PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,059
- 1,133
kumbe na wewe unaisa iptlSasa hii habari mbona magazeti yote imeandaliwa na mwandishi wetu ? Ndio matumizi ya mabilioni yetu yanafanya kazi ....
kumbe na wewe unaisa iptlSasa hii habari mbona magazeti yote imeandaliwa na mwandishi wetu ? Ndio matumizi ya mabilioni yetu yanafanya kazi ....
sema wewe kaka maana cc tunaonekana tumetumwa humu ndani wakatiMkuu mbona mimi nawaona kwenye nyuzi zinge
Alafu kwani wewe humu jf ni nani? Maana mpaka unapata kaujeuri ka kuwapangia watu nyuzi za kuchangia acha ukiraza mkuu njoo na hoja zenye mashiko ili watu tukuelewe na co hayo mambo unayo leta hapa jamvini
Sasa hii habari mbona magazeti yote imeandaliwa na mwandishi wetu ? Ndio matumizi ya mabilioni yetu yanafanya kazi ....
Hii ni habari njema lakini hatuweza kubeba hii habari na kuipotosha kwa umma kwamba kwa sababu donors wanataka uthibitisho wa matumizi mazuri ya pesa zao ndio iwe uthibitisho kuwa kuna wizi au ufisadi hapana maana hii ndio theory kafulila anayojaribu kuijenga, hapana huo ni upotoshaji mkubwa. Donors kama ilivyofanya serikali imemsikilza Kafulila na imefanyia kazi kwa kuanzisha uchunguzi kwa kutumia vyombo vyake ambavyo ni PCCB na CAG. Na DONORS wanasubiri findings za hiyo ripoti na hatua zitazo chukuliwa. TUSIPOTOSHE UMMA, DONORS KUSUBILI RIPOTI HAKUMAANISHI KUWA KUNA UNAUFISADI LAKINI KWA KUWA KUNA KELELE ZA KAFULILA BASI LAZIMA WAFANYIE KAZI KAMA ILIVYOFANYA SERIKALI. TUMSHUKURU KAFULILA KWA HILI ILA TUKUMBUKE MWISHO WA SIKU HUU UCHELEWESHAJI WA UTEKELEZAJI UMELETWA NA KAFULILA KWAHYO WANACHI TUJIANDAE ADHABU YA KUMPA KAFULILA KWA KUTUCHELEWESHEA UTEKELEZAJI WA BAJETI.
Acheni umburula nyinyi. Mnatumika kupitiliza.
Siyo lazima wote tuwe na mawazo sawa, mimi kashfa iliyotengenezwa na Kafulila haijaniingia kwenye akili yangu kwangu bado hajatengeneza hoja analazimisha wakati ukweli upo wazi.
Kama ni muongo si wampeleke mahakaman, wapufu tu hao wao ndo wa weweseka[/QUOTE
Yes! Kafulila anakesi mahakamani kama ulikuwa hujui.
Ni wakati muafaka kwa CAG kutoa hiyo ripoti,maana sasa watu watatoana macho huku mtaani,Toa ripoti sasa kusudi mbivu na mbichi zifahamike.
Duhh hii nchi imelaaniwa aisee, mwananchi hana mtetezi kabisa. Ningetegemea wananchi wawe upande wa Kafulila kuhoji uwizi wa huyu mdudu IPTL lakini wapi, ndo hao wameshanunuliwa kuitetea, wakao kama kumi hivi wanamshambulia kafulila kwa niaba ya majambazi haya. Tanzania,,,
kweli kabisa mkuuHili suala la IPTL liwekwe wazi isije ikawa kuna watu wanalitumia kutafuta umaarufu
Duhh hii nchi imelaaniwa aisee, mwananchi hana mtetezi kabisa. Ningetegemea wananchi wawe upande wa Kafulila kuhoji uwizi wa huyu mdudu IPTL lakini wapi, ndo hao wameshanunuliwa kuitetea, wakao kama kumi hivi wanamshambulia kafulila kwa niaba ya majambazi haya. Tanzania,,,
Taarifa zaidi kuhusiana na suala hilo la IPTL, zinasema kwamba kesi hiyo ilishatolewa hukumu yake tangu 2001, ambapo Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa kibiashara ICSID iliagiza IPTL ishushe gharama zake kutoka dola milioni 4.2 hadi dola milioni 2.6 kwa mwezi.
Taarifa zinasema baada ya kumalizika kwa kesi hiyo, ndipo kukazuka mgogoro mwingine wa kimaslahi baina ya waliokuwa wabia wa IPTL, ambao ni Kampuni ya VIP na Mechmar ya nchini Malaysia uliopelekea VIP kuomba kampuni ifilisiwe na isilipwe hata thumni na TANESCO.
