Iran na Mlango bahari wa Hormuz waanza kutepeta

Iran na Mlango bahari wa Hormuz waanza kutepeta

Nani asiyejua kuwa Israel ina Jeshi dogo lakini lenye nguvu kubwa.?

Kwenye vita vya Oct 07,2023 Jeshi la Israel limepigana kwenye fronts tofauti saba kwa maana ya Hamas,Hezbollah,Houth,Islamic Jihad,Waasi wa Syria na Iraq,Magaidi wailoko West-Bank(Dens of lions) na Bwana wao Iran lakini wote hao waligaragazwa vibaya sana na majeshi ya Israel na kuiacha Gaza ikiwa kwenye vifusi.

Ndiyo maana nimekuambia hujui maana ya vifaru 21 kwa jeshi dogo kama la Israel kikosi kimoja hakiwezi kutumia vifaru 21 hii ni kutokana na na Military-Doctrines sijui kama hilo unalifahamu na ulivyobwabwaja najua hujui lolote kuhusu hilo.

Ili liitwe Jeshi lazima liwe na vitu kama Section,Platoon,Company,Brigade,Division. Na vyote hivyo vina idadi maalumu ya watu na vifaa vita wanavyotumia.

Kwa maana hiyo hivyo vifaru 21 umevitaja tu kufurahisha wajinga wenzako.

Hizo live feed zako ziko kimkakati kueneza uongo kuonyesha Magaidi wa Iran wanashinda vita wakati wao wenyewe wanajua wanapigwa kama ngoma!!

Mfano mzuri huko Gaza mlikuwa mnawasifia sana Magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth matokeo yake wote tunayaona Houth imebidi wajiulize mara mbilimbili kuingia vitani na magwiji wa vita IDF.

Na kwa sababu Houth nao wameingia vitani kichwa kichwa wajiandae tu kupokea kipondo kama walichopata mwaka jana kwa kupoteza karibu mawaziri wote!! Utakuja kuniambia safari hii watapigika sana sana!!

Hezbollah ilikuwa enzi za Gaidi Hassan Nasrallah ambayo ilitenguliwa kiuno na Operation Beeper na kiongozi wao kuangamizwa!!

Israel ni nchi ndogo sana na ina Jeshi dogo kabisa lakini Iran na ukubwa wake wote mpaka sasa hivi anapigwa kama Ngoma!!!
Pumbavu humuoni US,UK, NATO+ Arab wote wameungana dhidi ya muajemi? Yaan Israel alieshindwa na Hamas bettle ya mtu bee ndio apigane front 7, mpaka Sasa Hamas ambao hawana air defense Bado wameshika silaha.

Ni hivi ripot ya Hezbollah vifaru 21 kwishnei ni Kwamba mlijidanganya kupitia Syria ili muwazunguke mkakuta mnasubiiriwa fyeka Kama kuku hahahah hizbo sio chai
 
Huu ni Ujinga mnaojazana vichwani mwenu.

Kwa sheria za kijeshi kwa nchi yoyote hakuna Kamanda anaweza kulivua nguo Jeshi analolitumikia!!!

Lakini kwa sababu ninyi mnaongoza kwa Fake-News ili kujifariji na kujipa moyo kutokana na IRGC kupata kipondo cha Mbwa-koko kwenye uwanja wa vita!!! Mnaruhusiwa kuwadanganya Mabumunda wenzenu humu JF!!

lakini kwa uongo mnaoueneza humu hauwezi kuzuia Majeshi hodari ya Israel yasiwaue viongozi wa Iran au kuacha kutoa kipondo kwa Magaidi wa Hezboullah na Bwana wao Iran!!!
Kama anapata kipondo pitisheni meli pale Hormuz Sasa mnataka ceasefire ya nini? Mnataka kusaaidiwa nini? US kashaambiwa aondoke middle east pale pashakuwa Haram kwake
 
Ikiwa yuko Telaviv Itakuwa kaolewa kwani mashoga wengi duniani wako hapo. Anaogopa kwani hajui aende wapi na basha wake
Endeleeni kujifariji tu lakini kipondo kiko palepale tu
 
Pumbavu humuoni US,UK, NATO+ Arab wote wameungana dhidi ya muajemi?
Pumbavu kabisa wewe kila mnapopigwa hamkosi kuleta visingizio Mbwa nyie!!

