa Iran ¿ uyu uyu anaetembezewa kichapo kwake kiasi raia wametakiwa kuingia kwenye mapango walimo panyabuku!!!!!!!!!!
Tulia wewe, wanaingia Tehran wanapiga wanavyotaka without any resistance,hakuna Air Force inayoruka au air defense, meli zote zimezamishwa, unataka mpatiwe kichapo gani ili mkubali
 
U-sunni na Ushia umefanya mataifa ya middle east hasa yenye waislam wengi kuwa na mgawanyiko wa kijinga na hapo ndipo west wamechukua fursa kwamba hawa wamegawanyika kiitikadi hivyo umoja ni zero
Waislam hawana mgawanyiko,ila viongozi
 
Tulia wewe, wanaingia Tehran wanapiga wanavyotaka without any resistance,hakuna Air Force inayoruka au air defense, meli zote zimezamishwa, unataka mpatiwe kichapo gani ili mkubali
Baada ya futari leo Iran karusha makombora 600,kawagawia nchi za ghuba na Israel
 
Attachments

  • Screenshot_2026-03-02-21-47-44-275.jpg
    Screenshot_2026-03-02-21-47-44-275.jpg
    158.8 KB · Views: 18
Mwanangu kiarabu ni lugha km Kingereza na Kiswahili au Kifaransa haina issue yoyote na Quran maana zipo Quran za Kiswahili za Kingereza nk wapo waarabu ni Wakristu ingawa kwa uchache ila wanatumia Biblia ya Kiarabu imeandikwa Kiarabu tupu ila ni Biblia sio Quran
Hakuna Quran ya kiswahili, kiingereza au lugha gani sijui,hizo ni tafsiri za Quran, Quran ni moja tu ya kiarabu
 
Iran anataka kufanya damage to Saudi lakini hii itamlazimisha Saudi naye aingie vitani, sioni hii ikimsaidia Iran maana Saudi naye ana jeshi zuri sana, Iran ataishia kupigwa pande zote, ugaidi utaanza tena vita ya silaha hawawezi kumshinda beberu na myahudi
Iran imesema makalio yeyote wa kiarabu akishambulia Iran basi Iran itashambulia kwanza viongozi wake kisha nchi
 
Umeona wapi?.. UAE ndo analia stock za kudungulia zimeisha,na Israel kapewa mzigo mpya leo
Joke aside,nashauri Iran warudi mezani wakubali kuachana na nuclear weapon program 100% na kuachana na vikundi vya kigaidi kama hezbolla, wakikubali basi next week sanctions zote zilizodumu more than 40 years zinaisha immediately na Iran atakuwa na amani and very wealthy nation, I think ni great deal wakubali tuu
 
Badala wapige pale lilipo jiwe jeusi linaloabudiwa, sijui Al Kahaba, sijui Al Kahaba, wao wanapiga visima vya mafuta. Iran hawana akili.
 
Joke aside,nashauri Iran warudi mezani wakubali kuachana na nuclear weapon program 100% na kuachana na vikundi vya kigaidi kama hezbolla, wakikubali basi next week sanctions zote zilizodumu more than 40 years zinaisha immediately na Iran atakuwa na amani and very wealthy nation, I think ni great deal wakubali tuu
Wao wametoa matakwa yao ya kurudi mezani
.walipwe uharibifu uliofanya June 2025 na leo
. vikwazo vyote viondolewe
. Israel anyang'anywe silaha za nyuklia
 
Back
Top Bottom