Kutokana na maombi hayo ya kampuni ya VIP, Mahakama Kuu iliamriwa kufunguliwa kwa akaunti maalumu itakayokuwa inatunza fedha zinazolipwa na TANESCO kwa ajili ya huduma ya umeme inayotumia.
Kwahiyo IPTL/PAP,hawana kesi na TANESCO na wanashangazwa na taarifa zinazotolewa na bahadhi ya wabunge huku wakijua ukweli ulivyo.
taarifa zaidi kuhusiana na suala hilo la IPTL, zinasema kwamba kesi hiyo ilishatolewa hukumu yake tangu 2001, ambapo Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa kibiashara ICSID iliagiza IPTL ishushe gharama zake kutoka dola milioni 4.2 hadi dola milioni 2.6 kwa mwezi.
Taarifa zinasema baada ya kumalizika kwa kesi hiyo, ndipo kukazuka mgogoro mwingine wa kimaslahi baina ya waliokuwa wabia wa IPTL, ambao ni Kampuni ya VIP na Mechmar ya nchini Malaysia uliopelekea VIP kuomba kampuni ifilisiwe na isilipwe hata thumni na TANESCO.
Kutokana na maombi hayo ya kampuni ya VIP, Mahakama Kuu iliamriwa kufunguliwa kwa akaunti maalumu itakayokuwa inatunza fedha zinazolipwa na TANESCO kwa ajili ya huduma ya umeme inayotumia.
Kwahiyo IPTL/PAP,hawana kesi na TANESCO na wanashangazwa na taarifa zinazotolewa na bahadhi ya wabunge huku wakijua ukweli ulivyo.
Kafulila anadai ana nyaraka zaidi ya 600 zinazothibitisha kuwa kuna ufisadi kwenye account ya escrow. Lakini lazima tutambue kuwa wakati kama huu ambao Kafulila anakosa support ya umma pamoja na viongozi wake wa kisiasa alitakiwa atoe hizo nyaraka zake ili umma utambue ushahidi wa kafulila ili umpe support. KAfulila tunasubiri nyaraka 600 ili tupambane kulia kwako kama hutoi hizo nyaraka UFYATE.
wataelewa tu kama ni kweli au la,hapo sasa ndipo kafulila atavyojichimbia chini kwa haibu yake hiyo ya kuwadanganya watanzania.''Tunapenda kuwasisitizia watanzania waendelee kumpuuza mtu huyu kwani kwa sasa amevurugwa ndio maana anahamishahamisha mijadala na kiasi cha kumhusisha Waziri Mkuu, Baraza la Mawaziri huku akijua ESCROW ni jambo la kisheria na si la kisiasa na yalikuwa malipo halali kwa IPTL/PAP na huo ndio ukweli na utaendelea kuwa hivyo, na ningemshauri Kafulila ajifunze nini maana ya ESCROW hata kwa njia ya mtandao
ili siku nyingine asiendelee kulishwa ujinga wa namna hii bila kujua ukweli wa ndani kufanya hivyo ni kufedhehesha watanzania kwamba wanawachagua wabunge wenye uelewa mdogo kama Kafulila''. ilisema taarifa hiyo.
Ilisema uelewa finyu huu wa Kafulila unamsababisha ashindwe kutofautisha kati ya mali ya umma na mali binafsi, fedha za umma zilizopo BoT na uwakala wa ESCROW wa BoT, kazi za serikali na kazi za mbunge kazi za IPTL/PAP na kazi za TANESCO tunasisitiza IPTL/PAP sio shirika la Umma wala mali ya serikali,
Kafulila na wenzake waelekeze nguvu katika mashirika ya umma yanayofilisika kila kukicha huku na yeye akiwa sehemu ya ufilisi huo, Watanzania tuwapuuze wabunge vibiriti fitini kama Kafulila na wenzake waliokubali kuweka pembeni uelewa wao na kutumika na makampuni shindani dhidi yetu pamoja Standard Chartered, vinginevyo ajiseme hadharani yeye ni mbia wa Standard Chartered.
Hivyo, tunawahakikishia watanzania tutaendelea kuzalisha na kuwauzia umeme wa uhakika na kwa bei nafuu na mchakato wetu wa kushusha bei ya umeme kutoka 450 ya sasa kwa uniti mpaka sh. 80 uko mbioni kukamilika ili watanzania wafurahie huduma ya umeme na wachagize maendeleo yao japo kina Kafulila na wapinzani wetu wa kibiashara hawapendi watanzania wafaidi matunda yao