Iran na Mlango bahari wa Hormuz waanza kutepeta

Iran na Mlango bahari wa Hormuz waanza kutepeta

kama wako huku Zanzibar hao si wateule wa Mungu wa hiyo kazi ya ushoga . Wewe unawashabikia mashoga watakatifu ??
Kama nilivyokuambia na wewe ni ***** ndiyo maana unapenda sana mambo hayo!!!
 
Kuna vitu vitatu vinakusumbua sana maishani mwako!!!
1. Ujinga
2. Upumbavu
3. Ushoga.
Hivyo vitu vitatu Itakuwa unavijuwa vizuri kwani vinakusumbuwa hata umekuwa huoni husikii unapoletewa ushahidi wa Taifa la mashoga Kama huu ambo wanasema wenyewe kuwa Israel ni Taifa linaloongoza kwa ushoga ulimwenguni.

Wateule wa ushoga Hao unaowashabikia

Is Tel Aviv the gay capital of the world? | The Jerusalem Post Is Tel Aviv the gay capital of the world? | The Jerusalem Post
 
Endelea tu kujifariji na kazi yako pendwa ya Uchoko
 
Kwani lini nimeshabikia mashoga kama wewe ?? wewe si unaishi nao ina maana na wewe ni hivyo hivyo

View: https://twitter.com/i/status/2035774007619051665

Ukishona post inaanza Kwa inasema Zionist regime au Zionist settler ujuwe hakuna habari humo 🤣🤣 toka nduki. Maspin doctors hamchoki kubabake.

Nikikumbuka mwanzoni baada ya October 7 mlisema wazayuni hawatapeleka jeshi la ardhini Gaza ila mpaka leo hamuamini. Juzi mmesema Netanyahu kafa 🤣🤣 mmekimbia tena mmeanzisha hoja nyingine. Poleni sana ila tunachojuwa Irani misiba ya kitaifa haikauki mwezi ulikuwa ngumu Sana huu.
 
Hivyo vitu vitatu Itakuwa unavijuwa vizuri kwani vinakusumbuwa hata umekuwa huoni husikii unapoletewa ushahidi wa Taifa la mashoga Kama huu ambo wanasema wenyewe kuwa Israel ni Taifa linaloongoza kwa ushoga ulimwenguni.

Wateule wa ushoga Hao unaowashabikia

Is Tel Aviv the gay capital of the world? | The Jerusalem Post Is Tel Aviv the gay capital of the world? | The Jerusalem Post
Haya tukubali sasa Tel Aviv kuna Mashoga imesaidia nini magaidi Hamas,Hezbollah,Houth na Iran mbona wanapigwa Kama kawaida tu!!!!

Nawashangaa sana magaidi wote wanapigwa na Gaidi Ayatollah Ali Khamenei kauliwa na Mashoga akiwa na makamanda wake 40!!,
 
Bila basha wake Marekani hata siku moja nyingi mashoga wako kuzimu .
Mara hii hata huyo basha wake anaipata kachanganyikiwa
 
Ukishona post inaanza Kwa inasema Zionist regime au Zionist settler ujuwe hakuna habari humo 🤣🤣 toka nduki. Maspin doctors hamchoki kubabake.

Nikikumbuka mwanzoni baada ya October 7 mlisema wazayuni hawatapeleka jeshi la ardhini Gaza ila mpaka leo hamuamini. Juzi mmesema Netanyahu kafa 🤣🤣 mmekimbia tena mmeanzisha hoja nyingine. Poleni sana ila tunachojuwa Irani misiba ya kitaifa haikauki mwezi ulikuwa ngumu Sana huu.
Kajifunze kiswahili kwanza
 
naona mlango umefunguka na bei yamafuta nchin imeanZa.kushuka leo.toka tsh 2500 had 4000

asante iran kwa kutepeta

Kabisa na kesho asubuhi Walokole wanaenda kupanda Daladala kwa nusu bei elekezi.!!!!!

Babu mkuu wa Walokole oyeeeeeee
 
Attachments

  • 1774978362327.jpg
    1774978362327.jpg
    111.9 KB · Views: 15
Sasa rasmi Trump amesema Iran imeipa Marekani njia salama ya kupitisha meli kadhaa za mafuta kupitia Hormuz — maafisa waambia ToI

Meli za mafuta na meli za mizigo zimejipanga katika Mlango wa Hormuz kama inavyoonekana kutoka Khor Fakkan, Falme za Kiarabu, Jumatano, Machi 11, 2026. (Picha ya AP/Altaf Qadri)

"Zawadi" ambayo Rais wa Marekani Donald Trump Jumanne alisema Iran iliipa Washington ilikuwa kuruhusu kupita salama kwa meli kadhaa za mafuta kupitia Mlango wa Hormuz katika siku za hivi karibuni, mwanadiplomasia mwandamizi wa Kiarabu na afisa wa Marekani aliambia The Times of Israel.

Akijaribu kuelezea uamuzi wake wa kuendelea na mazungumzo na Iran, Trump aliwaambia waandishi wa habari kwamba Tehran "ilifanya jambo la kushangaza jana — walitupa zawadi…yenye thamani kubwa ya pesa… [ilifika] leo."

"Walitupa, na wakasema wangetupa. Hilo lilimaanisha jambo moja kwangu. [Kwamba] tunashughulika na watu sahihi," Trump alisema, akikataa kutambua zawadi hiyo zaidi ya kwamba ilikuwa na uhusiano wa mafuta na gesi na imeunganishwa na Mlango wa Hormuz.

Iliyotangazwa: Njia Panda za Kiyahudi, Roya Hakakian×

Afisa huyo wa Marekani anaambia The Times of Israel kwamba wakati utawala wa Trump ulipoanza kupitisha ujumbe kwa Iran kupitia wapatanishi mwishoni mwa wiki ili kujaribu kama njia ya kidiplomasia ya vita inawezekana, aliiomba Tehran kutoa ishara ya nia njema.

Kwa kujibu, Iran ilikubali kuruhusu idadi ya meli za mafuta ambazo hazikuwa zimefungamana na Marekani au Israeli kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz ili kusaidia kutuliza masoko ya kimataifa, afisa huyo wa Kiarabu anasema.

Afisa huyo wa Kiarabu anakubali kwamba kupita salama kwa idadi ndogo ya meli za mafuta hakuwezi kuwa na athari kubwa au ya muda mrefu kwa bei ya mafuta duniani, makubaliano ambayo Iran bado haijajiandaa kutoa huku mashambulizi ya Marekani na Israeli yakiendelea.

Athari ndogo ya "sasa" inaelezea kwa nini Trump aliepuka kutaja haswa ilikuwa nini, afisa huyo wa Kiarabu anasema.

Alipoulizwa kutoa maoni, Ikulu ya White House ilielekeza The Times of Israel kwa maoni ya waziri wa habari Karoline Leavitt kuhusu suala hilo wakati wa mkutano na waandishi wa habari Jumatano.

Leavitt alisema wakati huo kwamba Marekani inafuatilia "kwa karibu sana" jinsi ya kuzifikisha meli za mafuta kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz, bila kutoa maoni zaidi kuhusu asili ya "sasa" iliyoelezwa na Trump.

View attachment 3562809
Unaamanini maneno ya Trump mropokaji mwongo?
 
Back
Top Bottom