Tetesi: Iran: Israel inajiandaa kutushambulia

Tetesi: Iran: Israel inajiandaa kutushambulia

wangejaribu kufanya hivyo ndio wangekuwa na hali mbaya zaidi.
Hali mbaya kuliko ipi mbona naona Gaza imebaki jangwa, hezbollah ni kma imekufa, Syria imepinduliwa na almanusura Ayatollah apinduliwe!!

Israel yenyewe ilishambulia kwa kushtukiza maana inajua ikipigana vita ya face to face anapotezwa siku hiyo hiyo maana ana ardhi ndogo kwa jeshi kama la Iran ni masaa tu lipo Tel Aviv n.k
 
Ndio nasema iliapaswa wote wavamie kwa offensive moja yaani ile Hamas inavamia basi hapo hapo houthi irushe missiles na kublock meli za marekani, same time Iran ingeshusha makombora ikiwa supported na ground forces za Irann huko Syria.

At least attack ingekua na uzito wake kama malengo yao yalikua kutaka Palestine wapewe fair treatment

Pale kweli wangemuweza Israel maana asingekuwa na uwezo wa kuwapiga wote, hapo hapo Syria naye angechukua Golan.
Kwa ufupi Israel angetumia Nukes kwa Iran na Yemen
 
sasa huoni aibu makobazi yote mnamchangia myahudi JamiiForums mobile app
Hapana Israel alikuwa supported na USA, UK, France, Germany, Saudia, Jordan n.k zote hizo zilishambulia targets za Iran, hezbollah, Hamas na Houthi n.k

Mind you hapo nchi ni Iran pekee hivyo vingine ni vikundi tu havizidi hata watu elfu 10!!

Imagine sasa Iran angekua na support ya Russia na China au N.Korea!! Unadhani nini kingetokea?

BTW hii sio vita ya kidini ndio maana hta Saudia na Jordan zilisaidiq Israel
 
Pale kweli wangemuweza Israel maana asingekuwa na uwezo wa kuwapiga wote, hapo hapo Syria naye angechukua Golan.
Kwa ufupi Israel angetumia Nukes kwa Iran na Yemen
Mkuu umeniwahi,,japo nukes au atomic zingetumika Kwa Iran,,,Yemen maskini hawahitaji kupigwa na nukes maana wako dhaifu wale hata mabomu ya mapipa yaliyojazwa petrol yanawafaa..Ila kukomesha kiburi cha Iran ndio wanafaa Sana nukes...Hata mkubwa Sadam Hussein aliwaua Kwa sumu kama tetere,,Kwa hio wamezoea kufa Kwa wingi Pamoja.
 
Viongozi wa Kijeshi nchini Iran wamesema kuwa wanaona Israel ikijiandaa kuishambulia.
Iran imesema itahakikisha inalipiza kisasi mapema kuliko na ndani ya Msaa 48 Israel haitokuwepo.

Zaidi ya ndege 6 za kubeba mizigo za Kirusi zimetua katika Kambi kubwa ya kijeshi na kushusha silaha mbali mbali

Balozi za Uingeleza, Ujerumani na Uswisi zimefungwa
Ila Ayatollah na nduguze wana mikwara sana. Walishindwa kuifuta Israel kwa zile siku 12 za kichapo,halafu sasahivi wanasema ndani ya masaa 48 wataifuta!😁😁
Hapa inabidi wawasiliane na Pastor Tony Kapola awasaidie muujiza
 
Muisrael kwasasa nguvu hana mnampamba tu kuwa yupo mbioni kumshambulia Iran!!

Israel kwasasa yupo hoiiiiiiiii kupita maelezo yoyote siamini kuwa Israel yupo tayari kuanzisha Vita mpya pengine ni propaganda za Israel na washilika wake ili kuifanya Iran ijue kuwa Israel bado yupo fiti wakilenga kupunguza Hatari mapya kutoka Iran.
 
Ila Ayatollah na nduguze wana mikwara sana. Walishindwa kuifuta Israel kwa zile siku 12 za kichapo,halafu sasahivi wanasema ndani ya masaa 48 wataifuta!😁😁
Hapa inabidi wawasiliane na Pastor Tony Kapola awasaidie muujiza
Kosa la Israel ni anataka precision hivyo hutumia sana ndege. Iran yeye anayarusha tu litapotua si jukumu lake. Ila Israel naye akitaka alipize anaweza ifanya Iran iwe Gaza
 
Wafanye mambo chap chap
Waache maneno mengi safarii Ayotalah hatakua na mzaha tenaaa 🍻
 
Kosa la Israel ni anataka precision hivyo hutumia sana ndege. Iran yeye anayarusha tu litapotua si jukumu lake. Ila Israel naye akitaka alipize anaweza ifanya Iran iwe Gaza
Fair jidgument. Uko vizuri mkuu
 
Japo sipingani na wewe kuhusu kichapo ilichotoa Iran kwa Israel, lakini napingana na wewe katika hili swala la tetesi za Israel kuishambulia Iran.

