IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

Chanzo: GAZETI LA MAJIRA 8th October 2014

http://habarihuru.blogspot.com/2014/10/iptlpap-yamvaa-kafulila.html
PAP/IPTL ina dhamira kubwa kwa watanzania na inasononeka kwa kiasi kikubwa na kauli za wanasiasa uchwara wanazotoa dhidi yao kwa lengo la kuichafua heshima iliyojijengea kampuni hiyo mbele ya watanzania kwa umma kuwa ni ovu na hazina tija kwa taifa letu na kuwaomba watanzania kuzipuuza kauli hizo kwa kuwa hazina msingi wowote,kwa kuwa kauli hizo zinatolewa na wanasiasa wanaotumiwa na kampuni pinzani na IPTL ili kuwachafua.
 
Hapana kafulila hajafeli kutofautisha kati ya hayo makampuni, anajua fika kila kitu shida ni kuwa ameamua kwa makusudi kuchafua taswira ya IPTL baada ya PAP/IPTL kukataa kumpa fedha aliyoiomba kwao eti ili afunge mdomo,sasa kinachofuata IPTL wameamua sharia itawale wamempeleka mahakamani na watapeleka ushahidi wa jinsi alivyoomba fedha ili anyamaze, na bilioni 300 atawalipa IPTL, ILI LIWE FUNZO KWA WABUNGE WENYE UCHU WA FEDHA ZA HARAKA HARAKA.
PAP/IPTL ina dhamira kubwa kwa watanzania na inasononeka kwa kiasi kikubwa na kauli za wanasiasa uchwara wanazotoa dhidi yao kwa lengo la kuichafua heshima iliyojijengea kampuni hiyo mbele ya watanzania kwa umma kuwa ni ovu na hazina tija kwa taifa letu na kuwaomba watanzania kuzipuuza kauli hizo kwa kuwa hazina msingi wowote,kwa kuwa kauli hizo zinatolewa na wanasiasa wanaotumiwa na kampuni pinzani na IPTL ili kuwachafua.
 
kweli kabisa mkuu wangu jamaa naona afaatilee kabisa huu mchakato
na tena anaingia kwa kubeep sana humu

attachment.php
 
Ingekuwa rahisi sana kumpuuza Kafulila na kupotezea suala la IPTL kama kusingekuwepo na michango mingi inayoelekea kubebana na yenye jazba nyingi kumshambulia kama inayoonekana kwenye uzi huu na mingine iliyotangulia. Kwanza, watu wengi wameshachoka kufuatilia mikasa ya aina hii hapa nchini. Hivi mtu "asiye na hoja" anawezaje kuvutia mashambulizi kiasi hiki na kwa mpangilio huu? Haiwezekani "akapuuzwa" tu? Something is really fishy here.
 
''Tunapenda kuwasisitizia watanzania waendelee kumpuuza mtu huyu kwani kwa sasa amevurugwa ndio maana anahamishahamisha mijadala na kiasi cha kumhusisha Waziri Mkuu, Baraza la Mawaziri huku akijua ESCROW ni jambo la kisheria na si la kisiasa na yalikuwa malipo halali kwa IPTL/PAP na huo ndio ukweli na utaendelea kuwa hivyo, na ningemshauri Kafulila ajifunze nini maana ya ESCROW hata kwa njia ya mtandao

ili siku nyingine asiendelee kulishwa ujinga wa namna hii bila kujua ukweli wa ndani kufanya hivyo ni kufedhehesha watanzania kwamba wanawachagua wabunge wenye uelewa mdogo kama Kafulila''. ilisema taarifa hiyo.

Ilisema uelewa finyu huu wa Kafulila unamsababisha ashindwe kutofautisha kati ya mali ya umma na mali binafsi, fedha za umma zilizopo BoT na uwakala wa ESCROW wa BoT, kazi za serikali na kazi za mbunge kazi za IPTL/PAP na kazi za TANESCO tunasisitiza IPTL/PAP sio shirika la Umma wala mali ya serikali,

Kafulila na wenzake waelekeze nguvu katika mashirika ya umma yanayofilisika kila kukicha huku na yeye akiwa sehemu ya ufilisi huo, Watanzania tuwapuuze wabunge vibiriti fitini kama Kafulila na wenzake waliokubali kuweka pembeni uelewa wao na kutumika na makampuni shindani dhidi yetu pamoja Standard Chartered, vinginevyo ajiseme hadharani yeye ni mbia wa Standard Chartered.

