Bosi wa IPTL anakuwa na kibuli kiasi cha kumdharau mkuu wa taasisi ya umma kiasi hiki, Mawaziri na makatibu wanakuwa na kiburi hata kukataa kujiuzuru wakidai mkuu wao ndiye anajua walichokuwa wanafanya na ndiye aweza kuwafukuza!
Je, kuna nini hapa na ni nani kinawapa watu hawa hii jeuri!?
Ni wazi kuwa Jakaya analijua fika suala zima la escrow na kule kusingizia ugonjwa kuwa sababu ya yeye kushindwa kulitolea kauli ni njama tu za kuwalinda wezi wenzie; inaelekea bila ya shaka na yeye alipata MGAO wake, na hilo ndilo linalowapa jeuri mawaziri wake kugoma kuondoka!!!