Iran Kapeleka Ujumbe Jana Hakuna Red Line

Iran Kapeleka Ujumbe Jana Hakuna Red Line

We dogo upo Tehran mpaa ukasema kalenga Nuclear site for your information kusha failed Nuclear ya Iran iko vile vile anapiga mabanda tu ya nje ya Nucler.
Kwani wewe uko Tel Aviv? Habari unazoleta wewe ziaminike akileta mwingine unamuuliza uko Tehran. Kila media inaonyesha uko hapa kukaza fuvu tu.
Sa we kama ni mjinga baki na ujinga wako ngojea nikufamishe wale macommader wa Iran alio wauwa walikuwa kwenye civilian area, pia kapiga tv station
Hebu punguza kupanik unatukana bila sababu utafikiri ni mimi ndio nakufunyua. Eti walikua Civilian area hivi mnadhani humu ndani kuna watoto mnaowadanganya danganya uko mitaani kwenu? Inteligency aliyonayo anakupiga halafu yeye ndio anaanza kutangaza nimeua watu fulani kadhaa baadae Iran ndio akaja ku confirm. Israel asingesema msingezipata hizi habari.
kapiga Hospital umeona damaged ya majumba alio piga Iran leo ndio mnalia eti Iran anapiga civilian area hahaha.
Narudia vita ni mkakati na mkakati huo unatekelezwa vyema sana na IADF. Sasa mkurupuko aliona Iran lazima IDF wauweke wazi raia wake wafahamu. Nyie hii ndio mnaita analia
 
Kwani wewe uko Tel Aviv? Habari unazoleta wewe ziaminike akileta mwingine unamuuliza uko Tehran. Kila media inaonyesha uko hapa kukaza fuvu tu.

Hebu punguza kupanik unatukana bila sababu utafikiri ni mimi ndio nakufunyua. Eti walikua Civilian area hivi mnadhani humu ndani kuna watoto mnaowadanganya danganya uko mitaani kwenu? Inteligency aliyonayo anakupiga halafu yeye ndio anaanza kutangaza nimeua watu fulani kadhaa baadae Iran ndio akaja ku confirm. Israel asingesema msingezipata hizi habari.

Narudia vita ni mkakati na mkakati huo unatekelezwa vyema sana na IADF. Sasa mkurupuko aliona Iran lazima IDF wauweke wazi raia wake wafahamu. Nyie hii ndio mnaita analia
Sina time ya kupoteza na wajinga
 
Huh😂 haujapata ulichotarajia. Ulidhani JF wote ni mnalingana akili mnaweza kuwadanganya unavyotaka. Unapewa ukweli unakasirika na hii ndio hata nature ya huko mnakotetea.
Wewe una akili gani unacho ongea unasema yote uwongo. Israel hakupiga civilian area Iran? Wale Scientist ni wanajeshi? Tv station vipi unaongea ujinga afu unajidai una akili. Ongea fact Missiles za Iran zinapiga target za kijeshi hapo Tela Aviv lazima apige kuna stock market kuna office za Mossad na Company nyingi zinahusiana utengenezaji wa silaha, Radar na etc.

Iran akiamua kuangusha hayo majumba unadhani atashindwa hahaha.

View: https://youtube.com/shorts/7ok8m6fgU-E?si=PP8polbk-fjdT7Dx

Mimi nakuwekea nilicho ongea tena nchi zinazo mpa support Israel ndio zinaongea alipiga civilian area kama kawaida yake alidhani Gaza kumbe kakosea step

Ukiongea zungumza kwa fact sio kwa udini
 
Netanyahu bada ya kupokea kipondo kutoka kwa Iran, anadai sisi na warabu tuko pamoja. Tofouti zetu ndogo sana hahaha. Angesema viongozi wa nchi hizo wanao mlinda yeye na hilo taifa lao lisianguke ili wabaki kwenye viti vyao.

Back
Top Bottom