Iran Kapeleka Ujumbe Jana Hakuna Red Line

Iran Kapeleka Ujumbe Jana Hakuna Red Line

Nakubaliana na wewe na sio US tu pekee na EU wamo humo.. plus nchi jirani za kiarabu ikwemo Qatar, Saudia na Jordan..
Hata baharain. Morocco. UAE wapo wanamsaidia Israel.

We huoni Iran haogopi vitisho vya USA kwanza hio Nuclear ya Iran hata USA hawezi kuifikia unless atumie Nuclear Boom tu.
 
View: https://youtube.com/shorts/SwlTXUWTx4w?si=bj3izzDsM83QAPqf

Propaganda zao na Western media wanadai Iran ana attack civilian target wamepewa vidonge vyao hapo

View: https://youtube.com/shorts/SwlTXUWTx4w?si=bj3izzDsM83QAPqf

Iran shikilia hapo hapo toka lini
Israel walirespect civilian area mfano mdogo Gaza, Lebanon na target zake zote civilian area na huko Iran alipiga yeye mwanzo civilian area na hospital wacha aipate sasa kamgusa Simba mkia safari hii. Iran piga hao mashoga mpaa waondoe nuksi za ushoga hapo Middle East.
 
NINYI MTAANZA KULAANI VITENDO VYA ISREL KESHO AHSUBUHI WAKATI LEO MNAMSIFIA IRAN.... mtasahau kuwa mwana kulifind .....

Daima Israel huanza kwakupigwa kipigo cha mbwa koko ...
Wengi humsuta na kumsema kuwa amekuwa nyanya.

Akigeuka nakuonyesha makucha yake vizuri. Mnaanza kusema anafanya ushetani.

Nakumbuka vita na Hamasaki ilipoanzishwa .. Israel ilipoteza raia zaid ya 1000 mkasema haijawah tokea, sasa hiyo ni ishara kuwa kiama chao kimefik.

Saiv mmehamia kumsifia Iran,
Na nasema mtakua wa kwanza kupost posters za STOP GENOCIDE IN IRAN .
 
Wacha we haya mwache aendelee kupiga civilian area kule Iran ndio mtajua Iran sio Gaza hahaha
 
Wewe unaambiwa ukweli...
Hivi unaweza kujibu kwanini Trump anaweka vikao kila muda kutaka kuingilia hii vita?

Unaelewa hilo ni kwanini?

Ni kwa sababu Israel inazidiwa, ADs zimekuwa exhaust kwa kuzifanyisha kazi ngumu mfululizo usiku na mchana kuzuia hypersonic ambazo hazizuiliki... pia Israel wanaishiwa interceptors za ADs.. soon Israel haitoweza kuzuia mashambulizi..

Kingine kuipiga Iran ni mpaka US, EU na Israel wapeleke infrantry... na hapo hawatoweza...

Israel kaua high ranking officers wa Iran lakini Iran ime recover haraka na ni kitu kime wa surprise Israel...

Ni sawa na unamnyemelea adui yako unayejua ana nguvu kukuzidi, unataka kum time kwa kumpiga na kitu kizito kichwani ili afe, ajabu unampiga kichwani lakini humpati vyema, anaamka na majeraha kidogo na kuanza kupambana na wewe, hapo lazima uombe msaada, and that is what happens in Middle East...

Netanyahu kila siku anaomba US aingie... kumbuka Israel inatumia nguvu zake zote na resources zake zote kwa sasa... kasoro nuclear..
Alikuambia nani kuwa Israel anatumia nguvu zake zote? Hujui ana Nuclear pia?
 
Haya ni mawazo ya upande mmoja tu. Trump anafanya vikao si tu kwa ajili ya vita, bali pia kwa maslahi ya kisiasa na kiuchumi ya Marekani.

Kuingilia mizozo ya Middle East ni mbinu ya kawaida ya Marekani kudumisha ushawishi wake eneo hilo na kuzuia maadui wa kimataifa kuimarika.

Israel si dhaifu kama unavyodai; ina msaada mkubwa wa kijeshi na kiufundi kutoka Marekani. Pia, vita si tu kuhusu nguvu za kijeshi, bali ni siasa, diplomasia, na ushawishi wa kanda. Trump anajua hili, na vikao vyake ni sehemu ya mchezo mkubwa wa geopolitics, sio tu kuokoa Israel kama unavyosema.
Israel bila USA na Britain haiwezi Hata kumudu battle na somalia
 
Wewe unaambiwa ukweli...
Hivi unaweza kujibu kwanini Trump anaweka vikao kila muda kutaka kuingilia hii vita?

Unaelewa hilo ni kwanini?

Ni kwa sababu Israel inazidiwa, ADs zimekuwa exhaust kwa kuzifanyisha kazi ngumu mfululizo usiku na mchana kuzuia hypersonic ambazo hazizuiliki... pia Israel wanaishiwa interceptors za ADs.. soon Israel haitoweza kuzuia mashambulizi..

