Sitopoteza muda kukuelewesha kama Mungu akikuweka hai utajionea kwa macho kama utakuwa ushatangulia kuzimu au peponi bado habari zitakufikia juu ya kuthibitisha nilichokiandika.End time prophecy ipi? Acheni brain washing hata enzi za Hitler walisema ndio mpinga kristo and blah blah hakuna sehemu bible inaitaja Russia acheni kubangaiza kulazimisha narrative zenu za kuhalalisha huu uhuni.
Rudi kasome biblia yako wapi imetaja neno waislam? Acheni upotoshaji wa kuwaabudu hao wahuni.
Mungu gani anayeruhusu uhuni na unyama unaofanywa na akina Netanyahu? Hakuna taifa la Mungu pale. Ni wahuni tu kama wahuni wa CCM.Middle east population ya >300 million, nchi zenye majeshi high tech inateswa na Irael yenye Population ya 9.5 Million, uwepo wa Israel ni mpango wa Mungu, bila hivyo ingeshafutika kitambo, kama wanavyojiapiza wenyewe i.e ultimate mission is to wipe out Israel😱
Sitopoteza muda kukuelewesha kama Mungu akikuweka hai utajionea kwa macho kama utakuwa ushatangulia kuzimu au peponi bado habari zitakufikia juu ya kuthibitisha nilichokiandika.Another kichwa pumbu....
Hivi wabongo ndio mko wajinga kiasi hiki?
Wakati wa utawala wa Yeltsin hali hii ingeweza kueleweka, lakini kufikia mwaka 2008 chini ya uongozi wa Putin na Medvedev Russia ilipaswa kuwa na msimamo thabiti zaidi wa kuimarisha washirika wake, jambo ambalo pia lingekuwa faida ya moja kwa moja kwa ulinzi wao wenyewe.Umenikumbusha kisanga cha Saddam Hussein wakati wa vita ya Ghuba kwa bahati mbaya hata Saddam alikuwa victim wa crafty Russian Military baada ya Rais Bush jr kumuomba mlevi Boris Yeltsin Rais wa Urusi wakati huo kwamba wawapatie jeshi la Merikani CODE za Iraq's integrated air defense systems, Boris Yeltsin akampatia Rais Bush jr secret codes za ADS zilizo nunuliwa na Saddam kutoka Urusi, kilicho fuata ni ADS zote za Iraq zikawa jammed kwa kutumia specialized air force bombers kutoka US Airforce baada ya kutekeleza operation hiyo, ndio baadae zikatumwa squadrons za jetfighters kushambulia jeshi la Saddam Hussein pamoja critical infrastructures za nchni Iraq!!
Nafikiri baada ya Iran kukumbuka tukio la Iraq ndio maana Iran ili-decline offer ya URUSI kunatokana na kusalitiwa na Urusi during Gulf WAR.
Kaka yake Obama ni mlevi wa kibera, usimfananishe na huyo, sasa kama mtoto wa mwanzilishi wa Hamas na wenzake wengi wana pinga mfumo wa kigaidi wa Hamas, wewe MMATUMBU unawapingaje hao wanaotofautiana na sera za kigaidi???Hii ni kawaida tu mtoto kuwa against baba hata Bush kuna ndugu zake walimpinga, same to Obama kuna kaka yake huwa anampinga wazi wazi so it's not news maana ni ugomvi wa kifamilia zaidi kuliko itikadi.
Ila Hamas wanayohaki ya kudai ardhi yao kama tu Ukraine walivyo na haki. Tatizo wanafki wanataka Israel imkalie kimabavu Gaza ila hawataki Putin amkalie kimabavu Ukraine.
Hao Israel kama wangekua wanapambana wenyewe bila msaada wa USA ningeona kweli Mungu yupo nao maana ndio angepewa credit ila angalia kwa sasa kila wanachofanikiwa ni credit kwa USA ila Mungu hapati utukufu wowote unadhani ni sawa?Sitopoteza muda kukuelewesha kama Mungu akikuweka hai utajionea kwa macho kama utakuwa ushatangulia kuzimu au peponi bado habari zitakufikia juu ya kuthibitisha nilichokiandika.
Swali zuri SANA.😁😁Kama Israel hakusaidiwa ndege ya Marekani ilifuata nini nchini Iran?
Yan hata kama wewe ni mbumbumbu ndo ushindwe hata kujiongeza ili kujua ukweli?
Kusoma haujui na picha pia hauoni?
Waisrael wa sasa ni wazungu, hivyo ni rahisi mno kwa UK, USA, Ufaransa na Ujerumani kuingiza wanajeshi wao kwenye vikosi vya Israel, ili kuwasaidia kupambana na Iran.
