IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

Kafurila yeye apambane mwenyewe kama alitumiwa kuropoka atalijua jiji.

Uelewa finyu wa Kafulila unamsababisha
ashindwe kutofautisha kati ya mali ya umma na mali binafsi,
fedha za umma zilizopo BoT na uwakala wa ESCROW wa BoT,
kazi za serikali na kazi za mbunge kazi za IPTL/PAP na kazi
za TANESCO,IPTL/PAP sio shirika la Umma wala
mali ya serikali,
 
Watu wote wanaodhani mh david kafulila anaota wasome the citizen ya leo tar 8 October 2014 front page.
tuhuma za Kafulila Na ZZk zina mashiko ndio maana Development partners kupitia mwenyekiti wa Balozi wa finland hapa nchini Ms Sinikka Antila; wamefunguka rasmi kwamba wamezuia shilingi trilioni moja pending report ya CAG kuhusu fedha za Escrow account/IPTL; kama Kafulila anagekuwa anaota mchana wale DP's wana vyanzo vingi credible vya kujua ukweli na uongo wa taarifa nyeti kama hizo wasingetoa tamko kama hili la leo!!
kaka ukisikia mchezo mchafu ndo huo sasa yan kafulila kajipanga na washirika wake kama unataka kuamini wewe subiri utaona
 
Chanzo: GAZETI LA MAJIRA 8th October 2014

http://habarihuru.blogspot.com/2014/10/iptlpap-yamvaa-kafulila.html

Uelewa finyu wa Kafulila unamsababisha
ashindwe kutofautisha kati ya mali ya umma na mali binafsi,
fedha za umma zilizopo BoT na uwakala wa ESCROW wa BoT,
kazi za serikali na kazi za mbunge kazi za IPTL/PAP na kazi
za TANESCO,IPTL/PAP sio shirika la Umma wala
mali ya serikali,
 
Only in Tanzania Mbunge anaweza kutumia kinga ya mbunge vibaya kuchafua kampuni binafsi kwa kulipwa na watu wenye fedha na chuki dhidi ya makampuni binafsi
soma Raia mwema ya leo uone kauli ya nchi wafadhili.Mambo haya si mepesi kama mnavyofikiri na ingekuwa hivyo bunge lingeunda tume maalumu lakini kwa yaliyotokea Richmond wamekwepa.
 
Kafurila yeye apambane mwenyewe kama alitumiwa kuropoka atalijua jiji.

aiseee mkuu umeongea jambo la msingi sana, kafulila alianzisha hili suala na apambane mwenyewe alimalize,uongo wake hauvumiliki hata kidogo na si tabia njema kutumia kinga ya Bunge vibaya kwa manufaa binafsi ya kutumika na wafanyabiashara wakuu
 
soma Raia mwema ya leo uone kauli ya nchi wafadhili.Mambo haya si mepesi kama mnavyofikiri na ingekuwa hivyo bunge lingeunda tume maalumu lakini kwa yaliyotokea Richmond wamekwepa.

Nchi wafadhili wana mitazamo yao na wanakerwa na ufisadi uliotokea nchini, hasa richmond,epa,na mikataba mibovu yenye dalili za ufisadi,hili ni suala la kuunga mkono pia vita yao dhidi ya ufisadi
 
Watu wote wanaodhani mh david kafulila anaota wasome the citizen ya leo tar 8 October 2014 front page.
tuhuma za Kafulila Na ZZk zina mashiko ndio maana Development partners kupitia mwenyekiti wa Balozi wa finland hapa nchini Ms Sinikka Antila; wamefunguka rasmi kwamba wamezuia shilingi trilioni moja pending report ya CAG kuhusu fedha za Escrow account/IPTL; kama Kafulila anagekuwa anaota mchana wale DP's wana vyanzo vingi credible vya kujua ukweli na uongo wa taarifa nyeti kama hizo wasingetoa tamko kama hili la leo!!

Mkuu mimi cjui kizungu naomba unitafcilie kama ikiwezekana maana
maana huku kwetu tandare mambo ya ctezeni huku amna jaman
 
soma Raia mwema ya leo uone kauli ya nchi wafadhili.Mambo haya si mepesi kama mnavyofikiri na ingekuwa hivyo bunge lingeunda tume maalumu lakini kwa yaliyotokea Richmond wamekwepa.

Mkuu hayo magazeti ni ya hapahapa so sio sababu hiyo ya kutuletea hapa jaman ebu kuweni makini janam
 
Dar es Salaam. It is now official. Development partners (DPs) have not released even a single dollar out of the $558 million (Sh937 billion), that had been pledged to boost Tanzania's 2014/15 Budget. They will only give it out upon seeing-and being satisfied with-the outcome of the investigations into the controversial payments of Independent Power Tanzania Limited (IPTL) escrow monies to Pan Africa Power Solutions Tanzania Limited (PAP).

The DPs chairperson, Finnish Ambassador to Tanzania Sinikka Antila, yesterday confirmed to The Citizen that the nearly Sh1 trillion, which was meant to support the country's 2014/15 general budget, has been suspended pending the release of the IPTL probe reports.

Ms Antila told this paper that the donor community was concerned over how the escrow monies were paid to the company that claims to have bought 70 per cent shares of IPTL, which were held by a Malaysian firm, Mechmar Berhad Corporation.

The donors, said the Finland ambassador, would for the time being wait for the final CAG report before making any categorical commitment to support the national budget.

"Budget support development partners in Tanzania take the emerging IPTL case with the utmost seriousness and are carefully monitoring its development as the case involves large amounts of public funds," she said.