Hivyo, tunawahakikishia watanzania tutaendelea kuzalisha na kuwauzia umeme wa uhakika na kwa bei nafuu na mchakato wetu wa kushusha bei ya umeme kutoka 450 ya sasa kwa uniti mpaka sh. 80 uko mbioni kukamilika ili watanzania wafurahie huduma ya umeme na wachagize maendeleo yao japo kina Kafulila na wapinzani wetu wa kibiashara hawapendi watanzania wafaidi matunda yao

IPTL imetokana na Muungano wa kampuni yaMechmar (Malaysia) Berhard (70%) na VIP(30%), na kampuni ya PAP/IPTL iliyoundwa baada ya kununuliwakampuni kwa kampuni hizo hapo juu,hivyokitendo cha kuzungumzia utendaji kazi wa kampuni ya IPTL(CHINI YA PAP) kwakuihusisha na kampuni ya IPTL chini ya Mechmar na VIP ni kuionea PAP nakuikosea kampuni hii ya PAP/IPTL.
 
Watu wote wanaodhani mh david kafulila anaota wasome the citizen ya leo tar 8 October 2014 front page.
tuhuma za Kafulila Na ZZk zina mashiko ndio maana Development partners kupitia mwenyekiti wa Balozi wa finland hapa nchini Ms Sinikka Antila; wamefunguka rasmi kwamba wamezuia shilingi trilioni moja pending report ya CAG kuhusu fedha za Escrow account/IPTL; kama Kafulila anagekuwa anaota mchana wale DP's wana vyanzo vingi credible vya kujua ukweli na uongo wa taarifa nyeti kama hizo wasingetoa tamko kama hili la leo!!

IPTL imetokana na Muungano wa kampuni yaMechmar (Malaysia) Berhard (70%) na VIP(30%), na kampuni ya PAP/IPTL iliyoundwa baada ya kununuliwakampuni kwa kampuni hizo hapo juu,hivyokitendo cha kuzungumzia utendaji kazi wa kampuni ya IPTL(CHINI YA PAP) kwakuihusisha na kampuni ya IPTL chini ya Mechmar na VIP ni kuionea PAP nakuikosea kampuni hii ya PAP/IPTL.
 
Ingekuwa rahisi sana kumpuuza Kafulila na kupotezea suala la IPTL kama kusingekuwepo na michango mingi inayoelekea kubebana na yenye jazba nyingi kumshambulia kama inayoonekana kwenye uzi huu na mingine iliyotangulia. Kwanza, watu wengi wameshachoka kufuatilia mikasa ya aina hii hapa nchini. Hivi mtu "asiye na hoja" anawezaje kuvutia mashambulizi kiasi hiki na kwa mpangilio huu? Haiwezekani "akapuuzwa" tu? Something is really fishy here.

IPTL imetokana na Muungano wa kampuni yaMechmar (Malaysia) Berhard (70%) na VIP(30%), na kampuni ya PAP/IPTL iliyoundwa baada ya kununuliwakampuni kwa kampuni hizo hapo juu,hivyokitendo cha kuzungumzia utendaji kazi wa kampuni ya IPTL(CHINI YA PAP) kwakuihusisha na kampuni ya IPTL chini ya Mechmar na VIP ni kuionea PAP nakuikosea kampuni hii ya PAP/IPTL.
 
kweli kabisa mkuu wangu jamaa naona afaatilee kabisa huu mchakato
na tena anaingia kwa kubeep sana humu

IPTL imetokana na Muungano wa kampuni yaMechmar (Malaysia) Berhard (70%) na VIP(30%), na kampuni ya PAP/IPTL iliyoundwa baada ya kununuliwakampuni kwa kampuni hizo hapo juu,hivyokitendo cha kuzungumzia utendaji kazi wa kampuni ya IPTL(CHINI YA PAP) kwakuihusisha na kampuni ya IPTL chini ya Mechmar na VIP ni kuionea PAP nakuikosea kampuni hii ya PAP/IPTL.
 