Yaan Israel alieshindwa na Hamas bettle ya mtu bee ndio apigane front 7, mpaka Sasa Hamas ambao hawana air defense Bado wameshika silaha.
Pumbavu kabisa Hamas wamepoteza maeneo wewe unasema wameshinda labda Wameshinda njaa tu!!!

Pumbavu humuoni US,UK, NATO+ Arab wote wameungana dhidi ya muajemi? Yaan Israel alieshindwa na Hamas bettle ya mtu bee ndio apigane front 7, mpaka Sasa Hamas ambao hawana air defense Bado wameshika silaha.

Ni hivi ripot ya Hezbollah vifaru 21 kwishnei ni Kwamba mlijidanganya kupitia Syria ili muwazunguke mkakuta mnasubiiriwa fyeka Kama kuku hahahah hizbo sio chai
Huko misikitini ndiyo mnavyodanganyana?

Kwa upande wa intelijensia Israel inajiweza haiwezi kudanganywa na mtu. Endeleeni tu kuwapotosha waj8nga wenzenu!!
 
Sasa rasmi Trump amesema Iran imeipa Marekani njia salama ya kupitisha meli kadhaa za mafuta kupitia Hormuz — maafisa waambia ToI

Meli za mafuta na meli za mizigo zimejipanga katika Mlango wa Hormuz kama inavyoonekana kutoka Khor Fakkan, Falme za Kiarabu, Jumatano, Machi 11, 2026. (Picha ya AP/Altaf Qadri)

"Zawadi" ambayo Rais wa Marekani Donald Trump Jumanne alisema Iran iliipa Washington ilikuwa kuruhusu kupita salama kwa meli kadhaa za mafuta kupitia Mlango wa Hormuz katika siku za hivi karibuni, mwanadiplomasia mwandamizi wa Kiarabu na afisa wa Marekani aliambia The Times of Israel.

Akijaribu kuelezea uamuzi wake wa kuendelea na mazungumzo na Iran, Trump aliwaambia waandishi wa habari kwamba Tehran "ilifanya jambo la kushangaza jana — walitupa zawadi…yenye thamani kubwa ya pesa… [ilifika] leo."

"Walitupa, na wakasema wangetupa. Hilo lilimaanisha jambo moja kwangu. [Kwamba] tunashughulika na watu sahihi," Trump alisema, akikataa kutambua zawadi hiyo zaidi ya kwamba ilikuwa na uhusiano wa mafuta na gesi na imeunganishwa na Mlango wa Hormuz.

Iliyotangazwa: Njia Panda za Kiyahudi, Roya Hakakian×

Afisa huyo wa Marekani anaambia The Times of Israel kwamba wakati utawala wa Trump ulipoanza kupitisha ujumbe kwa Iran kupitia wapatanishi mwishoni mwa wiki ili kujaribu kama njia ya kidiplomasia ya vita inawezekana, aliiomba Tehran kutoa ishara ya nia njema.

Kwa kujibu, Iran ilikubali kuruhusu idadi ya meli za mafuta ambazo hazikuwa zimefungamana na Marekani au Israeli kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz ili kusaidia kutuliza masoko ya kimataifa, afisa huyo wa Kiarabu anasema.

Afisa huyo wa Kiarabu anakubali kwamba kupita salama kwa idadi ndogo ya meli za mafuta hakuwezi kuwa na athari kubwa au ya muda mrefu kwa bei ya mafuta duniani, makubaliano ambayo Iran bado haijajiandaa kutoa huku mashambulizi ya Marekani na Israeli yakiendelea.

Athari ndogo ya "sasa" inaelezea kwa nini Trump aliepuka kutaja haswa ilikuwa nini, afisa huyo wa Kiarabu anasema.

Alipoulizwa kutoa maoni, Ikulu ya White House ilielekeza The Times of Israel kwa maoni ya waziri wa habari Karoline Leavitt kuhusu suala hilo wakati wa mkutano na waandishi wa habari Jumatano.

Leavitt alisema wakati huo kwamba Marekani inafuatilia "kwa karibu sana" jinsi ya kuzifikisha meli za mafuta kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz, bila kutoa maoni zaidi kuhusu asili ya "sasa" iliyoelezwa na Trump.

View attachment 3562809
Wewe ***** leta hapa ushahidi wa meli ya US iliyopita, sio unamsikiliza huyo basha wako pathological liar
 
🟦 | Khatm al-Anbiya HQ

Heavy casualties to more than 500 American soldiers.

