Iran Kapeleka Ujumbe Jana Hakuna Red Line

Iran Kapeleka Ujumbe Jana Hakuna Red Line

Kumbe walikuwa wanapewa sifa Tu mara kidon,mara Vita vya sikusita,mara mossad balaa tumejionea kumbe hamna loloteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😁😁😁 Propaganda tu zile halafu walikutana na waoga pia wamezoea kusaidiwa this time around Wamemchokoza Beya
 
Iran kakanusha hakupiga Hospital anasema Israel anatafuta njia za kusaidiwa kama vile ana one wa hahaha

Mimi naseme hata kama kweli Iran kapiga siyeye ndiye alianza kupiga hospital kule Iran na civilian area.

Channel i24 ya Israeli inaonyesha kichapo walicho pokea alfajiri ya leo



View: https://youtu.be/za4clztgZzE?si=QCDiCdOSIjOBI0my
 
Kuna missle moja ilipigwa telaviv pale ile siku ya ijumaa usiku ni hatari na ili lenga defence sysstem iliyopo telaviv katikati nadhani ndo iliyoshtua dunia
 
Iran bado anacheza michezo ya kitoto. Their moves are more like playground tantrums kuliko strategy za serious power politics. While US and its military make calculated decisions, Iran’s actions bado ni response za hisia na show-off, si za kweli kuweza kuleta mabadiliko makubwa.

Ukiandika kishabiki, nakujibu kishabiki,, lete hoja, usiwe kama bi ushungi kuniletea michambo.
Bi ushungi badala ya kujibu hoja analetaga michambo πŸ˜€
 
Ili kuipima Israel kama ina uwezo mkubwa wa kupigana ni kuwaomba USA wakae pembeni walau mwezi mmoja tu hivi ....wasiingilie hii vita
🀣🀣Hapatakuwepo tena usubwada unaoitwa Israel, marekani akikaa pembeni Israel wala haiwezi kumaliza wiki mbili wataomba pooooh🀣
 
Police wanazuia media wasiende sehemu zilizo pigwa vibaya sana kuficha aibu
Wakati Iran karusha missiles nyingi ambazo zimelenga maghorofa kwa asilimia kubwa. Israel karusha missile moja tu ambayo imeenda kulenga sehemu muhimu ya uzalishaji wa nuclear.

Vita ni mkakati sio kurusha rusha tu makombora. Iran matent yamejaa kibao wanazika makomando wakubwa wa kijeshi. Yan Israel anapekenyua anavyotaka Iran tena kwa drones tu. Hajatumia missiles kama Iran anavyokurupuka.
 
Iran jana kamtembezea kichapo Israel hakijawahi kutokea maisha yake na kawafikishia message US kabla ya Israel hakuna cha Red Line kwenye vita hi.

Israel alizowea kupiga Hospital kule Gaza na kaenda kupiga Hospital Iran alidhani Iran hata jibu kwa kupiga Hispital jana kapiga Hospital kule Israel.


Iran jana kaonyesha wazi ushindi wanao tangaza US na Israel ni wa propoganda tu, wako wajinga walio sema Iran kaishiwa Missiles wako waliosema hana uwezo wakurusha Missiles kama mwanzo wako wapi.

Alianza jana kuwarushia Missiles 3 afu akawacha waone kama hana uwezo wakurusha Missiles kwa wingi kilicho tokea badaye ni kipigo cha mbwa koko hakijawahi kutokea.

Israel aliamini wanacho sema Iran kipigo cha jana kuamkia leo kitakuwa kikubwa sana wakazuia media na watu wasirecords video vipi Missiles za Iran zinashuka kama mvua hahaha


View: https://youtu.be/ZY3JpIoh1ho?si=FXwy133KLuw3-Lot


View: https://youtu.be/ztzrGMc8VQ4?si=zXxQGoiKnmLfnjy_

Police wanazuia media wasiende sehemu zilizo pigwa vibaya sana kuficha aibu


View: https://youtu.be/qQfw1yGj_Uo?si=G4loIV9abfMbEyBK

Leo kasema Ayatollah Hana ruhusa ya kuishi.
Usikimbie Uzi.
 
Wakati Iran karusha missiles nyingi ambazo zimelenga maghorofa kwa asilimia kubwa. Israel karusha missile moja tu ambayo imeenda kulenga sehemu muhimu ya uzalishaji wa nuclear.

Vita ni mkakati sio kurusha rusha tu makombora. Iran matent yamejaa kibao wanazika makomando wakubwa wa kijeshi. Yan Israel anapekenyua anavyotaka Iran tena kwa drones tu. Hajatumia missiles kama Iran anavyokurupuka.
We dogo upo Tehran mpaa ukasema kalenga Nuclear site for your information kusha failed Nuclear ya Iran iko vile vile anapiga mabanda tu ya nje ya Nucler. Sa we kama ni mjinga baki na ujinga wako ngojea nikufamishe wale macommader wa Iran alio wauwa walikuwa kwenye civilian area, pia kapiga tv station, kawauwa wale Nuclear Scientist kwenye majumba yao, kapiga Hospital umeona damaged ya majumba alio piga Iran leo ndio mnalia eti Iran anapiga civilian area hahaha.

Safari hi chui kwenye karatasi kapatikana


View: https://youtu.be/UPBhs980ewk?si=GwHcADw_LxWjrdLx


Vitu video doka sasa ivi kutoka Iran

View: https://youtu.be/1wIM5ko9X9Y?si=jj0XG0bFW0bNS19T
 
Back
Top Bottom