Wee si ulikua unaimba twaarab kama Isha Mashauzi😂😂😂?Umeongea utadhani Ndo mara ya kwanza Israel kugawa dozi hapo makobazin
Nimetuma picha ona vigorofa nyevu vinavyopapaswa mpapaso sumu.
Mlisema oooh Iran imeharibiwa Kila kitu.
Kidume usiku huu huu kaenda machimboni kachomoa Air defense system mpya kazileta juu.
Lamamayeee jichokonoeni tena muoneeni mtavyokunwaa mkuno sumu😂😂😂😂.