We previously warned that the aggressive US army, due to the powerful assault by the armed forces and the destruction of their bases in the region, has fled and is hiding outside of their bases.

In the past few hours, their two hideouts—the first containing more than 400 people, and the second containing more than 100 people—in Dubai were identified and targeted by missiles and precision-guided drones of the courageous men of the Aerospace Force and the Navy of the Islamic Revolutionary Guard Corps, which inflicted very heavy casualties upon them.

For hours, ambulances have been busy transporting the dead and wounded American commanders and soldiers.

Trump and the commanders of the US army must clearly understand that the region will be turned into a graveyard for American soldiers, and they will have no choice but to surrender to the divine will of the heroic people and the brave fighters of Islam.

🔹@enemywatch
 
Sasa rasmi Trump amesema Iran imeipa Marekani njia salama ya kupitisha meli kadhaa za mafuta kupitia Hormuz — maafisa waambia ToI

Meli za mafuta na meli za mizigo zimejipanga katika Mlango wa Hormuz kama inavyoonekana kutoka Khor Fakkan, Falme za Kiarabu, Jumatano, Machi 11, 2026. (Picha ya AP/Altaf Qadri)

"Zawadi" ambayo Rais wa Marekani Donald Trump Jumanne alisema Iran iliipa Washington ilikuwa kuruhusu kupita salama kwa meli kadhaa za mafuta kupitia Mlango wa Hormuz katika siku za hivi karibuni, mwanadiplomasia mwandamizi wa Kiarabu na afisa wa Marekani aliambia The Times of Israel.

Akijaribu kuelezea uamuzi wake wa kuendelea na mazungumzo na Iran, Trump aliwaambia waandishi wa habari kwamba Tehran "ilifanya jambo la kushangaza jana — walitupa zawadi…yenye thamani kubwa ya pesa… [ilifika] leo."

"Walitupa, na wakasema wangetupa. Hilo lilimaanisha jambo moja kwangu. [Kwamba] tunashughulika na watu sahihi," Trump alisema, akikataa kutambua zawadi hiyo zaidi ya kwamba ilikuwa na uhusiano wa mafuta na gesi na imeunganishwa na Mlango wa Hormuz.

Iliyotangazwa: Njia Panda za Kiyahudi, Roya Hakakian×

Afisa huyo wa Marekani anaambia The Times of Israel kwamba wakati utawala wa Trump ulipoanza kupitisha ujumbe kwa Iran kupitia wapatanishi mwishoni mwa wiki ili kujaribu kama njia ya kidiplomasia ya vita inawezekana, aliiomba Tehran kutoa ishara ya nia njema.

Kwa kujibu, Iran ilikubali kuruhusu idadi ya meli za mafuta ambazo hazikuwa zimefungamana na Marekani au Israeli kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz ili kusaidia kutuliza masoko ya kimataifa, afisa huyo wa Kiarabu anasema.

Afisa huyo wa Kiarabu anakubali kwamba kupita salama kwa idadi ndogo ya meli za mafuta hakuwezi kuwa na athari kubwa au ya muda mrefu kwa bei ya mafuta duniani, makubaliano ambayo Iran bado haijajiandaa kutoa huku mashambulizi ya Marekani na Israeli yakiendelea.

Athari ndogo ya "sasa" inaelezea kwa nini Trump aliepuka kutaja haswa ilikuwa nini, afisa huyo wa Kiarabu anasema.

Alipoulizwa kutoa maoni, Ikulu ya White House ilielekeza The Times of Israel kwa maoni ya waziri wa habari Karoline Leavitt kuhusu suala hilo wakati wa mkutano na waandishi wa habari Jumatano.

Leavitt alisema wakati huo kwamba Marekani inafuatilia "kwa karibu sana" jinsi ya kuzifikisha meli za mafuta kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz, bila kutoa maoni zaidi kuhusu asili ya "sasa" iliyoelezwa na Trump.

View attachment 3562809
Usipoteze muda kusikiliza anachosema Trump. That mazafaka can tell you anything anytime. He’s a pathological liar!
 

Attachments

  • 1774640329005.jpg
    1774640329005.jpg
    89.3 KB · Views: 17
Kashaliwa kichwa hapo na tapeli turumpa.
Hawaondoki tena hapo hormuz ndio mazima wanahamia kabisa US na wenzake
 
Back
Top Bottom