"We meet with the government regularly to discuss budget support issues," said Ms Antila.

According to Ms Antila, in March 2014, firm commitments for budget support in the financial year 2014/15, worth $558 million, were communicated to the government with the caveat that releases would be informed by developments in relation to the IPTL case.

She said the DPs' contribution to the budget finances stands at approximately five per cent of the national public expenditure programme.

"Development partners are now awaiting the CAG report and information about its key findings, as well as a response from government, which will determine our decisions on further disbursements," said the envoy.

On Sunday, the Kigoma South MP, Mr David Kafulila (NCCR-Mageuzi), told reporters that donors, especially those in EU countries, were withholding funds meant to support the 2014/15 Budget pending the release of the two probe reports on the $250 million in escrow monies, part of which was paid directly to Pan Africa Power Solutions Tanzania Ltd (PAP) after the company claimed it has bought 70 per cent shares in Independent Power Tanzania Limited (IPTL). "If the government fails to take serious measures against the culprits, its obvious donors will not release funds," he said,

Earlier this year, Mr Kafulila took the matter to Parliament following an expose of the multibillion scandal by The Citizen newspaper.

The MP further threatened that if the government fails to release the two reports, he would move a motion of no-confidence against either Prime Minister Mizengo Pinda-who also defended the deal before the House-or the President.

The Citizen 8/10/14
 
Watu wote wanaodhani mh david kafulila anaota wasome the citizen ya leo tar 8 October 2014 front page.
tuhuma za Kafulila Na ZZk zina mashiko ndio maana Development partners kupitia mwenyekiti wa Balozi wa finland hapa nchini Ms Sinikka Antila; wamefunguka rasmi kwamba wamezuia shilingi trilioni moja pending report ya CAG kuhusu fedha za Escrow account/IPTL; kama Kafulila anagekuwa anaota mchana wale DP's wana vyanzo vingi credible vya kujua ukweli na uongo wa taarifa nyeti kama hizo wasingetoa tamko kama hili la leo!!

hawa wasikusumbue wapo JF kwa kazi maalumu hawachangii uzi tofauti na unaomuusu kafulila
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni kawaida kwa watanzania kumsifia anayewaibia na kumshutumu anayewatetea. Kama kweli kulikuwa na uwizi wa aina yoyote mwenye mali anapaswa kumsaidia mlinzi wake kumkamata na kumfikisha mbele ya sheria mwizi wake. Ni Tanzania mwenye mali anamsaidia mwizi wake kumwibia mali yake. IPTL/PAP ndiye anayetuhumiwa na Mheshimiwa David Kafulila (Mb) kuwa kawaibia watanzania. Ni jukumu la mtuhumiwa kuuthibitisha umma wa watanzania kuwa hajawaibia. Ni jambo la kushangaza kuwa wenye mali ndiyo wanaomwandamba mpiga filimbi ( whistle blower)
Wengi wanachangia kwa hisia kuwa Kafulila anatumika na washindani kibiashara wa IPTL/PAP,lakini tuna uhakika gani kama hawa wote wanaoitetea IPTL/PAP hawajanunuliwa, maana waswahili husema asifuye mvua imemnyea.Kama IPTL/PAP wanaweza kuhonga wakaruhusiwa kuchota hela BOT zilzokuwa ESROW Account watashindwaje kuwahonga wanajamii wachache tena wenye njaa ya vijisenti vidogo vya mlo wa kutwa wanaochangia humu ndani? Kenya inasifiki kuwa ni Taifa linaloongoza Afrika Mashariki kwa rushwa, utakuwa na uhakika gani kuwa kazi wanayokusudiwa kupewa nchini Kenya haipatikani kwa mkono wa rushwa? Katika nchi ya Tanzania kuna rushwa ya mtu mmoja mmoja, ya vikundi, taasisi na hata ya serikali unawezaje kuamini kuwa kinachosemwa Bungeni na wabunge ni kitakatifu hakina harufu ya rushwa. Kama kura za wabunge wa BMK zinaweza kununuliwa na serikali ili kupindisha ukweli wa mambo ni taarifa ipi amabayo inaweza kushindikana kupindishwa?Kama wabunge wote wa upinzani wanaweza kupuuzwa pamoja na hoja zao nzuri, ni nani atamsikiliza Kafulila kwenye nchi inayoshabikia kila tendo ovu linalotendwa na wakubwa?
Kafurila yeye apambane mwenyewe kama alitumiwa kuropoka atalijua jiji.
 
Niliposoma hii habari kwenye magazeti ilinishtua. Duh! Kumbe kweli watu walikwapua shekeli hata kama walitaka kuzipiga bungeni na kuwaita wenzao tumbili? We still have a long way to go.
 
Sasa hii habari mbona magazeti yote imeandaliwa na mwandishi wetu ? Ndio matumizi ya mabilioni yetu yanafanya kazi ....
Kaka mbona bak anaweka uzii zake na vilevile inaelezewa na mwandishi wetu tena mara nyingi tu asa iweje wewe leo uanza kupenda huh uzii haya mapenzi ya kizee hayo
 
hawa wasikusumbue wapo JF kwa kazi maalumu hawachangii uzi tofauti na unaomuusu kafulila
sio kweli na wewe ndo unaonekana waz kwamba uchangii uzii nyingine tofaut na hizi!!!!!!!
ila mkuu ebu jaribu kujiuliza kitu kimoja kwa nini hii issue kaikomalia kafalila tu wakati wabunge wa upinzani wapo wengi kama vile mnyika ,lema,mbowe mbona wapo kimya naomba jibu
 
Back
Top Bottom