Kiufupi hilo shambulio haliwezi kufanyika kwa sasa, unless kama ule msemo wa sikio la kufa halisikii dawa uwe unataka kujidhihirisha kupitia kwa Israel.

Netanyahu na Trump wake wanafahamu madhara makubwa waliyoyapata mwezi mmoja tu uliyopita ambapo mpaka sasa hasara yake haihesabiki. Hivyo hawatokuwa tayari kuingia katika hasara nyingine ambayo pengine safari hii inaweza kugharimu maisha ya Shetaninyahu (Netanyahu) mwenyewe.

Hapo alipo anatembea na sumu mwilini inayosemekana aliwekewa kwenye chakula na watu wenye akili kumshinda yeye na genge lake. Sasa hilo halijaisha unafikiri ataanzisha kingine?

Kinachofanyika kwa sasa ni kuanzisha taarifa hizi za taharuki, ili kujaribu kuhamisha upepo wa maandamano yanayofanyika nchini kwake, ambapo waisrael wenyewe wameshamchoka kutokana na kupenda kutumia vita kama kichaka cha kuficha ufisadi wake, na ushetani wake.

Lakini kwa Israel hii ya sasa kuishambulia Iran tena, sahau mkuu. Hakuna mtu alietegemea kile kilichotokea kwanza kingetokea. Hivyo washajifunza.
Waambie hao,hawajielewi
 
Vita iliyopita Israel walitumia ujuzi wao wote, resources zao zote na gharama kubwa sana ya fedha kwenye vita ya siku 12, Iran alitumia missiles zake ambazo alitengeneza miaka zaidi ya 20 nyuma... hizo sejjil na fatah ni za zamani.. waajemi hawakuona haja kumshambulia Israel kwa silaha mpya hali ya kuwa silaha za zamani zinapita vyema kwenye anga la Israel...
 
Middle east walifeli sana kimkakati ilipaswa oktoba 7 ilipotokea basi hapo hapo Hezollah, Iran, Houthi wangefanya ambush sio kumuacha mmoja mmoja ndio apigane mwenyewe. It was pure weakness.

Ila kongole kwa Iran kwenda toe to toe na Israel aliyekua supported directly na ndege na meli jeshi za USA, UK na France licha ya kuwa peke yake. Naamini akiomba support ya Russia, N.Korea na China tungekua tunaongea mengine kwa sasa
Kwa siku 12 ilikuwa inakuwa ngumu kuji organize.. ni muda mdogo sana.. lakini ingeenda hata miezi mitatu ilikuwa inakuwa hivyo...
 
Urusi iliwahi kuishauri Iran kwamba ijihami na ADF kukoka Russia lakini for some reason Iran ilipuuzia ushauri huo!!
Walipuuza kwa sababu Russia ilikuwa na historia ya kuiuza Syria kwa kuwapa secret codes za S300 kwa Israel, Israel nao wakawapa data link codes za drones ambazo kipindi hiko Georgia walikuwa wanazitumia kufanya reconnaissance kwenye ile vita ya 2008 kati ya Georgia na Russia...

Israel ilikuwa inaingia Syria na kushambulia inavyotaka, waliokwenda kurekebisha zile s300 za Syria ni hao hao Iran, baada ya kuzi restore zikaanza kufanya kazi kama kawaida...

Tokana na hii vita inayoendelea kati ya Russia na Ukraine nadhani Iran ilifikiri historia ingeweza kujirudia kwa maana Russia kuiuza Iran ili ipate siri flani kuhusu Ukraine...

Iran hawakukurupuka na nawasifu kwa hilo.. Russia ndio imeona aibu baada ya Iran kumpa tech ya shaheed drones wakati wa kipindi hiko kigumu cha vita yake na NATO.

Iran ilitoa indirect message kwamba "hatuwaamini.. lakini kuwasaidia tutawasaidia drones".. lakini naona wameyamaliza na Iran sasa ana S-400..
 
Back
Top Bottom