IPTL imetokana na Muungano wa kampuni yaMechmar (Malaysia) Berhard (70%) na VIP(30%), na kampuni ya PAP/IPTL iliyoundwa baada ya kununuliwakampuni kwa kampuni hizo hapo juu,hivyokitendo cha kuzungumzia utendaji kazi wa kampuni ya IPTL(CHINI YA PAP) kwakuihusisha na kampuni ya IPTL chini ya Mechmar na VIP ni kuionea PAP nakuikosea kampuni hii ya PAP/IPTL.

You have the facts, right? Then why not just ignore "twisted" Kafulila or, at the best, initiate legal proceedings to stop his annoying defamation move against PAP/IPTL? This kind of thread, instead of clearing the air, certainly draws more "flies" to the "imaginary" rot that you wish to dispel. For the sake of the integrity of PAP/IPTL, extending this discussion is not a good idea at all.
 
Ingekuwa rahisi sana kumpuuza Kafulila na kupotezea suala la IPTL kama kusingekuwepo na michango mingi inayoelekea kubebana na yenye jazba nyingi kumshambulia kama inayoonekana kwenye uzi huu na mingine iliyotangulia. Kwanza, watu wengi wameshachoka kufuatilia mikasa ya aina hii hapa nchini. Hivi mtu "asiye na hoja" anawezaje kuvutia mashambulizi kiasi hiki na kwa mpangilio huu? Haiwezekani "akapuuzwa" tu? Something is really fishy here.

Kafulila hakupuuzwa ndio maana uchunguzi unafanywa na PCCB/CAG. Kinachofanyika ni kuweka wazi wananchi wajue ukweli kwamba huyu ambae wao waridhani ni mpambanaji amewapotosha, kwahyo tukae kimya mkuu tuache tumbili aendelee kupotosha watu. Huwezi muachia tumbili shamba la mahindi, au hujui hila za tumbili.
 
(i)which was meant to support the country's 2014/15 general budget, has been suspended pending the release of the IPTL probe reports.

(ii)The donors, said the Finland ambassador, would for the time being wait for the final CAG report before making any categorical commitment to support the national budget.

(iii) "Development partners are now awaiting the CAG report and information about its key findings, as well as a response from government, which will determine our decisions on further disbursements," said the envoy.

USIPOTOSHE UMMA , DONORS WANASUBIRI RIPOTI YA CAG, THIS DOES NOT MEAN WAMECONCLUDE KUWA KUNA UFISADI. DONORS WANASUBIRI FINDS ZA CAG NA KAMA KUNA UFISADI KWELI NI HATUA GANI ZITACHUKULIWA. HIKI NDIO KAFULILA ALICHOFAULU KUKIFANYA, UJINGA WAKE YEYE WA MASLAHI YAKE UNALIUMIZA TAIFA. KAFULILA TUTAMUHUKUMU WATANZANIA KWA KUTUCHELEWESHEA WATANZANIA UTEKELEZAJI WA BAJETI YETU. UPUUZI WA KAFULILA UNAWAGHARIMU MPAKA SHANGAZI ZAKE KAKONKO KULE.
 
Kafulila atakoma kuingilia mambo ya kampuni binafsi, hivi kwani hawezi kupigania viwanda vya mawese vinavyoendela kufilisika kila siku huko kigoma badala ya kuingilia kampuni ambayo iko pale kisheria
Kafulilainabi di afahamu kuwa sio kila mtu ni lazima awe na mawazo na maoni sawa juu yakitu Fulani, kupishana mawazo ndio uhai wa fikra huru, sio kila anayeteteauonevu dhidi ya kampuuni ya IPTL/PAP amejitoa ufahamu kama anavyodai kila mtuana haki ya kuamini na kuunga mkono kile anachokiamini ni sahihi, mimi ninaaminiIPTL/PAP inaonewa na wanasiasa na wafanyabiashara uchwara wenye chuki dhidi yaIPTL/PAP.
 
(i)which was meant to support the country's 2014/15 general budget, has been suspended pending the release of the IPTL probe reports.