Kwan Allah anaruhusu kuchnja vitoto na vikongwe, any way Israel wako more advanced na uchumi wa juu kuliko maadui wote wanaomzunguka, ndyo maana baadhi ya chi za kiarabu zilizokuwa na utawala makini, wamekuwa na mahusiano mazuri na IsraelMungu gani anayeruhusu uhuni na unyama unaofanywa na akina Netanyahu? Hakuna taifa la Mungu pale. Ni wahuni tu kama wahuni wa CCM.
Kwenye eschatology huna unachoweza kunijuza, uwezo wa kutafsiri kitabu cha ufunuo wewe bado hujawa nao na uthibitisho ni hicho ulichoandika hapo.Hao Israel kama wangekua wanapambana wenyewe bila msaada wa USA ningeona kweli Mungu yupo nao maana ndio angepewa credit ila angalia kwa sasa kila wanachofanikiwa ni credit kwa USA ila Mungu hapati utukufu wowote unadhani ni sawa?
Na huo unabii utausubiri mpaka unakufa hutoshuhudia maana unatafsir maandiko kinadharia sana. Mfano ufunuo imeandika vita itakua ya farasi je unadhani kuna majeshi yanatumia farasi siku hizi? Yale ni mafumbo but have nothing to do with Israel kama nchi bali ni spiritual warfare ya watu wa Mungu dhidi ya shetani.
Kasome ufunuo 12 na 13 ndio utapata context nzima ya nachosema.
hawasaidiwi wanashirikiana kwa technologies, na hakuna mnyonge hapo anayepewa msaada, wanfanya ushirikiano wa ki teteknolojia na kiuchumi (kijeshi, usalama na nyanja zionghine)Hao Israel kama wangekua wanapambana wenyewe bila msaada wa USA ningeona kweli Mungu yupo nao maana ndio angepewa credit ila angalia kwa sasa kila wanachofanikiwa ni credit kwa USA ila Mungu hapati utukufu wowote unadhani ni sawa?
Na huo unabii utausubiri mpaka unakufa hutoshuhudia maana unatafsir maandiko kinadharia sana. Mfano ufunuo imeandika vita itakua ya farasi je unadhani kuna majeshi yanatumia farasi siku hizi? Yale ni mafumbo but have nothing to do with Israel kama nchi bali ni spiritual warfare ya watu wa Mungu dhidi ya shetani.
Kasome ufunuo 12 na 13 ndio utapata context nzima ya nachosema.
Waziri wa ulinzi wa Iran ndiye alitangaza wametungua hizo ndege? am ni habari ulisoma kutoka twitter? una chanzo chake?Sasa mbona walidanganya kutungua f35?
Oooh kumbe hiyo "eschatology" inasema Russia na Waislam wametabiriwa kwenye biblia hahahhaha ridiculous.Kwenye eschatology huna unachoweza kunijuza, uwezo wa kutafsiri kitabu cha ufunuo wewe bado hujawa nao na uthibitisho ni hicho ulichoandika hapo.
Nani kasema zote hizo ni Big tech nyingi hapo ni start ups na zinapewa ruzuku so basically kila mwanafunzi wa chuo anaweza funguo tech company its not news. Data ingekua na maana kama ingeweka comparison na nchi zingine za middle east.Meanwhile, Israel boasts more than sixteen thousand active tech companies
Inapimwaje hii? Mbona Iran ina scientists wakubwa kwenye masuala ya nuclear etc au hiyo sio quality education?Israel's quality higher education
Ooh another puppet, hao Israel mbona wanasupport RSF ya Sudan, PKK ya uturuki, SDF ya Syria, HTS (Tawi la Al Qaeda Syria) ila hamsemi inafadhili magaidi??Iran has a long history of funding and supporting various terrorist organizations,
US ilikuwepo na ilikuwa very powerful kabla ya Israel kuwepo, US inapigana WW2 Israel haikuwepo, US ilikuwa tayari ina uchumi mkubwa, jeshi lenye nguvu, imeendelea katika science na technology kwa kipindi hiko...hawasaidiwi wanashirikiana kwa technologies, na hakuna mnyonge hapo anayepewa msaada, wanfanya ushirikiano wa ki teteknolojia na kiuchumi (kijeshi, usalama na nyanja zionghine)
Iran inasaidiwa na vikundi vya kigaidi inavyovi dhamini, hata dhidi ya nchi za kiarabu
- Iran has a long history of funding and supporting various terrorist organizations, including Hezbollah and Hamas, using its military and financial resources to exert influence across the Middle East.
- United States hosts more than one million active tech companies and entities, reinforcing its position as the world’s leading economy. Meanwhile, Israel boasts more than sixteen thousand active tech companies
- Israel's quality higher education and the establishment of a highly motivated and educated populace is largely responsible for ushering in the country's high technology boom and rapid economic development by regional standards.
