Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,426
- 7,851
- Thread starter
- #21
Mimi nilikuwa namuambia yule muosha vyoo Tela Aviv Echolima1
na yule kenge Imeloa hata kama ni huyo huyo mtu mwenye majina 30+
Hezbullah msijidangan'ye ameshindwa vita ni serekali ya Lebanon ndio walihongwa na USA ili wawabane Hezbullah wasirudishe kipigo. Leo Israel aba bembeleza peace tena na Lebanon lakini Hezbullah wanagoma wanasema Israel huwa haheshimu peace isipokuwa kwa nguvu
View: https://youtu.be/U93L8qVU2Tk?si=aXaLPv3Q4c_EEOfI
Huu ni Ujinga mnaojazana vichwani mwenu.
Kwa sheria za kijeshi kwa nchi yoyote hakuna Kamanda anaweza kulivua nguo Jeshi analolitumikia!!!
Lakini kwa sababu ninyi mnaongoza kwa Fake-News ili kujifariji na kujipa moyo kutokana na IRGC kupata kipondo cha Mbwa-koko kwenye uwanja wa vita!!! Mnaruhusiwa kuwadanganya Mabumunda wenzenu humu JF!!
lakini kwa uongo mnaoueneza humu hauwezi kuzuia Majeshi hodari ya Israel yasiwaue viongozi wa Iran au kuacha kutoa kipondo kwa Magaidi wa Hezboullah na Bwana wao Iran!!!