Kingine kuipiga Iran ni mpaka US, EU na Israel wapeleke infrantry... na hapo hawatoweza...

Israel kaua high ranking officers wa Iran lakini Iran ime recover haraka na ni kitu kime wa surprise Israel...

Ni sawa na unamnyemelea adui yako unayejua ana nguvu kukuzidi, unataka kum time kwa kumpiga na kitu kizito kichwani ili afe, ajabu unampiga kichwani lakini humpati vyema, anaamka na majeraha kidogo na kuanza kupambana na wewe, hapo lazima uombe msaada, and that is what happens in Middle East...

Netanyahu kila siku anaomba US aingie... kumbuka Israel inatumia nguvu zake zote na resources zake zote kwa sasa... kasoro nuclear..
umemaliza kila kitu kichaka cha walokole middle east kinavuliwa nguo trump mipasho tu
 
Acha uongo unaongea hisia na mawazo yako tu. Iran hamuwezi Israel hata punje ya mtama. Mshindi ni Israel lazima Israel ishinde
 
Kuna watu wanaongea hisia TU. Fuatilia media nyingi zilizo huru. Ukweli Israel imeharibiwa vibaya sana miundomibinu ya kiraia na kijeshi. Hasara ni mabilion ya dollar.

Lakini pia mkumbuke military base nyingi za Iran ni hidden kwenye milima na mahandaki kupiga na kuharibu tunahitaji maboom mazito kweli kweli.

Pili kudunguliwa Kwa ndege zake 5G F35 zinafanya afanye mashambukizi Kwa mbali na Kwa tahadhari kubwa. Hivyo kupiga soft target viongozi, sehemu za kiraia na kambi zilizopo bayana. Lakini hajafanikiwa kubadili muelekeo wa mapigano.

Ki Jiografia ni ngumu sana sana kuingiza jeshi la miguu Iran sababu ya hali ya milima na namna nchi ilivyo
 
Iran jana kamtembezea kichapo Israel hakijawahi kutokea maisha yake na kawafikishia message US kabla ya Israel hakuna cha Red Line kwenye vita hi.

Israel alizowea kupiga Hospital kule Gaza na kaenda kupiga Hospital Iran alidhani Iran hata jibu kwa kupiga Hispital jana kapiga Hospital kule Israel.

Iran jana kaonyesha wazi ushindi wanao tangaza US na Israel ni wa propoganda tu, wako wajinga walio sema Iran kaishiwa Missiles wako waliosema hana uwezo wakurusha Missiles kama mwanzo wako wapi.

Alianza jana kuwarushia Missiles 3 afu akawacha waone kama hana uwezo wakurusha Missiles kwa wingi kilicho tokea badaye ni kipigo cha mbwa koko hakijawahi kutokea.

Israel aliamini wanacho sema Iran kipigo cha jana kuamkia leo kitakuwa kikubwa sana wakazuia media na watu wasirecords video vipi Missiles za Iran zinashuka kama mvua hahaha

View: https://youtu.be/ZY3JpIoh1ho?si=FXwy133KLuw3-Lot

View: https://youtu.be/ztzrGMc8VQ4?si=zXxQGoiKnmLfnjy_

Police wanazuia media wasiende sehemu zilizo pigwa vibaya sana kuficha aibu

View: https://youtu.be/qQfw1yGj_Uo?si=G4loIV9abfMbEyBK

Propaganda ni sehemu ya vitq
 
MUME NA MKE WAKOGOMBANA KAA MBALI CHUKUA JEMBE UKALIME

CC
KARIA
CC
MGHUTTO

ENDELEEN
 
Ili kuipima Israel kama ina uwezo mkubwa wa kupigana ni kuwaomba USA wakae pembeni walau mwezi mmoja tu hivi ....wasiingilie hii vita
 
Kumbe walikuwa wanapewa sifa Tu mara kidon,mara Vita vya sikusita,mara mossad balaa tumejionea kumbe hamna lolote😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Alikuambia nani kuwa Israel anatumia nguvu zake zote? Hujui ana Nuclear pia?
Mwambie aitumie basi kama yeye mwanaume hahaha Nuclear ni mapambo tu anajua kitakacho mkuta akitumia Nuclear. Ingekuwa ni easy kutumia Nuclear kama unavyo ropoka hata Gaza walitaka kupiga kitu gani kimewazuia. Tazama taifa teule la uongo linavyo pelekewa moto. Yuko wapi Mungu mnaye sema anamlinda Israel si tunacho ona analindwa na taifa la kishetani USA

We fatilia balaa zote za dunia kuna mkono wa Israel na USA hawa ndio mnadai vipenzi vya Mungu hao ni vipenzi vya shetani

View: https://youtube.com/shorts/XcU1SsJkdbE?si=yTmsUcXQZMEj-BAh
 
Back
Top Bottom