(ii)The donors, said the Finland ambassador, would for the time being wait for the final CAG report before making any categorical commitment to support the national budget.

(iii) "Development partners are now awaiting the CAG report and information about its key findings, as well as a response from government, which will determine our decisions on further disbursements," said the envoy.

USIPOTOSHE UMMA , DONORS WANASUBIRI RIPOTI YA CAG, THIS DOES NOT MEAN WAMECONCLUDE KUWA KUNA UFISADI. DONORS WANASUBIRI FINDS ZA CAG NA KAMA KUNA UFISADI KWELI NI HATUA GANI ZITACHUKULIWA. HIKI NDIO KAFULILA ALICHOFAULU KUKIFANYA, UJINGA WAKE YEYE WA MASLAHI YAKE UNALIUMIZA TAIFA. KAFULILA TUTAMUHUKUMU WATANZANIA KWA KUTUCHELEWESHEA WATANZANIA UTEKELEZAJI WA BAJETI YETU. UPUUZI WA KAFULILA UNAWAGHARIMU MPAKA SHANGAZI ZAKE KAKONKO KULE.
Kafulilainabidi afahamu kuwa sio kila mtu ni lazima awe na mawazo na maoni sawa juu yakitu Fulani, kupishana mawazo ndio uhai wa fikra huru, sio kila anayeteteauonevu dhidi ya kampuuni ya IPTL/PAP amejitoa ufahamu kama anavyodai kila mtuana haki ya kuamini na kuunga mkono kile anachokiamini ni sahihi, mimi ninaaminiIPTL/PAP inaonewa na wanasiasa na wafanyabiashara uchwara wenye chuki dhidi yaIPTL/PAP.
 
Kafulila hakupuuzwa ndio maana uchunguzi unafanywa na PCCB/CAG. Kinachofanyika ni kuweka wazi wananchi wajue ukweli kwamba huyu ambae wao waridhani ni mpambanaji amewapotosha, kwahyo tukae kimya mkuu tuache tumbili aendelee kupotosha watu. Huwezi muachia tumbili shamba la mahindi, au hujui hila za tumbili.

Kafulilainabi di afahamu kuwa sio kila mtu ni lazima awe na mawazo na maoni sawa juu yakitu Fulani, kupishana mawazo ndio uhai wa fikra huru, sio kila anayeteteauonevu dhidi ya kampuuni ya IPTL/PAP amejitoa ufahamu kama anavyodai kila mtuana haki ya kuamini na kuunga mkono kile anachokiamini ni sahihi, mimi ninaaminiIPTL/PAP inaonewa na wanasiasa na wafanyabiashara uchwara wenye chuki dhidi yaIPTL/PAP.
 
Kafulilainabidi afahamu kuwa sio kila mtu ni lazima awe na mawazo na maoni sawa juu yakitu Fulani, kupishana mawazo ndio uhai wa fikra huru, sio kila anayeteteauonevu dhidi ya kampuuni ya IPTL/PAP amejitoa ufahamu kama anavyodai kila mtuana haki ya kuamini na kuunga mkono kile anachokiamini ni sahihi, mimi ninaaminiIPTL/PAP inaonewa na wanasiasa na wafanyabiashara uchwara wenye chuki dhidi yaIPTL/PAP.

We mtu ulizaliwa darasani nini?,una akili sana mkuu
 
Ingekuwa rahisi sana kumpuuza Kafulila na kupotezea suala la IPTL kama kusingekuwepo na michango mingi inayoelekea kubebana na yenye jazba nyingi kumshambulia kama inayoonekana kwenye uzi huu na mingine iliyotangulia. Kwanza, watu wengi wameshachoka kufuatilia mikasa ya aina hii hapa nchini. Hivi mtu "asiye na hoja" anawezaje kuvutia mashambulizi kiasi hiki na kwa mpangilio huu? Haiwezekani "akapuuzwa" tu? Something is really fishy here.

Something is really doggy here,its either kafulila alipga hela za symbion kuichafua iptl au kafulila amepata hasira baada ya iptl kugoma kumpa hongo aliyotaka eti asiiharibie iptl,jamaa wakamtosa
 
Back
Top Bottom