Israel provides significant benefits to the United States, particularly in the areas of technology and security. The U.S. provides substantial financial aid to Israel, but this aid also supports American jobs and technological advancements, creating a mutually beneficial relationshipUS ilikuwepo na ilikuwa very powerful kabla ya Israel kuwepo, US inapigana WW2 Israel haikuwepo, US ilikuwa tayari ina uchumi mkubwa, jeshi lenye nguvu, imeendelea katika science na technology kwa kipindi hiko...
Israel hana lolote la kumsaidia US, isipokuwa tu ni mshirika muhimu wa US kwa middle east... na Middle East ndiko uchumi wa dunia ulipo... hivyo Israel ni base ya jeshi la US kwa middle east..
Uchumi wa utapeli wa kwenye stocks... uchumi bandia... real economy wanayo hao wenye mafuta na gas... ndio sababu kuu ya US na Israel kuleta vita na hizo nchi, hizo nchi za kiarabu zenye mahusiano mazuri na Israel ni kwa shinikizo wapate amani ya kuishi, wasivurugwe na kuvamiwa kijeshi... wameamua ku sacrifice mali na mahusiano yao na wenzao ili kusudi wapate amani...Kwan Allah anaruhusu kuchnja vitoto na vikongwe, any way Israel wako more advanced na uchumi wa juu kuliko maadui wote wanaomzunguka, ndyo maana baadhi ya chi za kiarabu zilizokuwa na utawala makini, wamekuwa na mahusiano mazuri na Israel
Currently, five Arab countries have full diplomatic relations with Israel: Egypt, Jordan, the United Arab Emirates, Bahrain, and Morocco. These relationships have been established through various agreements and treaties, including the Abraham Accords.
Kipindi US anaingia world war 2 hio Israel ilikuwa wapi kuipa US technology na security?Israel provides significant benefits to the United States, particularly in the areas of technology and security. The U.S. provides substantial financial aid to Israel, but this aid also supports American jobs and technological advancements, creating a mutually beneficial relationship
- The U.S. benefits from Israel's technological innovation, defense capabilities, and its role as a regional partner in promoting security and stability.
- Israel and the U.S. collaborate on developing advanced technologies, such as the Iron Dome missile defense system, which is now used by the U.S. Army
- Israel's defense industry is highly advanced, providing the U.S. with cutting-edge technology and expertise.
- Israel is a global leader in several high-tech sectors, including IT, cybersecurity, biotechnology, and pharmaceutical
- Israel is a key U.S. ally in the Middle East, contributing to regional stability and counter-terrorism efforts
Hazina accuracyKosa la Israel ni anataka precision hivyo hutumia sana ndege. Iran yeye anayarusha tu litapotua si jukumu lake. Ila Israel naye akitaka alipize anaweza ifanya Iran iwe Gaza
Kuna wayahudi pia wamekataa kurudi Israel na wanaishi Iran, katika nchi za mashariki ya kati zenye wayahudi wengi ukiitoa Israel inayofuata ni Iran...Kaka yake Obama ni mlevi wa kibera, usimfananishe na huyo, sasa kama mtoto wa mwanzilishi wa Hamas na wenzake wengi wana pinga mfumo wa kigaidi wa Hamas, wewe MMATUMBU unawapingaje hao wanaotofautiana na sera za kigaidi???
Na wapalestina walioko Isarael wanasema ni bora kuishi Israel kuliko nchi zingine za kiarabu, kutokana na freedom
View attachment 3445986
Unazungumzia scenario ambayo haina maana, you mean kama Isarel haikuweko wakati wa WWII , so haiwezi endelea, I.e hypothesis yao ni -"ili nchu kuwa advanced lazima iwe iliexist na kupigana WWII"Kipindi US anaingia world war 2 hio Israel ilikuwa wapi kuipa US technology na security?
US haihitaji msaada wa Israel, Israel ndio inahitaji msaada wa US...
Ndio maana nakuambia Israel haina upekee wowote kwenye tech na security...
B-2 Spirit stealth bomber imetengenezwa yote na US, ndio hio Israel iliomba msaada US aitumie kuishambulia Iran... kama US inaweza kutengeneza ndege kubwa kama ile, stealth na ina high tech peke yake pasipo Israel kuchangia chochote na hata hio ndege kutumika kumsaidia Israel, unafikiri nani anamuhitaji mwenzake hapo?
Ndege kama F-22 Israel imechangia nini?
Israel ndiye anatumia ndege za US kwenye jeshi lake , hata hizo F35 Israel ni moja ya international partners kwenye hio programu ambapo wapo Italy, Netherlands, Canada, Denmark, Norway, na Australia... ila huwa hamkawii kusema Israel imemsaidia US kwenye kutengeneza F-35...